Kikwete, sasa umemwelewa Sumaye?

Mr Zero ana ulizwa na Tido wewe uliwahi kusema Lowassa ni Fisadi leo una muuza kwa Watanzania ameacha Ufisadi?? Mr Zero anajibu yeye hajawahi sema Lowassa ni Fisadi ila alisikia tu mitaani

Sawa sasa tujibu vipi JK kashamwelewa mr. zero au abadili mbinu ya ufundishaji?
 
Ile Sumaye iko na akili dogo saana,yeye naelewa tu ongea halafu siku bili nasahau neno yote sema nyuma

Vipi lakini mmemwelewa au akazie maarifa?

Maneno ya nyuma wengi wamesema hata Magufuli kawahi sema JK ni msanii tu na si mtu makini leo kawa boss wake...

Haha unajifanya upo mbele wakati uhuni na uchafu wa tandale umekujaa kichwani.
 
Hahahahah twende naye taratibu nampata sana huyu hopeless creature!!

Anapenda kujifanya mjuvi kumbe maamuma tu!!!

Wewe kama jeuri basi pita Upanga na sumaye kama sijatemea mate yote wewe na bana ziro toka gorofa
 
Mr Zero haelweki labda uwe Zero material
 
Wewe kama jeuri basi pita Upanga na sumaye kama sijatemea mate yote wewe na bana ziro toka gorofa

Hahaaa leo umeumbuka mchana kweupeeee...

Umesahau ukiwa mwongo usiwe msahaulifu!!!

kwi kwi kwi!! jisome tena hapo juu mwanaume kakutandika za uso...
 
Wakati anamponda Lowassa ulutheri na ukanda hakuwa nao?

Wakati EL na Sumaye wakiwa paka na panya hawakuwa wote walutheri? sasa ilikuwaje?

Mbona Mwigulu Mlutheri lakini anaendesha mashambulizi kwa EL?

Mbona Mangula Mlutheri lakini anaendesha mapambano dhidi ya EL?

Sitta... Mwakyembe je?

Hivi kwanini CCM mnapenda kukimbilia ajenda za kipuuzi zinazoweza wamaliza wenyewe?

Kuna walutheri wangapi wenye nguvu huko CCM ambao ndo mnawatumia kumpiga EL?

Unafikiri wote ni manyani kama wewe mnaokimbilia abracadabra za udini?

Kula like! umemjibu kwa hoja.
 
Mr Zero ana UliZwa shamba la Mvomero anasema ni dhambi kumiliki ekari 300,ukawa mnamuelewa nyie tu Mr Zero

Siyo dhambi kumiliki eka 300 tena zilizoko Mvomero. Waziri Mkuu kwa miaka kumi savings yake pamoja ni kiinua mgongo hata hizo ni kidogo. Hii nchi imejaa mapori mengi na makubwa ambayo hayana hata wa kuyalima. Tunakaa mijini kazi kulaumu wanao jishughulisha.
 
Hahahahah twende naye taratibu nampata sana huyu hopeless creature!!

Anapenda kujifanya mjuvi kumbe maamuma tu!!!
mkuu huyu naye anajidai ni ukoo wa panya eti wanahaidi ahad mia kwa sababu wanajua watz vichwa vya kuku awana kumbukumbu kwa hiyo tukisoma post zote huwa atukumbuki
na bado utatoa povu kwa kila style nasubiria mpya sasa ujidai wewe ni mwana diaspra na kuanza kuita watu BAVICHA
mda mwingine legeza shingo kiupande alaf ujdai umesahau ukaropoka uite "WATAKA MABADILIKO" tutakukumbuka hata kwa likes kwenye vijipost mpumbavu vyako
 
Siyo dhambi kumiliki eka 300 tena zilizoko Mvomero. Waziri Mkuu kwa miaka kumi savings yake pamoja ni kiinua mgongo hata hizo ni kidogo. Hii nchi imejaa mapori mengi na makubwa ambayo hayana hata wa kuyalima. Tunakaa mijini kazi kulaumu wanao jishughulisha.

Huu ndo upuuzi na ujinga CCM inakumbatia miaka nenda rudi!!!

Kuna ardhi haijawahi limwa inafuga nyasi tu watu hawachangamkii fursa!!

Wakijitokeza wazungu wakanunua ekari 10000 na kuanza kuwakodisha wao wazawa wanafurahi... akinunua mbongo mwenzao ekari 10 tu maneno na vitimbi haviishi eti fisadi!!

Huko Mvomero kuna mapori kibao tu mpaka leo yapo watu wanauza mpaka elfu 50 kwa eka...

Ila kwakuwa CCM imetawaliwa na watu wavivu...wafitini na wachoyo maendeleo kwa mtu ni dhambi.
 
Mr Zero haelweki labda uwe Zero material

nakuhakikishia ingawa siijui sura yako ila wewe ndo wale wale
uwa wanasema ohh mimi ccm ikifa ntabaki ukouko tena damu yangu ukiichanja ni ya kijani...umekuwa nzige wewe
narudia tena Hansard ni jingalao

kiulainiiiiii✌🏽✌🏽
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom