Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
Lakini wakuu unajua inashangaza kweli,inaonekana hata polisi waliamua ku-conclude tu inawezekana alikufa hapo hapo baada ya ajali.Kwani hata vibaka walioweza kuiba laptop wasingeweza kufanya zaidi ya hicho?

unajua hata kama gari lilikua limeharika vibaya still the occupants can survive!
 
ina maana mkuu wa Polisi alifika baada ya saa nne?

Mkuu Mwanakijiji,

Wangewahi kumuokoa mtu ambaye amekufa?

Ndivyo nilivyosikia wakati Lukuvi akihojiwa kwenye TV.

Alisema Trafic wa barabarani walifika mapema kabla ya Mkuu wa Polisi, na yeye Mkuu wa Polisi alipata taarifa kwa simu sasa sijui nani haswa ndio alimpigia.

Kuna kitu kinaendelea hapa Dodoma cha ajabu sana.

Ratiba ilikuwa hivyi.

Saa Kumi kamili hafla ya kuaga mwili wa marehemu ianze. JK awasili saa kumi na dakika kumi na tano. Kisha Serikali itoe tamko, Kambi ya Upinzani, kisha spika na baadaye wanafamilia. Ifikapo saa kumi na nusu watu waanze kutoa heshima za mwisho mpaka hapo saa kumi na mbili.

Lakini huwezi kuamini saa 5:40 sasa hivyi hakuna hata waziri aliyefika.

Sababu iliyotolewa ni kwamba Rais anafanya mkutano wa baraza la mawaziri kwasababu mwezi August atakuwa katika safari za njee. na kwamba yule daktari aliyetolewa Muhimbili kuja kufanya postmotum bado anaendelea kufanya uchunguzi.

Na yote haya yanatokea yapo LIVE katika TV karibia zote Bongo. ITV, TVT, StarTV na Channel10.

Whats happening?
 
ina maana mkuu wa Polisi alifika baada ya saa nne?

Mkuu Mwanakijiji,

Wangewahi kumuokoa mtu ambaye amekufa?

Gari la Wagonjwa lililoubeba mwili lilitoka wapi na lilichukua muda gani kufika? Tuliambiwa Polisi walikuwa karibu, je gari la wagonjwa lilikuwa karibu na lenyewe? Sikumbuki ramani yangu vizuri, ni umbali gani toka Kongwa hadi pale Pandambili?
 
KJ,
Heshima mbele Mkuu wangu,

Je,umejaribu kujiuliza kama hataenda pia itapokelewa vipi na wana tTarime? Je una uhakika wafuasi wa hayati Wangwe hawatahisi kuna mkono wa Mbowe?
Offcourse,you mighty be right basing on your arguinment but different peole always perceives defferently

Mkuu Ben,
Kwa hivi sasa wafuasi wa marehemu kule Tarime bado watakuwa na majonzi na pengine jazba pia. Kwa hiyo lolote linaweza kutokea. Ni vema kama Mbowe anataka kwenda Tarime, ahakikishe kuwa dola litakuwa na uwezo wa kumlinda. Otherwise, heri ya nusu shari kuliko shari kamili.
 
Wana JF kuna haja ya kuanza kuchanga Rambirambi ili pesa ziwasilishwe kwa marehemu kama mchango wetu..

Invisible tupe Account number,au Kiongozi yeyote wa CHADEMA..

I was thinking the same thing.
 
Gari la Wagonjwa lililoubeba mwili lilitoka wapi na lilichukua muda gani kufika? Tuliambiwa Polisi walikuwa karibu, je gari la wagonjwa lilikuwa karibu na lenyewe? Sikumbuki ramani yangu vizuri, ni umbali gani toka Kongwa hadi pale Pandambili?

Kama nakumbuka vizuri sijui ni Kongwa au vipi. Baada ya ajali mwili ulipelekwa kwenye clinic ya karibu ndipo ilipopatikana ambulance ya kumpeleka dodoma hospital.
 
mkjj,mambo ya bongo waachie wabongo wenyewe,yapo kama zile hadithi za kufikirika lakini ndio watu wanaishi hivyo.
Sasa mkuu ni lini utatia timu home,ili ujionee mwenyewe na baada ya kurudi natumaini maandiko yako yatabadilika.
 
Yule kada maarufu wa CHADEMA (AA) kutoka Zenji kaenda kutuwakilisha wana JF msibani au ni vipi?! Sijamuona kwenye hii thread kutoa rambirambi kwa msiba huu mzito kwa wanamapinduzi wote!
 
Yule kada maarufu wa CHADEMA (AA) kutoka Zenji kaenda kutuwakilisha wana JF msibani au ni vipi?! Sijamuona kwenye hii thread kutoa rambirambi kwa msiba huu mzito kwa wanamapinduzi wote!

ana jina zaidi ya moja..si unajua..naona umekumbusha sasa..ataingia kujibu tu usiwe na wasiwasi na kama akawa ataanza na kujibu post yangu
 
Mungu Ailaze Roho Ya Marehemu Chacha Wangwe Mahala Pema Peponi
 
Ndivyo nilivyosikia wakati Lukuvi akihojiwa kwenye TV.

Alisema Trafic wa barabarani walifika mapema kabla ya Mkuu wa Polisi, na yeye Mkuu wa Polisi alipata taarifa kwa simu sasa sijui nani haswa ndio alimpigia.

Kuna kitu kinaendelea hapa Dodoma cha ajabu sana.

Ratiba ilikuwa hivyi.

