Vitu vingi ni uongo na humu pia kuna uongo mwingi. Genetic engineering ipo, ila haiwezi kuengineer akili/utashi/emotions/ n.k.,. Kuclone mtu na kuwa na physical copy yake is perhaps possible, lakini sio mental faculties kama emotions, thinking, intelligence, etc.,. Mtu ambaye ni matokeo ya cloning, tegemea abnomalities zisizokuwa za kawaida. Mambo haya kwa kiasi kikubwa ni kazi ya AI.
Kilichofanyika ni kwamba, wameweza kumanipulate minds zenu ili muamini na kufikiri/kudhani walichokusudia, hii ni moja ya mbinu inayotumika hivi sasa kukulazimisha ufikirie wanavyotaka - they are actually able to control your mind/thinking, hence mind control.
Genetic engineering, human cloning vipo lakini "not to that extent".