Shakazulu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 957
- 280
Mwafrika wa Kike,its good tunapoona watanzania walioko marekani wanataka kuongea na RAIS wa JAMHURI HURU YA TANZANIA,lakini ni jaribu kusema kwa niaba ya Rais why hana muda huo.
1;Its just kupoteza muda kuongea na wananchi kama ww ambao wana mawazo ya kusadikika kama wewe.
2;Sisi wakulima huku vijijini tuna onana na Rais every time bcs nchi hii ni ya WAKULIMA sasa nyie wazamiaji hamjui sera za nchi u will just west time ya rais kujadiliana na nyie bcs Mawazo,Fikra na idea zenu zote ni za kusadikika.
3;Kama mnataka kumuona Rudini BONGO tuje tulime ARDHI ni kubwa sana huku Fedha mnazodai mnaleta hapa Nyumbani mbona hazina impact kwetu wananchi au JEANS na Tshirt,Nyie mnachangia kukua uchumi wa Marekani sasa i thout mngeli omba kuongea na GEORGE BUSH.na JK bcs yy anatufanyia kazi sisi watanzania na si watanzania wamarekani.
MWISHO HOJA MNAZOTAKA KUONGEA NA RAIS WEKENI HAPA TUTASAIDIA KUJIBU KAMA WANANCHI WA JAMHURI HII.
Ama kweli kuna watu ambao bado wanaota ndoto za mchana. Hivi mtoto wa mkulima unadhani hicho kilimo chako cha jembe la mkono ambacho ndicho kinatumiwa na wakulima waliowengi hapa Tanzania ndio kitatukomboa na kutufanya tuendelee?? Kati yako wewe na MWK nani ana mawazo ya kusadikika??
Hebu jiulize kwanza JK kaenda USA kufanya nini? Huo mualiko alioenda kuutoa huko ni kwaajili ya watu gani?? wakulima au wafanyabiashara??
JK ni Rais wa waTZ wote kwa hiyo waTZ walioko USA wana haki sawa ya kuonana nae kama ulivyokuwa nayo we mkulima.