GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

Au ndio tuseme Dalili tunaoneshwa jinsi CCM itakavyodondoka?

Mnajua nyie Unapokuwa mumini wa dini ya Kisilamu na ukawa unaapa kwa kutumia hiyo Quran kwa kutowa ahadi halafu ukienda kinyume au ukiwa unadangaya basi itakurudi tu halina shaka hilo ,hususan ukizingatia huu ni mwezi ndiwo iliyoshushwa hiyo quran isitoshe ukiwa kiongozi unasema mambo huku ukijuwa kuwa haya si ya ukweli na walahai tu hawa viumbe kwa mamneno matamu ili mradi yetu yende hapo ndipo zahama huanza.

Lakini juu ya yote hayo Chadema wasubiri 2025 kwani akimaliza Urais Jk ni lazima kwa hali yeyote ile achukuwe mtu kutoka zanzibar
 
Kikwete anatatizo kubwa ingawa limekuwa likifichwa sana! Hii ni mara ya nne anapoteza fahamu hadharani waliowahi fanya naye kazi foreign affairs wanajua hilitatizo, hata alioingia Ikulu amekuwa akipata tatizo hilo ila linafunikwa. Kikwete amewahi poteza fahamu akiwa London akijindaa kurudi Tanzania, hii ilifichwa fichwa na hata ndege na mfasala wake ulicheleweshwa.

Tatizo linajulikana anataizo kwenye nerves zinazohusiana na coordination ambazo nimeathirika kwenye ubongo na hii husababisha kupata kifafa kitaalamu kinaitwa Petit mal epileps. [/I]Ameishashauriwa kazi ya uraisi haiwezi sababu ya huo ulemavu. Amekuwa akikaidi madaktari wa ufaransa na kuzama kwa waganga wa jadi.

Nina wasi wasi sana kama akishinda atamaliza term kabla hatujalazimika kufanya uchaguzi mwingine. Jamaa hafai kuwa kwenye ile nafasi CCM kama issue ni uislam basi wekeni mgombea mwingine. Nasubiri wale puppets wake waje ni mwage kila kitu hadharani.

Pole Raisi Kikwete

Mch Masanilo K

....Kumbe anasumbuliwa na kifafa.
 
Hii leo rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu Jakaya Mrisho Kikwete ameanguka mara mbili akihutubia umati wa wana CCM katika kuzindua kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa uchaguzi wa mwaka 2010.

Napenda nieleweke kuwa sina ubaya na kuanguka kwa JK lakini miscalculation ya CCM na JK kwa ujumla. Inaelekea Jangwani wanaidhania ni ile ya Yanga tu.

Inaelekea CCM na watu wake wamesahau kuwa Jangwani ni sehemu iliyobarikiwa na Papa Yahane Paulo II mwaka 1990, na hivyo ni patakatifu zaidi ya hata Ikulu anakokung'ang'ania. Wachawi wengi huanguka pale bila kujua kuwa wanakatiza eneo ambalo si la kuchezea na linalostahili heshima zote. JK kaanguka wakati akiongea maneno ambayo kwangu naweza kukiri ni uwongo, hakuyamalizia na Mungu akaamua kumnyamazisha kwa muda.

Mimi si CHADEMA na wala si CUF, siegemei upande wowote lakini iwe ni angalizo kwa wanasiasa wengine mnaotarajia kupatumia kwa uzinduzi wa kampeni zenu; msiende pale kuwaongopea watanzania yatawakuta makubwa!

Pole JK, lakini usirudie kusema uwongo kwani wanaokushangilia asilimia kubwa ni sababu ya njaa zao tu!
Hii ni tathmini isiyona kichwa wala mguu. Ulikuwa huna hata sababu ya kujitaja wewe ni chama gani maana ni aibu kwa chama chochote kuwa na mwanachama asiyeweza kujenga hoja.
 
Kwanza tumpe pole hiyo ni human nature, but alichokisema: Alinza kusema aisee, aisee tumefanya mengi na tutafanya makorokoro aisee kisha akaanguka, yeloi yeloi makambaaa! Unajua hata mlevi anachokisema akiwa amelewa ndicho afikiricho akiwa hajalewa?

Eti tutafanya makorokoro! Mi nafikiri si jambo zuri tv zetu kutoonyesha alivyoaanguka,twahitaji kuona si rais wetu! Ila ana tabia ya kung'ang'ania vitu aache tabia hiyo na akikataa basi tumzuie sisi na akikataa basi hata kura tusimpe ili tusishiriki kumuwahisha kuleee!
 
Mzee, hiyo clips iko vipi? Mbona sioni kitu? Weka vizuri basi.
 
Mimi nikiwa kama mtanzania mwenye mapenzi maema na nchi yangu na watu wake akiwepo Raisi JK, ninamuombea Mungu ili amjalie afya njema na kuendelea kuingoza nchi ya Tanzania. Tunajua mangapi ambayo ameyafanyia Tz. Ufisadi si jambo dogo linahitaji uwe na uwezo thabiti wa kupambana nayo na uwezi kupambana ufisadi kwa kuhisi tuu.
 
