Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,095
- 43,305
mwenye hiyo clip nitumieni kwenye anuani yangu ya jamiiforums.com..
Duh basi ya Mwanza kuna mganga mmoja kule Pasiansi anajulikana ndiye alimtoa pepo JK alipoanguka huko Geita..Yaani jamaa anapata watu kichizi kwa sababu tu alimtibu JK.. Sasa hizi habari mbona zinazingua zaidi?Mzee Mkandara
JK alipoanguka 2005 siku ya kufunga kampeini zake haikuwa Ramadhan, bali walisema ana kawaida ya kufunga, na lifunga maalum kwa ajili ya uchaguzi. Mwanza walisema ni uchovu wa safari ndefu na kazi nyingi. Sasa ni lini atakuwa na uhakika wa kutochoka? Na lini ataacha kufunga?
Ukisoma Daily news ya jioni hii utaona Mama Lwakatare ndiye aliyekemea pepo limtoke Rais na likamtoka! Narudia tena, this is serious.
mwenye hiyo clip nitumieni kwenye anuani yangu ya jamiiforums.com..
Kulingana na habari nilizozipata ni kwamba rais wetu ni mgonjwa siku nyingi sana na mara nyingi huenda Marekani kufanyiwa matibabu. Na inasemekana ana maradhi ya tuma shingoni ambayo inatakiwa afanyiwe operation. Tatizo ni kwamba ktk operation hiyo mguu ndani mguu nje, na JK kusikia hivyo alikataa kufanyiwa operation hiyo ila kukubali kutumia madawa tu ya kumsukuma siku mbele...(anagalieni jinsi wanavyofikiria)
Sasa kama kweli habari hizi zina ukweli nadhani JK anatakiwa kupumzika, hatakiwi kuendelea kugombea hali afya yake hairuhusu..Na maajabiu ni kwamba kila mwezi wa Ramadhan ndio humtokea na visingizio ndio hiyo Swaumu..Hivi kweli JK alikuwa hafungi Ramadhan kiasi kwamba ati Swaumu ndio imdondoshe pasipo kuwa na maradhi kama ya kisukari ambayo yanaweza kuishusha BP kama hakupata dawa kwa muda mrefu.
Hili siii swala la kuficha tena... Mh. JK na viongozxi wa CCM..mmeweza kuficha Mafisadi kwa kuyafagia nchini ya vungu lakini hili la maradhi ya rais hakika sasa mnakwenda kusiko takiwa kabisa..
Huyu bwana ni mgonjwa..ila wanaficha..No way, something has to be done, he can no longer bear the presidency portifolio for the next 5 years, too weak!!
Mkuu wangu mimi sina ushabiki wa dini kama ulivyo wewe. Siwezi kuweka thanks zangu kwa mtu ambaye Udini ndio unamtawala. Nimekusoma page 304 lakini hoja zako zoote ukaja ziharibu kwa kuweka udini wako mbele..Inachusha, wewe tu ndio hujui!Mkuu ungetumia muda kidogo kupitia mabandiko mtumishi wa Mungu Rev Masa K aliisha andika yote haya! rejea post namba...304 na 327 nakushauri uende kule ukaweke thanks
Rev Masa K
Mimi siyo mpenzi wa chama chochote, lakini Kikwete ni raisi wetu na nafikiri hakuna mwingine zaidi yake hata huyo unayemfikiria mwenyewe alikuwa hajiamini kupambana kwa nafasi hiyo utampaje mtu urais hata yyeye mwenyewe hajiamini.. urais siyo sehemu ya kujifunzia
poleni sana, kama ma fisadi wamewatuma mmeshindwa,
Mkuu wangu mimi sina ushabiki wa dini kama ulivyo wewe. Siwezi kuweka thanks zangu kwa mtu ambaye Udini ndio unamtawala. Nimekusoma page 304 lakini hoja zako zoote ukaja ziharibu kwa kuweka udini wako mbele..Inachusha, wewe tu ndio hujui!
