Kibonde kuhamia Al-Jazeera tv...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
Nimesikia tu juuu juu l
kuwa kibonde wa clouds amepata kazi tv ya kiswahili ya aljazeera..
kutangaza vipindi vya michezo....
sijui ni kweli....mwenye info na wabongo wengine huko aljazeera aweke hapa
ni good thing naona

Al Jazeera wanaajiri failures? Nilisikia jamaa alitoka na zero pale Mzizima, sasa hiyo inaweza ikawa kikwazo kwake.

Inaonekana kuna watu hata kula hawawezi bila kiibonde kuwepo mawazoni mwao... he must be a superstar

imagine a girlfriend/wife anaona jinsi mwanaume ulivyo obsessed na Kibonde, sijui anajisikiaje?

Wanataka m2 competent kama kibonde kamit criteria zao wacha wamchukue.

Al Jazeera wanaajiri failures? Nilisikia jamaa alitoka na zero pale Mzizima, sasa hiyo inaweza ikawa kikwazo kwake.

mkuu siku hizi hawaangalia ulivyofanya shuleni wanaangalia experience na uwezo wa mtu
kuna watu kibao hawana certificate zozote lakini wana uwezo mkubwa na wamepewa nafasi kubwa sana,tembea uone

Sio jambo la ajabu juu ya Kibonde! Kama amepata bila shaka ameshinda vita dhidi ya wabaya wake hususani wana jf!
Binafsi nafurahi ninapoona watz wanapata fursa za kimataifa hiyo ni heshima kwa nchi yetu!

Ukifail form four ndo umefail maisha kwan?? Acha wivu wa kike!

This is a college dropout:

William Henry "Bill" Gates III (born October 28, 1955)[SUP][3][/SUP] is an American business magnate, philanthropist, author and chairman of Microsoft, the software company he founded with Paul Allen. He is consistently ranked among the world's wealthiest people[SUP][4][/SUP] and was the wealthiest overall from 1995 to 2009, excluding 2008, when he was ranked third.[SUP][5][/SUP] During his career at Microsoft, Gates held the positions of CEO and chief software architect, and remains the largest individual shareholder, with more than 8 percent of the common stock.[SUP][6][/SUP] He has also authored or co-authored several books.

Kula tano FF kuna mpaka mawaziri na watu maarufu wenye PHD lkn wana utendaji mbovu sijapata ona,

Bahati ya mwenzio usiilalie mlango open jamani....ni kuamka kujifuta na kusonga mbele, me learnt this the hard way shooooo!ukibaki kulialia tu nothing will happen

aisee kama nakufahamu vile,uko wapi

nataaaaaaaamani na jerri muro engekuwepo achane na uchwara wa hapa bongo au mnasemaje wadaaau

labda alisha-reseat? nyie ndo wale mnakuwa na the oldest version of backfalls za mtu afu mnakuwa mnatembeza stori mtaani! wakati mtu keshatoka siku miingi! cheti sio uwezo, kuna mijitu ina first class honours ukifanya nayo kazi unaona bora ungefanya na hgeli wako!he is nt my fav person,bt he blah blahs what he is paid to blah blah!

Al Jazeera wanaajiri failures? Nilisikia jamaa alitoka na zero pale Mzizima, sasa hiyo inaweza ikawa kikwazo kwake.

lol! aisee ...

Inaonekana kuna watu hata kula hawawezi bila kiibonde kuwepo mawazoni mwao... he must be a superstar

imagine a girlfriend/wife anaona jinsi mwanaume ulivyo obsessed na Kibonde, sijui anajisikiaje?

Mi nadhani Mungu atakua amesikiliza sala zetu,,kwani jamaa alikua anajua kila kitu mpaka akawa anajifanya yeye ndio msemaji wa Tanzania.

Kitendo hicho kitapunguza upupu aliokua anaupandikiza kwa watanzania na demokrasia na maendeleo ya kweli yanaweza yakatokea.

Hongera zake kibonde, ana kiwango cha kimataifa cha utangazaji pia nafikiri ni MC best kwa Tz kwa sasa.

Ila asipeleke ushabiki wa CCM huko, waarabu watamtimua. Akitulia ana uwezo wa kufikia kiwango cha Riz Khan!

Hongera sana!

Similar Discussions

Back
Top Bottom