Saa Kumi kamili hafla ya kuaga mwili wa marehemu ianze. JK awasili saa kumi na dakika kumi na tano. Kisha Serikali itoe tamko, Kambi ya Upinzani, kisha spika na baadaye wanafamilia. Ifikapo saa kumi na nusu watu waanze kutoa heshima za mwisho mpaka hapo saa kumi na mbili.

Lakini huwezi kuamini saa 5:40 sasa hivyi hakuna hata waziri aliyefika.

Sababu iliyotolewa ni kwamba Rais anafanya mkutano wa baraza la mawaziri kwasababu mwezi August atakuwa katika safari za njee. na kwamba yule daktari aliyetolewa Muhimbili kuja kufanya postmotum bado anaendelea kufanya uchunguzi.

Na yote haya yanatokea yapo LIVE katika TV karibia zote Bongo. ITV, TVT, StarTV na Channel10.

Whats happening?

R:I😛 chacha, sasa ndiyo tutajua kwamba polisi,uwt huwa wanafanya kazi na tutakuja kuambiwa kwamba hakikuwa kifo cha kawaida tusubiri tu tutayaona makubwa,CCM oyeee.yani ni bao la kisigino hilo nasema, msiniulize kwanini,subira yavuta heri, msije sikia baadhi ya watu wanakamatwa na kushitakiwa kwa kifo,kama fundi aliyeichokonoa hiyo toyota.
 
ana jina zaidi ya moja..si unajua..naona umekumbusha sasa..ataingia kujibu tu usiwe na wasiwasi na kama akawa ataanza na kujibu post yangu

Ok! Sikujua kama anakwenda kwa majina kibao, basi inawezekana ameshapita kutoa rambirambi kimya kimya!
 
Kama umeshakiri kuwa msimamo wake kuhusiana na UFISADI ulikuwa una mashaka then unaweza vipi kusema alikuwa ni mwana mapinduzi?
Mapinduzi yasiyokuwa na msimamo dhidi ya UFISADI ni mapinduzi gani hayo?
Juzi tu kabla sijafungiwa nilitoa hoja kuwa Marehemu sasa na yeye ajiandikishe ili kujuwa msimamo wake kwani huyu mtu anayejiita mgagagigikoko amabaye anamwakilisha Wangwe hapa ni MKABILA na ana chuki mbaya sana za kikabila na kidini.
Nilikuwa nikijitahidi kutoamini kuwa ni Wangwe huyo...Lakini mawazo ya mgaga nikaja kugunduwa kuwa ni yale yale ya Marehemu.

Tungeomba pia kusikia rambi rambi kutoka kwa kina RA kama kweli wana ubinadamu.

FMES...Pia usisahahu marehemu alikuwa akienda kwenye msiba wa marehemu Bhoke.

Kimtizamo...Marehemu Bhoke alikuwa akipewa heshima pande zote...Kwa mwalimu na kwa Waingereza.
Na hata kama mwalimu alikuwa hampendi...Kama angepata madhara basi mwalimu na yeye angeweza kugeukwa na waingereza...Na ndio maana mwalimu hakuweza kumwambia kitu kwani mkuu mambo ya siri kama hayo unaweza kuta waingereza walitoa AMRI kuwa asiguswe na ndiyo maana biashara zote alikuwa ni yeye.

Nchi ilikuwa na UBIA HII!

Nimetowa wito mwanzoni kuwa acha tuendelee tu kwanza na maombolezo kwasababu ni Mtanzania mwenzetu...Halafu baada ya hapo...then tunweza kujadili mchango wake kuwa uthaminiwe kwa njia gani.

Kama kweli hakuwa MSALITI WA TAIFA LETU...Basi ataingia kwenye HISTORIA VYEMA.

Niliyasema maneno haya na marehemu nina uhakika aliyaona...Nilimwambia ageuze njia zake na moyo wake kwani Historia ya vizazi vijavyo itamsuta.

Baada ya msiba...Tutapata ukweli....Na ukweli unavyoelekea kuonekana ni kuwa marehemu alikuwa na mwelekeo wenye kutaka kupelekea vurugu za kikabila na kidini nchini...NA HUO NDIO UHAINI.

Mushi bado huamini kuwa amefariki? unamshambulia wakati mwenzako ni maiti hivi sasa? naaamini kuwa Wangwe kiboko yao hadi maiti yake wanaendelea kuisuta kwa vile walishindwa kufanya hivyo alipokuwa hai.
 
Ushauri wa bure kwa Bw.Mbowe, asiende kushiriki mazishi. Maisha yake yanaweza yakawa hatarini maana sidhani kila mtu huko Tarime ataamini hayo ya ajali, hasa baada ya vurugu kati yao.

Acha hizo wewe. Mbona hili jambo la watu kutofautiana linawapa shida sana watu wengine? Sasa hao wananchi wa Tarime wasimuelewe Mbowe kwa lipi hasa? Yaani unadiriki kutoa ushauri kwamba Mbowe asiende kumzika mbunge wa chama chake kwa sababu tu walitofautiana kimtazamo, halafu ndipo unasema wananchi wa Tarime watamuelewa Mbowe, and yet you call this ushauri???!!
 
Rais wetu nae,hana discipline ya muda kabisa

nadhani kuna ujumbe wa Gavana wa China huko dodoma .Protokali haiwezi kuvunjwa na karibia anakutana na mawaziri wote...ila nina uhakika Rais atafika hapo muda si mrefu au Mhe. Masha ili kumwakilisha..i will get back to you when they are through with making decision..

Rais atakuwa Us kwa wiki mbili hivi..sasa sijui anakimbia nane nane?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom