Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,718
Kusema ukweli, hili tukio linatia huruma sana. Ni vema CCM wakaliangalia hili upya. Kwa matukio haya, hata JK mwenyewe atakosa ujasiri katika baadhi ya mambo, na hivyo kushindwa kuwa kiongozi mzuri. Kwa kweli ni bora uchaguzi uchelewe, lakini asimamishwe mgombea mwingine. Hizi si dalili nzuri kabisa. Mtu mzima kuanguka vile kwa kweli haileti picha kabisa. Nimesikitika sana.
anatia huruma kwa kweli hasa ukizingatia kuwa kampeni ndio imeanza na kesho yupo mwanza ni wazi aatkuwa na woga ...wa kuanguka tena kirumba kesho ....hasa ukizingatia ratiba zimefuatana....so sad.....itabidi kesho ahutubie kwa dakika 5 tu....na ikibidi ahutubie akiwa amekaa ....la sivyo pia akiamua anaweza kujitoa..
Kamati kuu ... ina mpango wa kukaa kutafakari mambo hasa baada ya huu mwereka!!!