Mungu hadhihakiwi... Mungu hasikilizi sala za wanafiki... waongo....
 
Kikwete anatatizo kubwa ingawa limekuwa likifichwa sana! Hii ni mara ya nne anapoteza fahamu hadharani waliowahi fanya naye kazi foreign affairs wanajua hili tatizo, hata alipoingia Ikulu amekuwa akipata tatizo hilo ila linafunikwa. Kikwete amewahi poteza fahamu akiwa London akijindaa kurudi Tanzania, hii ilifichwa fichwa na hata ndege na mfasala wake ulicheleweshwa Mkuu wa usalama ni shahidi wangu.

Tatizo linajulikana anataizo kwenye nerves zinazohusiana na coordination ambazo nimeathirika kwenye ubongo na hii husababisha kupata kifafa kitaalamu kinaitwa Petit mal epileps. Ameishashauriwa kazi ya uraisi haiwezi sababu ya huo ulemavu. Amekuwa akikaidi madaktari wa ufaransa na kuzama kwa waganga wa jadi.

Nina wasi wasi sana kama akishinda atamaliza term kabla hatujalazimika kufanya uchaguzi mwingine. Jamaa hafai kuwa kwenye ile nafasi CCM kama issue ni uislam basi wekeni mgombea mwingine. Nasubiri wale puppets wake waje ni mwage kila kitu hadharani.

Pole Raisi Kikwete

Mch Masanilo K
Hivi wagonjwa wa namna hiyo wanaitwa walemavu? Halafu walemavu wenyewe hawana nafasi ya kuongoza?
 
Anybody who watches this clip will definitely feel sad and I do honestly feel so. However I was left dumb-founded when in the midst of it all a lone voice rang out CCM oyee to the chagrin of a shocked crowd - how insensitive, immature and stupid !
 
Kikwete anatatizo kubwa ingawa limekuwa likifichwa sana! Hii ni mara ya nne anapoteza fahamu hadharani waliowahi fanya naye kazi foreign affairs wanajua hili tatizo, hata alipoingia Ikulu amekuwa akipata tatizo hilo ila linafunikwa. Kikwete amewahi poteza fahamu akiwa London akijindaa kurudi Tanzania, hii ilifichwa fichwa na hata ndege na mfasala wake ulicheleweshwa Mkuu wa usalama ni shahidi wangu.

Tatizo linajulikana anataizo kwenye nerves zinazohusiana na coordination ambazo nimeathirika kwenye ubongo na hii husababisha kupata kifafa kitaalamu kinaitwa Petit mal epileps. Ameishashauriwa kazi ya uraisi haiwezi sababu ya huo ulemavu. Amekuwa akikaidi madaktari wa ufaransa na kuzama kwa waganga wa jadi.

Nina wasi wasi sana kama akishinda atamaliza term kabla hatujalazimika kufanya uchaguzi mwingine. Jamaa hafai kuwa kwenye ile nafasi CCM kama issue ni uislam basi wekeni mgombea mwingine. Nasubiri wale puppets wake waje ni mwage kila kitu hadharani.

Pole Raisi Kikwete

Mch Masanilo K

Mchungaji ..unafika mbali sana, kuhusu afya ya mtu ni siri ya mtu mwenyewe, and its unethical kuelezea mambo afya inalomsibu mtu mwingine.. mimi ni mtaalamu wa afya lakini hapo umefika mbali sana... nafikiri watu kama nyie katika kuropokaropoa kwa mambo msiyo yajua mnatambulikana kama wahaini na ni kwa sabaubu tu ya nchi yetu ni ya amani, lakini mtu kama wewe ungetakiwa uwe somewhere ujileze vizuri nani kakupa mamlaka hayo na pia unawesemea wa kinani
 
Nyani unakumbuka jinsi Zap Judah alivyopigwa na Kosta Zyu au Rick Hatton alivyopopolewa na Paciao? Duh! Rais kayeyuka ka vile mlenda, tena alishaanza mapema kwa kusita kutamka kitu fulani.

Watadai ni Swaumu na upup mwingi, je hakuwa amepumzika vya kutosha kabla ya kwenda kuhutubia? Je kwa nini hawakubadilisha muda ukizingatia kuwa kitendo hiki kilitokea tena 2005?

.
Kuna taarifa kuwa jana usiku alikesha akibukua mijadala ya jamii forum. Sasa kutolala maana inasemekana alilala misaa mawili tu, hakusinzia kwani mengi yalimchanganya huko. Hasa ile poll inayo onyesha Slaa akiongoza kwa asilimia 75. Ukichanganya kutokulala na ugonjwa aliyonao mheshimiwa tusioruhusika kuufahamu ndio uliomsababishia mkuu kifafa cha kuanguka
 
Au ndio tuseme Dalili tunaoneshwa jinsi CCM itakavyodondoka?

