GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

Ongea kuhusu censorship, topic inafungwa bila maelezo yoyote.

Sijui ni kwa agizo la Kinana au ni la Makamba? Huu si uhuru wa habari tena. Picha za Kikwete kuanguka ziliondolewa kwenye first post ya ile thread,Sasa presha imezidi hadi topic imefungwa kabisaaaa.

Halafu nije nisikie mafisadi ya CCM mnaleta zenu za kuleta hapa kuwa hii forum inapendelea chadema.
 
Hapako huru tena hapa mafisadi wameshapanunua, niliweka article fulani siku chache zilizopita inayomfagilia Slaa katika opinion polls zilizofanywa na magazeti mbali mbali, lakini kwa mshangao wangu ilipotea baada ya dakika chache tu. Hakuna cha kustaajabisha hapa.
 
Najua kuna presha kubwa sana ya kujaribu kuwa balanced. JF inatumia user generated materials. Huwezi kuforce balance kama watumiaji wako hawajaiona hiyo balance. Huwezi kulazimisha CCM na Chadema wakawa sawa hapa JF wakati ambapo wana JF wengi ambao ndio wanabandika hapa hawajaiona hiyo balance.

Wao waache tu Kikwete na mafisadi yake ya ccm waendelee kupigwa fimbo hapa. kulikuwa na msemo hapa kuwa nyani haangaliwi usoni wakati wa kuadhibiwa. Inaonena siku hizi watu wameanza kumuangalia huyo nyani (ccm) usoni.
 
Thx quinine kwa kuhifadhi kumbukumbu. I like your signature

Usifanye kosa kuchagua RAIS MGONJWA tukaingia hasara ya kurudia uchaguzi
 
Thx quinine kwa kuhifadhi kumbukumbu. I like your signature

Usifanye kosa kuchagua RAIS MGONJWA tukaingia hasara ya kurudia uchaguzi
Thanks nimejitolea tena bure kuwa nawakumbusha wana JF wote na wageni ofcourse wasisahau kuwa tuna mgombea mgonjwa.
 
Kitu kinachonishangaza hadi sasa ni kwa nini NEC bado haijamfuta mgombea huyu mgonjwa!
 
Hapako huru tena hapa mafisadi wameshapanunua, niliweka article fulani siku chache zilizopita inayomfagilia Slaa katika opinion polls zilizofanywa na magazeti mbali mbali, lakini kwa mshangao wangu ilipotea baada ya dakika chache tu. Hakuna cha kustaajabisha hapa.

hii sasa inapita kipimo.... afadhali wamerudisha hii thread.
Mkuu Ujengele, anzisha tena hiyo thread iliyofutwa kama bado una data zake
 
Nasikia lhuko Shinyanga kailamba tena sakafu na ndo mana alichelewa mkutanoni. Alitinga saa 12 jioni huku watu wengi walishaondoka kwa kuchoka kusubiri.
 
Aiseee................................, mara chalilllllllllllllllllllllllllllll
 
KILA NIKIPIA HII THREAD NAPATA kigugumizi

Naskia alianguka tena arusha kabla ya hotuba, sijui ni kweli au majungu
 
Nadhani ni majungu!!!!!

Ni kweli, si unaona siku hizi vile vipande vya watu vinavyomzunguka, wale ni wataalamu wa kudaka, siku zingine kutwa mara tatu kama vidonge. Nilitoa ushauri wamvishe helment kichwani kila anapopanda jukwaani ili kuepuka kuvunja fuvu la kichwa wakapuuza
 
Ina Tija gani kujikumbusha tukio linaloonyesha jinsi rais alivyodondoka?.
Kama lengo ni kumshushia rais heshima, umeshindwa
 
Bora ungewleza ajenda yako kuonyesha tukio hili lina faida gani kwa watanzania, na wewe mwenyewe linakusaidia nini katika maisha yako? Unachokitafuta na topic njaa yako utakiona tu!
 
Back
Top Bottom