Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

Ushauri wangu ni kwamba ujitahidi ubadili mawazo....

Hapa sijui nitafanyaje nikifika Addis....

But, I am sure of victory.....

Babu DC!!

Babu DC!!

Kama ulinusurike na mimi nitasalimika tu!
 
he heee, kuna comment nilitaka kuandika ningechemsha mbaya, lol!
swala la kufanyanisha kigali na ethiopia....
hapa kama mdogo wangu Heaven on Earth hujaelewa basi tena

Bora hukuweka hiyo comment....

Pamoja na kwamba mbwa mzee hafundishwi kuwinda....hebu jitahidi kuongeza skills zako za kuunganisha dots...

Sawa mkubwa mwenzangu??

Babu DC!!
 
Hahaha babuuu! Walitaka kuamsha simba waliolala?
Kuna conference tulifanya in kigali in a hotel, tukawa na jamaa wa zenj wakorofi balaa. Tukawa kila siku tukimaliza kazi wanatuwekea mziki tunatumia ukumbi wa disco. Aisee kuna makahaba wakatustukia. Nilimrescue mkaka wa zenj kwa kumganda manake angebakwa humo humo. Wako too aggressive!

wazuri haoo
 
Mmh!! hapo kwenye ubaunsa hapana shida sana babu maana nyama nyama ninazo...

Kasheshe ni kwenye hizo asilimia kadhaa za uHasheem Thabit...

Hizo nyama zina kilo za kutosha kumhakikishia ulinzi Preta??

Angalia usije kujaribu kupigana masumbwi kwenye uzito usio wa kwako...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kama ulinusurike na mimi nitasalimika tu!

Una hakika mbinu zangu utaziweza??

Kwa nini usifurahi kwamba tayari umeshapewa warning ukajiendae zako Nairobi....

Ambako unahangaika na usalama dhidi ya wakora tu.....nothing else to worry...

Babu DC!!
 
Sasa hapo ndo unakosea. Wenzio giza limeingia ndo tunakomaa na gozi manake akishaibwa saa hizi ntaenda wapi? Ukishakaa wikiendi yote simu haiiti na ikiita unauliziwa kazi ujue fainali tayari. Akiniacha paw saa hizi naenda wapi kwa mfano?

Ahahahaha hahaha, sasa hivi wala sishtuki, nalea wajukuu tu. Ukishakuwa na vijukuu vya kukuliwaza, unaona linakukera tu.
 
Bora hukuweka hiyo comment....

Pamoja na kwamba mbwa mzee hafundishwi kuwinda....hebu jitahidi kuongeza skills zako za kuunganisha dots...

Sawa mkubwa mwenzangu??

Babu DC!!
he heee, kikawaida huwa siyo kilaza hivi.....ila sasa mambo yamekuwa mambo, mambo mengine naona uvivu kufikiria nje ya box...... unisamehe kwa hilo, yana mwisho.....
back to the topic.... ndo maana siku hizi shem wako mikutano ya Kigali imekuwa mingiiiiiiiiiiiii niniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!! ngoja nirekebishe lenzi zangu
 
Nimetokea kupachukia sana Kigali, ingawa nasikia na Addis napo hapafai.....:lie::lie:

Bahati nzuri nimestaafu.... nasaidiana na Bibi kuitafuna pensheni yangu....lol!!

Ila mojawapo ya mahalia ambapo sitapenda wajukuu zangu waende ende au wapazoee...!!

Cc: Kaizer, Asprin, CHUAKACHARA, KOKUTONA, Mwanyasi, gfsonwin, King'asti, Fixed Point, PakaJimmy, Filipo, Preta, Blaki Womani, marejesho....
Babu DC!!
Pole Babu DC!
Nawashangaa watu wengine wanaona ajabu juu ya yaliyomkuta Babu DC!
Babu kawaambie wakiona ajabu basi wakamshangae jamaa anaitwa mwaKAPUYA ambaye ana miaka 60, lakini anapenda pendelea broilers wa miaka 16!

Sasa babu ulitumia mbinu na mkakati gani kuepusha pensheni yako?.
Ulikuwa unajifungia lojingi na bibi tu, au ulikuwa ukitoka semina unaenda Msikitini?

Tupe maujanja babu, maana Next yia tunakwenda huko.j
 
Last edited by a moderator:
Mwanzoni si nikawa sijaelewa si nikajisemea haya ya Rwanda ka ni mauaji si

yakajadiliwe Siasani huku MMU panahusikaje Kumbeeeeeeeeee
ha haaaaa, ulidhani Kagame anaandaa vikosi vyake kuleta majeshi huku?
au kujadili kuhusu kurudisha tena mizigo yao ipitie bandari ya salama?
sasa hayo babu Dark City yanamuhusu nini mpaka aje alalamike?
 
Last edited by a moderator:
Ahahahaha hahaha, sasa hivi wala sishtuki, nalea wajukuu tu. Ukishakuwa na vijukuu vya kukuliwaza, unaona linakukera tu.

Wewe FaizaFoxy acha utani wako bwana....

Ulishafanya utafiti kuona vibibi/vibabu vinaishi kwa muda gani baada ya kubaki vijane??

Wewe sema ukweli tu kwani hapa tuko jukwaa letu la kujipa raha na faraja....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
he heee, kikawaida huwa siyo kilaza hivi.....ila sasa mambo yamekuwa mambo, mambo mengine naona uvivu kufikiria nje ya box...... unisamehe kwa hilo, yana mwisho.....
back to the topic.... ndo maana siku hizi shem wako mikutano ya Kigali imekuwa mingiiiiiiiiiiiii niniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!! ngoja nirekebishe lenzi zangu

AHhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh,

Hebu angalia vizuri mfumo wako wa ulinzi.....unajua habari ya majuto ni mjukuu haina msaada kabisa...

Babu DC!!
 
Una hakika mbinu zangu utaziweza??

Kwa nini usifurahi kwamba tayari umeshapewa warning ukajiendae zako Nairobi....

Ambako unahangaika na usalama dhidi ya wakora tu.....nothing else to worry...

Babu DC!!

Babu hujui kuwa askari mzuri ni yule aliyekwenda vitani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom