GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

Mnaosema Kikwete anaumwa mnadanganyika kweli. Mbona haunguki akiwa safari anatoa hotuba nje ya nchi? Hiyo political strategy kupata huruma ya wapiga kura. JK hana shida wala haumwi. Ni kama MP alivyolia bungeni to drive a point home. Mbona akitoka hapo hatuoni amelazwa kwa hata siku moja? Nyie hamjui siasa kweli.
umenena mkuu huyu jamaa ni msanii maana nimeicheki hiyo anguka kwenye wall ya binti mmoja hapa facebook, yaani ni ya kutafuta huruma tu kwa maamuma live ni msanii kha?
 
sijui huwa mnalipwa shilling ngapi,kuneutralize mambo hapa...?
JF kuanguka ni dhahiri,ana matunguri :becky::becky::becky::becky::becky: aibu!
usijihangaishe mie sio chadema wala ccm..:becky:😛layball:😛layball:

JF kuanguka? usituambia JF itaanguka nani wa kuiangusha? Kweli JF imekaa vichwani mwenu....JK kuanguka siyo JF jamani!
 
Ipo siku huyu jamaa ataanguka akiwa kwenye zile roundtable/ panel discussions za Davos......nyi subirini tu

Au kufia (perish the thought) jukwaani kabisa....

wewe Nyani Ngabu ni chadema damu nani asiyekujua. ukitaka kumchokoza Nyani Ngabu mguse MBowe, Dr Slaa na chama chao cha Chadema. Wanajamiiforums wengi tumesituka kwamba mnatupeleka kusiko. kila mtu mwache achague chama akipendacho. kama upo chadema na wengine wape uhuru kuingia vyama tofauti na chako.
 
What is this kuanguka anguka???

Kikwete kama anaosama nyakati kikamilifu .... ! Aachane na Post kubwa kama Urais kwa sasa! Kila kitu kiko wazi .... Hali ya afya yake haimruhusu!!

Anatumia a lot of effort !!!

Aachane kabisa... kabla AIBU KUBWA haijamfika!! Haitakuwa aibu yake ila kwa Taifa!!
 
lakini ukumbuke alipodondoka ndo alikuwa anahitimisha kujinadi kwa wananchi,,, hii ya leo ndo alikuwa anafungua kujinadi kwa chama chake,,na ukumbuke alipodondoka mara ya kwanza walisingizia alikuwa amefunga, na hii ya leo watasema hivyo, kama raia mlipa kodi ambayo ndo anatumi kwanini hawasemi ukweli,,, Naamini jamaa anamatatizo ya kiafya huwezi ukasimama dakina 8 kuongea tu then ukadondoka hilo haliwezekani,,,,,swala la Slaa kufumaniwa huwezi li compare na kudondoka kwa kikwete hata kidogo,

Kwa macho ya kawaida ukimwangalia mgmbea Mwenza na yeye afya mgogoro tuweelewe vipi???
naona ana renew kitu pale si kwamba ameanguka i hope something hiden there
 
wewe Nyani Ngabu ni chadema damu nani asiyekujua. ukitaka kumchokoza Nyani Ngabu mguse MBowe, Dr Slaa na chama chao cha Chadema. Wanajamiiforums wengi tumesituka kwamba mnatupeleka kusiko. kila mtu mwache achague chama akipendacho. kama upo chadema na wengine wape uhuru kuingia vyama tofauti na chako.

and whats wrong kuwa chadema?
mbona wewe kwa posti zako unaonyesha ni ccm piwa,hakuna aliyehoji hilo?
hakuna anayekupeleka siko,ni wewe ukilaza wako...after 40 years za ccm bado,unaimba ccm nambari wani....hovyoo
 
Naona wengi munatoa maneno ya Busara kwa kuona huruma juu ya tukio hili. Huo ndo Ubinadamu.

Hebu tuiweke upande wa pili, kwamba Slaa au Lipumba angeanguka kwa mtindo huo (siyo ile ya kuteleza bafuni). Naamini CCM ungekuwa mtaji wa kisiasa. Naamini wangezomea na huenda hata Nyimbo kuimbwa! Ushahidi upo.

Nakumbuka 2005, kwa uadui wa ndani ya chama, baadhi walisema hafai, hawataki msiba wa kitaifa. Tena hao walikuwa wana CCM!

Kuanguka huku siyo swaumu, tuseme hivyo maana hii ni mara ya tatu. 2005, baadaye imetokea mwanza tena nje ya mfungo na sasa Dar tena!

Mpeni ushauri na kama ameng’ang’ania ushirikina hafai na aondoke ktk madaraka. Kwa nini walinzi walikuwa mbali kiasi hicho? Au ndo kuamini ana walinzi wasioonekana? Matokeo yake kaanguka kama mlevi, kichwa chini, kaa! Hatukubali maana kila leo yuko nje kwa check-up!
 
wewe Nyani Ngabu ni chadema damu nani asiyekujua. ukitaka kumchokoza Nyani Ngabu mguse MBowe, Dr Slaa na chama chao cha Chadema. Wanajamiiforums wengi tumesituka kwamba mnatupeleka kusiko. kila mtu mwache achague chama akipendacho. kama upo chadema na wengine wape uhuru kuingia vyama tofauti na chako.

