Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

hahaha mkuu mwenzangu Dark City uliwahi kwanza kuangalia ile DVD ya kwetu pazuri? then ungeenda kwa tahadhari zaidi.....hao watoto wa kinyarwanda wana balaa si kidogo, na kwa ushuhuda wa faiza foxy apo juu na Gozi lake, inaonekana umaarufu wake haujapungua kabisa!

Cha kufanya sasa kama mwanajeshi mstaafu una ji rorganise na kwenda kushambulia tena....hii nadhani ni temporary retreat

Cc RR Asprin Ennie

Ushauri wako ni wa hatari sana mkuu....

Kwa nini usinambie kuwa niendelee kutundika slaa zangu ukutani??

Naona wewe hunitakii mema kabisa wewe....

Babu DC!!
 
Hahaha babuuu! Walitaka kuamsha simba waliolala?
Kuna conference tulifanya in kigali in a hotel, tukawa na jamaa wa zenj wakorofi balaa. Tukawa kila siku tukimaliza kazi wanatuwekea mziki tunatumia ukumbi wa disco. Aisee kuna makahaba wakatustukia. Nilimrescue mkaka wa zenj kwa kumganda manake angebakwa humo humo. Wako too aggressive!


Ahsante sana mdogo wangu....

Ni neema tu unayoweza kumsaidia mstaafu asianze kuadhirika ukubwani....

Ila naomba sasa utumia walau dakika zako mbili kumsaidia mkubwa mwenzetu Fixed Point ambaye kapata F (aibu eti??)


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo ndo unakosea. Wenzio giza limeingia ndo tunakomaa na gozi manake akishaibwa saa hizi ntaenda wapi? Ukishakaa wikiendi yote simu haiiti na ikiita unauliziwa kazi ujue fainali tayari. Akiniacha paw saa hizi naenda wapi kwa mfano?
Sasa Jua lisha kuchwa hata zigo liende lenyewe, sitaharuki.
 
aiseeeeh!!!!!!

chocolate colour zimekuchanganya mtu mzima.


Hapana mkuu,

Ila kuna wadudu fulani wanataka kumfanya babu wa watu achafuke bila sababu...

Jambo la kumshukuru Mungu ni kwamba arsenal ya babu iko tupu...

Babu DC!!
 
hizo hapo picha!!

Kigali master plan.
kigali-masterplan-urban-planning-design-exterior-1-588x441.jpg


kigali-masterplan-urban-planning-design-exterior-2-588x441.jpg


source.. serengeti love.

apo kagame atakuwa kashafariki kitambo
 
zamani enzi za mengistu na jua wakati huo lilikuwa utosini, nilipita na gozi langu kwa niliyoyaona ilibidi mzigo niuchunge mara 10 zaidi. Panatisha.

Sasa jua lisha kuchwa hata zigo liende lenyewe, sitaharuki.

pole sana bibie! Kumbe sitaki nataka tu sisi wa muhimu sana, ndiyo maana kule tanga watubeba ati.
 
Sasa hapo ndo unakosea. Wenzio giza limeingia ndo tunakomaa na gozi manake akishaibwa saa hizi ntaenda wapi? Ukishakaa wikiendi yote simu haiiti na ikiita unauliziwa kazi ujue fainali tayari. Akiniacha paw saa hizi naenda wapi kwa mfano?


Nakupendaje wewe kwa ukomandoo wako??

Ndiyo maana sitaki hawa wadudu wanaoweza kunisababishia nisitimize majukumu yangu ya kula pensheni pasu kwa pasu na bibi.....

Hivi amu yupo kweli?

Natamani nimtume amwambie bibi kwamba Babu yuko salama kama ilivyokuwa 1947...

Ila cha moto kipo...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nakupendaje wewe kwa ukomandoo wako??

Ndiyo maana sitaki hawa wadudu wanaoweza kunisababishia nisitimize majukumu yangu ya kula pensheni pasu kwa pasu na bibi.....

Hivi amu yupo kweli?

Natamani nimtume amwambie bibi kwamba Babu yuko salama kama ilivyokuwa 1947...

Ila cha moto kipo...lol!!

Babu DC!!
kwani huko hakuna miwani za mbao babu? nauliza tu
 
Dr ukifika mpakani hapa Rusumo we ntafute twende wote Kigali...


Mhakikishie kuwa na mwili wa ubaunsa unao.....

Hivi una kama asilimia ngapi za Hasheem Thabiti?? Asijiekujipa matumaini hewa na kupotelea mujini Kigali...lol!!

Babu DC!!
 
kwani huko hakuna miwani za mbao babu? nauliza tu


Mpaka ukumbuke zana kama hiyo, damage inaweza kuwa imeshafika pabaya...

Jambo la kumshukuru Mungu ni kwamba haya yanamkuta mtu ambaye alishapigana vita za kutosha na kuibuka na ushindi...

Unadhani kuwa Retired Maj Gen ni mchezo?

Vinginevyo, unaweza kupoteza jeshi lako lote na kubaki bila ulinzi....

Babu DC!!
 
Babu umetuacha puzzled, umeenda huko Kigali? Uliwahi kupata majanga yoyote ukiwa huko?


Hebu soma soma tena mdogo wangu....

Mwalimu bora ni yule anayesoma na kusoma tena na tena....

Babu DC!!
 
pole sana bibie! Kumbe sitaki nataka tu sisi wa muhimu sana, ndiyo maana kule tanga watubeba ati.


Tanga nao hawafai kabisa... ...Na hayo ma udi yao ni kama sumu ya chatu kwa mbwa...lol!!

Tumewawezea sie tuliofika huko na pensheni mkononi...

Babu DC!!
 
Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!

Babu ulijikuta unataka hata kusaminisha hadi sarawili za kubadili nini?
Ukienda kichwa kichwa ni hatari
Mtambuzi alijidai mgumu lakini kule alizima fegi...lol!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom