GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

hapa ndugu yangu tuongee ukweli kabisa mimi au umma wa Tz haujaona mahali popote amkekuwa mtu wa kisasi watu wamekuwa wakimsema lakini amekuwa mpole. me nafikiri ingekuwa wakati wa uwazi na ukweli hapa hata hizi blog zisingekuwepo
Umeshaambiwa hapa. Ondoa vitisho vyako. Kikwete hana ubavu wa kuondoa blog yoyote tukitaka iwepo.
Yeye si Mungu, wala hatishwi mtu hapa. Kusema kwetu hapa ni haki yetu kikatiba kama alivyo na haki zake kikatiba. Na ni haki tumepewa na Mungu wetu. Wala si kweli kwamba JF bado ipo kwa sababu ya huruma ya kikwete, hapana si kweli. Ni haki ya JF kuwapo na hata akiifunga hii kama alivyojaribu kufanya kwa Jambo forum tutaanzisha nyingine 100 kama hii sijui atafanyaje.
Hapa tunaambizana ukweli na ukiumia pole. Ndiyo watakayo wananchi. Awasikilize na kuondoa kero zao period.
Nakwambia hakuna mtu wa kisasi kama kikwete. Nimemsikia mara nyingi akitamka na hata majuzi alisema kuwa wale wanaompinga ameshawashughulikia eti tuwaulize. Hakuwataja, lakini sie tunaomfahamu tulijua nini anasema.
 
Nachingwea,
Umechelewa sana ndugu yangu. Hata China ambako wakomunisti bado wanashika hatamu wamepata kazi ya ziada kuzuia blogs. Tunaenda na wakati na hakuna kurudi nyuma.
lakini wakti wote tukae tunajua kwamba sisi nimeshika makali kwa mpini ni serkali
 
2yz9yxh.jpg

Ebu nisaidieni ina maana rais wetu alibebwa kimzobemzobe tu ata machela haikuletwa? Mambo ya aibu haya.
 
Waache woga hawa jamaa. Mnaondoa video clip halafu iwe nini? Habari za kudondoka mkulu zimesambaa na zinaendelea kusambaa kwa kasi kubwa. Nilikuwa Cine Club (Mikocheni) mchana jamaa wakawa wanaongelea. Jioni nilikuwa Mlimani city nikawasikia wafanyakazi wa Shoprite wanaongelea tukio hilo. Na watu kibao wanatumiana ujumbe kwenye simu. Mtaweza kudhibiti kila msichokipenda?

Hizi mentaliti za kikomunisti zitawachanganyeni.
 
lakini wakti wote tukae tunajua kwamba sisi nimeshika makali kwa mpini ni serkali
Siku hizi vitisho havifanya kazi. Umemsikia hata Mkwere anakiri mitambao chiboko. Eti hawadanganyiki, kwani nani anayemdanganya nani?
 
Mnanichanginyi sana
hebu tupewe ukweli
Salva yupo wapi?
 
Wenye akili tuliishaisave tulijua hili lingefuata ......iseeeeee

Kumbe tuko wengi tulioisave kwa kuhofia ingefutwa. Library inazidi kutuna
-Tunayo ya Jangwani 2005, Mwanza 2005, Mwanza 2009, na sasa Jangwani 2010.
Za ziada ni ile ya Mzee Ruksa akipigwa kofi. Tunayo na inauzwa.
 
Kulingana na habari nilizozipata ni kwamba rais wetu ni mgonjwa siku nyingi sana na mara nyingi huenda Marekani kufanyiwa matibabu. Na inasemekana ana maradhi ya tuma shingoni ambayo inatakiwa afanyiwe operation. Tatizo ni kwamba ktk operation hiyo mguu ndani mguu nje, na JK kusikia hivyo alikataa kufanyiwa operation hiyo ila kukubali kutumia madawa tu ya kumsukuma siku mbele...(anagalieni jinsi wanavyofikiria)

Sasa kama kweli habari hizi zina ukweli nadhani JK anatakiwa kupumzika, hatakiwi kuendelea kugombea hali afya yake hairuhusu..Na maajabiu ni kwamba kila mwezi wa Ramadhan ndio humtokea na visingizio ndio hiyo Swaumu..Hivi kweli JK alikuwa hafungi Ramadhan kiasi kwamba ati Swaumu ndio imdondoshe pasipo kuwa na maradhi kama ya kisukari ambayo yanaweza kuishusha BP kama hakupata dawa kwa muda mrefu.

Hili siii swala la kuficha tena... Mh. JK na viongozxi wa CCM..mmeweza kuficha Mafisadi kwa kuyafagia nchini ya vungu lakini hili la maradhi ya rais hakika sasa mnakwenda kusiko takiwa kabisa..
 
Pale jangwani wahubiri mahiri wenye upako na uwepo wa roho mtakatifu uwa wanaubiri. Kukitokea kinyume na hapo uwa wanaanguka. Uliza watu wa jangwani, mwakasege aliomba apo wiki nzima mtu mwenye pepo akipita kiwanjani hapo mapepo yanatoka, Sina maana mkulu anamapepo ila tuchunguze.
Nawakisha

Hawa religious nuts nao kwa kujishebedua tu, mtu ana ugonjwa wa nervous system wao mpaka waende kumuweka roho mtakatifu asiyeonekana wala kupimika.

Roho mtakatifu my foot.
 
Back
Top Bottom