Mnajua nyie Unapokuwa mumini wa dini ya Kisilamu na ukawa unaapa kwa kutumia hiyo Quran kwa kutowa ahadi halafu ukienda kinyume au ukiwa unadangaya basi itakurudi tu halina shaka hilo ,hususan ukizingatia huu ni mwezi ndiwo iliyoshushwa hiyo quran isitoshe ukiwa kiongozi unasema mambo huku ukijuwa kuwa haya si ya ukweli na walahai tu hawa viumbe kwa mamneno matamu ili mradi yetu yende hapo ndipo zahama huanza.

Lakini juu ya yote hayo Chadema wasubiri 2025 kwani akimaliza Urais Jk ni lazima kwa hali yeyote ile achukuwe mtu kutoka zanzibar
Mimi nimeangalia clip ya kudondoka kutoka blog ya michuzi, alianza kusihiwa nguvu wakati akisema kuwa tuleifanya mengi na tunaahidi kufanya zaidi kama mkitupa ridhaa, tuta... tu...nyaaa-- then kwisha. Nadhani hizi ahadi zinampa shida kwa kuwa anajua hazitekelezeki, alikuwa anasema uongo, na mwili wake ukakataa kabisa. This is very sad, na nadhani huyu bwana ana kaugonjwa hako na lazima kanampata mara kwa mara, ndio maana alijua kanakuja akasema "aisee"

I can be sure kuwa sio kitu kigeni kwake, so kuna haja ya yeye kuamua kwa amani tu aache!!
 
Mchungaji ..unafika mbali sana, kuhusu afya ya mtu ni siri ya mtu mwenyewe, and its unethical kuelezea mambo afya inalomsibu mtu mwingine.. mimi ni mtaalamu wa afya lakini hapo umefika mbali sana... nafikiri watu kama nyie katika kuropokaropoa kwa mambo msiyo yajua mnatambulikana kama wahaini na ni kwa sabaubu tu ya nchi yetu ni ya amani, lakini mtu kama wewe ungetakiwa uwe somewhere ujileze vizuri nani kakupa mamlaka hayo na pia unawesemea wa kinani

Mkuu Nachingwea ana post nne tu hapa kazi ipo.

Siri wakati anatumia kodi za wananchi? Kama anataka kuweka siri aache kazi ya urais.
 
Leo nimehakikisha na yeye huwa anatembelea mitandao ukiwemo JF, kuna sehemu kataja na baada ya hapo akasema hatudanganyiki, najua hii ni kauli mbiu ya Chadema, sasa yeye anaposema hadanganyiki ana maana gani au hadanganyiki na uongo wa sera zake.
 
Mchungaji ..unafika mbali sana, kuhusu afya ya mtu ni siri ya mtu mwenyewe, and its unethical kuelezea mambo afya inalomsibu mtu mwingine.. mimi ni mtaalamu wa afya lakini hapo umefika mbali sana... nafikiri watu kama nyie katika kuropokaropoa kwa mambo msiyo yajua mnatambulikana kama wahaini na ni kwa sabaubu tu ya nchi yetu ni ya amani, lakini mtu kama wewe ungetakiwa uwe somewhere ujileze vizuri nani kakupa mamlaka hayo na pia unawesemea wa kinani

Nilikuwa nataka watu kama wewe mje niandike zaidi!

Mimi siropoki naongea facts! Mwaka 2005 alifanya uchunguzi wa afya France na madaktari walimshauri afanyiwe upasuaji mkubwa kutibu ulemavu wa nerves za kwenye ubongo alizo nazo. JK na washauri wake walikataa sababu chance za kupona ni 30% na kama operation ikienda vizuri kurudia hali ya kwaida ni 40% wakachomoa wakaomba dawa na si upasuaji.

Kwa hiyo tusishangae wala kusononeka raisi wetu na mgombea wa CCM anaulemavu kwenye mishipa ya ubongo. Kiswahili kitamu hakuna maneno zaidi

Msije kulalamika mchungaji hakusema ukweli

Rev Masa
 
Kuanguka sio yeye tu kumbuka Dr Slaa aliaguka majuzi bafuni Mwanza na kuvunjika mkono,ile ni ajali kama ajali nyingine

Slaa aliteleza yaani ilikuw ajali JK kaishiwa nguvu swali nini kinachomfanya aishiwe nguvu na kudondoka ? ndio hoja hapa tunataka kiteguliwe kitendaili hiki
 
Mchungaji ..unafika mbali sana, kuhusu afya ya mtu ni siri ya mtu mwenyewe, and its unethical kuelezea mambo afya inalomsibu mtu mwingine.. mimi ni mtaalamu wa afya lakini hapo umefika mbali sana... nafikiri watu kama nyie katika kuropokaropoa kwa mambo msiyo yajua mnatambulikana kama wahaini na ni kwa sabaubu tu ya nchi yetu ni ya amani, lakini mtu kama wewe ungetakiwa uwe somewhere ujileze vizuri nani kakupa mamlaka hayo na pia unawesemea wa kinani
Hivyo vitisho vya enzi za kina Mobutu usijaribu kuvileta hapa! Tena ukome! Nani kamkwambia afya ya rais wa nchi inakuwaga siri? Akitaka watu wasihoji chochote atoke kwenye hiyo post!
 
Back
Top Bottom