macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,236
- 56,873
.
Kikwete pole sana kwa yaliyokufika jangwani.
katika taarifa za habari usiku huu vyombo vya habari vyote hata vya watu binafsi vimehifadhi tukio la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kikwete. Ni dalili ya uzalendo wa hali ya juu. Kwa wanaoamini katika Mungu basi wahusika wapepunguza dhambi katika nafsi zao. Hiki ni kipindi kigumu kwa wananchi ambapo shetani atatumia tukio hilo kutugombanisha. Mungu nchi nyingi zimemwaga damu wakati wa uchaguzi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.
Kashikiwa bunduki? Si ni yeye ameona urais ni mtamu kuliko uhai wake?? Na vyombo vya habari wasipotangaza wakaficha ndio watakuwa wamemtibu?? Eti uzalendo! mawe! Kuficha ugonjwa ndio uzalendo!!! wacha kutoa pumba hapa!