Hongera zake kibonde, ana kiwango cha kimataifa cha utangazaji pia nafikiri ni MC best kwa Tz kwa sasa.

Ila asipeleke ushabiki wa CCM huko, waarabu watamtimua. Akitulia ana uwezo wa kufikia kiwango cha Riz Khan!

Hongera sana!

Kwa watu makini atawapunguzia upotoshaji,kwa watanzania ataongeza milage ya kiswahili na tunategemea atalipwa kutoka nje hivyo kutuongezea pato la kigeni

Heri jamani big up uko hakuna kuchonga habari za bongo kizushi.Kazi njema kama ni kweli.

Ukifail form four ndo umefail maisha kwan?? Acha wivu wa kike!

Inashangaza sana jukwaa linaloongozaga kumponda Kibonde leo linamfagilia kwa asilimia 100. Eti kufaulu darasini siyo hoja! Sasa mbona waajiri wanaulizia matokeo ya darasini kabla ya kuajiri? Kama siku hizi wamebadilika basi ni habari nzuri! Al Jazeera wasihangaike kutafuta wafanyakazi, waje huku kijijini kwetu kuna vijana wengi huwa wana MC sherehe za jando, nadhani watafaa zana.

huyo kibonde hawezi,labda apewe kwa vigezo vingne na sio vipindi vya mpira..hana utalamu wa kutosha kuchambua Soka,bora hata SHAFII DAUDA au MAESTRO..
Kushika mic na ku MC,sio kigezo cha kujua kutangaza.

aisee kama nakufahamu vile,uko wapi

Ukifail form four ndo umefail maisha kwan?? Acha wivu wa kike!
Du sasa Jahazi si ndio litazama,hii inanikumbisha wimbo wa Sikinde,nahodha kakiacha chombo,je kuna mabaharia jasiri wa kuifikisha meli bandarini,hakika pamoja na yote tuta mmiss gwa kukaja Kibonde,lakini ndio maisha kila mtu anaangalia jinsi ya kuweka ugali mezani.Kibonde ni mmoja wa watangazaji vijana walio mahiri ambao ni fearless,kila la kheri gwamyituNimesikia tu juuu juu l
kuwa kibonde wa clouds amepata kazi tv ya kiswahili ya aljazeera..
kutangaza vipindi vya michezo....
sijui ni kweli....mwenye info na wabongo wengine huko aljazeera aweke hapa
ni good thing naona
Wakuu
Hizi tetesi SI ZA KWELI
Hawa jamaa walitangaza kazi na mpaka sasa wanapokea maombi, then watafanya usahili. sasa hii ya kibonde imetoka wapi? sidhani kama hata anataarifa kwamba hawa jamaa wanampango wa kufungua idhaa ya kiswahili.
Yeye kazi aliyonayo ndio his dream JOB wala hana mapngo wa kuondoka kwani muajiri wake anaajiri bila kuangalia vigezo vya elimu. wewe kama unasauti nzuri na unajua kuponda na kama ni mtaalamu wa kujikomba kazi umepata
hata Tido sio kweli hajachukuliwa na hawa jamaa
This is a college dropout:
William Henry "Bill" Gates III (born October 28, 1955)[SUP][3][/SUP] is an American business magnate, philanthropist, author and chairman of Microsoft, the software company he founded with Paul Allen. He is consistently ranked among the world's wealthiest people[SUP][4][/SUP] and was the wealthiest overall from 1995 to 2009, excluding 2008, when he was ranked third.[SUP][5][/SUP] During his career at Microsoft, Gates held the positions of CEO and chief software architect, and remains the largest individual shareholder, with more than 8 percent of the common stock.[SUP][6][/SUP] He has also authored or co-authored several books.