MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 847
Yah! I hate CCM, Yah I hate Kikwete as a president but not as a personal, tukio lililotokea leo limefanya nitokwe na chozi. The guy is serious sick na kama CCM wanampenda huyu mtu basi ni heri wampumzishe
Kwenye siasa marafiki wakweli ni wachache. Wengi wata penda uendelee maana uwepo wako pale una faida kwao. Na usi shangae wengi wakiwa wana muombea mabaya ili wao wapate upenyo.