MMJJ Naomba ukiipata utuwekee kule kijijini. Naona hapa watu wanaogopa kutundika
Mkuu wangu mimi sina ushabiki wa dini kama ulivyo wewe. Siwezi kuweka thanks zangu kwa mtu ambaye Udini ndio unamtawala. Nimekusoma page 304 lakini hoja zako zoote ukaja ziharibu kwa kuweka udini wako mbele..Inachusha, wewe tu ndio hujui!
Haita saidia, wakina MS wakija na propaganda zao a udini nasi tutajibu tu. Wakija kwa issues ni kheri, Acha kumtisha Rev kwa kuamua kuufuta udini hapa huoni sasa kuwa thread za Slaa ni Padri zimepungua kama sio kwisha?
Katiba yetu inasemaje.
37(2) Endapo Baraza la Mawaziri litaona kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya maradhi ya mwili au ya akili, laweza kuwasilisha kwa Jaji Mkuu azimio la kumwomba Jaji Mkuu athibitishe kwamba Rais, kwa sababu ya maradhi ya mwili au ya akili hawezi kumudu kazi zake. Baada ya kupokea azimio kama hilo, Jaji Mkuu atateua bodi ya utabibu ya watu wasiopungua watatu atakaowateua kutoka miongoni mwa mabingwa wanaotambuliwa na sheria ya matababu ya Tanzania, na bodi hiyo itachunguza suala hilo na kumshauri Jaji Mkuu ipasavyo, naye aweza, baada ya kutafakari ushahidi wa kitabibu kuwasilisha kwa Spika hati ya kuthibitisha kwamba Rais kutokana na maradhi ya mwili au ya akili, hamudu kazi zake; na iwapo Jaji Mkuu hatabatilisha tamko hilo ndani ya siku saba kutokana na Rais kupata nafuu na kurejea kazini, basi itahesabiwa kwamba kiti cha Rais ki wazi, na masharti yaliyomo katika ibara ndogo ya (3) yatatumika.
Please please please, We need to pray for him so that God will protect him against all evil,
Mimi naamini hilo swala linalosababisha mtu kuanguka bila kuugua ni Mambo Mengi kichwani na yeye anayaruhusu yatawale the whole allocation kwenye kichwa, Ukiangalia hii Nchi ni kubwa sana na watu wanaomzunguka ni Wengi na mambo Mengi saana yanaendelea.
Chamsingi washauri wake wamshauri asiweke mambo mengi kichwani wala asiruhusu Mambo yanayomzunguka kumtawala saana maana anawasaidizi, Muhimu zaidi alipaswa awe na watendaji haswa wanaomsaidia kujenga Nchi kwa nguvu zote.
Mpaka hapo unaweza kujua ni kiasi gani mtu anaweka mambo mengi kichwani kuhusu hii Nchi na ukiona hivyo ujue ni mambo -ve ambayo hayakufanyika vizuri jinsi JK anavyotaka ndio maana anaumiza kichwa badala ya watendaji wake kumsaidia.
SOLUTION: ni kubadilisha Wasaidizi wake woote ambao sio watendaji wenye bidii sana na aweke watu ambao ni msaada yaani wachapa kazi SANA ili na yeye awe anapumzika yaani asiwe na mizigo kichwani, Inasikitisha sana jinsi anavyoumia sasahivi alafu wengine wanakujakufaidi tu na Mavyeo ya Uwaziri wakati mwenzao kaumiza kichwa hii sio haki kabisa.
Alafu aachane na Wazee maana hii Nchi ni ya woote wazee na vijana kuna vijana wachapakazi kama wakina Nape yaani wengi tu! upinzani pia kuna nguvu kazi aangalie na huko maana hapo yupo kujenga nchi yaani Achague watu wenye kitu cha ziada yaani hadimu na hao watu wapo hapa Tanzania wengi tu! akifanya hivyo katu hatokuwa na vitu vingi vyakuweka kichwani.
Heaven Father protect our President give him wisdom, power and long life, In Jesus name Amen.