Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

ha haaaaa, ulidhani Kagame anaandaa vikosi vyake kuleta majeshi huku?
au kujadili kuhusu kurudisha tena mizigo yao ipitie bandari ya salama?
sasa hayo babu Dark City yanamuhusu nini mpaka aje alalamike?

Now you are talking.....

Na kwa taarifa yako, Kagame hawezi kufanya kitu kama hicho....

Hizi habari za Kigali nyie ziache hivi hivi....

Babu DC!!
 
Heheh!!!

Babu hizi nyama zinatosha kabisa, labda tu mlindwaji Dr Preta asizi appreciate.

Naishia hapa kwa sasa,

Msijekusema kuwa Babu aliwaacha kama yatima....

Kazi kwake Preta

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Pole Babu DC!
Nawashangaa watu wengine wanaona ajabu juu ya yaliyomkuta Babu DC!
Babu kawaambie wakiona ajabu basi wakamshangae jamaa anaitwa mwaKAPUYA ambaye ana miaka 60, lakini anapenda pendelea broilers wa miaka 16!

Sasa babu ulitumia mbinu na mkakati gani kuepusha pensheni yako?.
Ulikuwa unajifungia lojingi na bibi tu, au ulikuwa ukitoka semina unaenda Msikitini?

Tupe maujanja babu, maana Next yia tunakwenda huko.j

Mkuu we acha tu....

Ngoja kwanza nihakikishe wajukuu zangu wako salama ndiyo nitapata muda wa kuwasimulia....

Sasa wakipatwa na majanga kama ya Prof huko kigali si ndiyo itakuwa disaster??

Babu DC!!
 
we weee Nyakati zile ni tofauti na hizi.....

kwanza niambie sababu ya kwenda huko nijue

Nyakati zile ndio zilikuwa ngumu siku hizi hakuna kitu

Inamaana hujui kuwa napeleka yale mahindi tuliyovuna?
 
N
Niliwahi kuyasema haya mahali hapa.............

image.php

https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ikombe-nitakinywa-kabla-jogoo-hajawika-2.html

Fanicha nzuri sana.
 
ha haaaaa, ulidhani Kagame anaandaa vikosi vyake kuleta majeshi huku?
au kujadili kuhusu kurudisha tena mizigo yao ipitie bandari ya salama?
sasa hayo babu Dark City yanamuhusu nini mpaka aje alalamike?

Si ndo nikaanza kushangaa huyu Babu ni leo kaamka na nini.......

sikuchangia mwanzoni unajua...ikabidi nianze kwa kuuliz kinchoendelea

we mzima my dada mi nimekumiss sana ujue
 
Si ndo nikaanza kushangaa huyu Babu ni leo kaamka na nini.......

sikuchangia mwanzoni unajua...ikabidi nianze kwa kuuliz kinchoendelea

we mzima my dada mi nimekumiss sana ujue

Ndiyo process ya kukua hiyo,

Transformationn siyo kitu chepesi mdogo wangu.....

Hata mvi haziwezi kuona usiku mmoja....

Babu DC!!
 
Toto za Kigali ni matata sana.

Achana na mambo ya Kigali wewe....

Utadhani vitu vinatoka kwenye kiwanda kimoja tu......

Siipendi Kigali kabisa.... Mimi na bongo yangu tu, ambayo imenifika hadi kwenye usataafu wangu!!

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom