Nachingwea
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 261
- 110
Mkuu Nachingwea ana post nne tu hapa kazi ipo.
Siri wakati anatumia kodi za wananchi? Kama anataka kuweka siri aache kazi ya urais.
Nafikiri watu wengine wanashindwa kutambua na hii ni kwa sababu ya ufinyu kufikiri na pia helimu duni... hivi kwa kutumia mfano rahisi mke wako akiwa amepima kipimo cha ukimwi na kwa sababu wewe ni mume wake basi unaruhusa ya kupewa majibu ya mke wako..
Watu hapa mchangie mada kwa kufikiri na kutumia akili zaidi