Tout au contraire, I'm neither CHADEMA nor CCM. As a matter of fact, I belong to no party. I am independent.
 
Presure up, presure down. Kazi anayo!

Asisingizie swaum, kwani ye hajakandamiza daku? Ndio zake huyo kwani Mza nako ilikuwa swaum?

Aachwe apumzike kama alivyomuacha Mzee Mkapa! Kama ni mgonjwa aache wazima wa afya na akili akina Dr Slaa wachukue nchi!
.

Watanzania kama niwajuavyo hawawezi kumpa Dr Slaa kura kwa kampeni za namna hii. kukiondoa chama kikongwe kwenye madaraka kunahitaji sera madhubutu. kusuburi Kikwete aanguke ndipo mshangilie sio utamaduni wa mtanzania na hakika chadema mtazikosa kura hivi hivi amini nawaambieni. Uzeni sera mbadala ili tuwaondoe CCM bila hivyo mnapoteza muda
 
Hivi CCM wamesema nini kwenye press conference iliyofanyika jioni hii?
 
He should quit kwasababu hatofiki,nilisha mwambia muda mrefu sana huy Rais. Shaur yake
 
Kwa idhini ya ICHONDI

quote_icon.png
Originally Posted by ICHONDI
Hivi Watanzania wanataka dalili gani ZADI kutoka kwa mwenyezi Mungu kuwa huyu bwana hafai.

Mungu wetu huyu alitutumia huo ujumbe siku ya mwisho ya kampeni ya JK mwaka 2005, akaanguka Jukwaani siku ya mwisho, kampeni muhimu sana ni siku ya mwanzo na siku ya mwisho Tukamdharau Mungu tukamchagua JK kwa kishindo.

Mungu akasema OK mmeifanya mioyo yenu kuwa migumu, miaka mitano Mungu akatupiga na kipupwe kikali kabisa cha maisha magumu na umaskini, maradhi, ajali, mafuriko ukame, uchumi mbaya, inflation, ufisadi na uonevu etc chini ya utawala wa JK.

This time Mungu amesema Watanzania bado nawapenda sana, na kwa kuwa ni wagumu kuelewa mapema ngoja niwapelekee ujumbe mwanzoni kabisa labda wataelewa mbele ya safari.

Kama Watanzania hatutaelewa ufunuo huu tena, nadhani miaka mitano ijayo itakuwa kiama, vilio na kusaga meno. Believe me, na si ajabu nchi ikatumbukia kwenye machafuko!!

Source: JF: Uchaguzi Tanzania 2010: Thread: Kikwete aanguka ghafla Jangwani 😛ost no.190.
 
Rais kikweete aliporejea amesema amefungulia na hii ni kutokana na uchovu wa swaumu ...hee jamani mbona wakristo wengi hasa wachungaji wanaubiri toka asb mpaka jioni awaanguki wakiwa kwenye swaumu ...hizi za wenzetu zina nini zinawadondosha??

unaleta udini hapa. kila mtanzania na dini yake. acha kulinganisha vitu visivyofanana
 
Daima fisi (Chadema) anasubiri mfupa kudondoka. Mwaka 2005 alipoanguka KIKWETE hapo hapo Jangwani waliomtakia mabaya walijua ndio mwisho wake lakini akapata ushindi wa kishindo zaidi ya asilimia 80. Mwaka huu 2010 pia ni wa CCM. Kwa watanzania makani suala la kuanguka ni dogo. Mbona Clinton alipatikana na hatia ya kufanya mapenzi katika Ikulu ya Wamarekani na akaendelea kuongoza sembuse kuanguka???? haaaaa.

Kwa hiyo tutegemee kuanguka jukwaani zaidi ili ahurumiwe ama? Yeye mwenyewe kasema Watanzania hawadanganyiki! Wewe unadanganyika?
 
mara ya kwanza alianguka akiashiria kuwa hali ya maisha ya watanzania itaanguka vibaya mno!! kama tulivyoona,,
anguko hili la pili shemu moja linaashiria kuwa kutakuwa na hali mbaya zaidi endapo watamchagua tena,
 
CCM totoroooooooooooooo na mgombea wake
Tatizo la chadema mnafikiri mtakwenda Ikulu kwa matusi ya kisiasa dhidi ya wapinzania wenu CCM. Mnajitafutia ajali ya kisiasa bure. mwaka huu kikwete katangaza kampeni za kistaarabu na kaagiza kila mgombea CCM afanye hivyo. Hii ni kete ya ushindi.
 
Back
Top Bottom