Kibonde kuhamia Al-Jazeera tv...

Binafsi navutiwa sana na aina za Arguments za Nyani Ngabu, maana utamaduni wetu hapa JF huwa tunaupload docs kusupport hoja zetu, sasa bwana Mwita kama huna supporting document to prove your statememt, ni busara ukiomba off time.

Mimi nadhani hii forum itakuwa helpfull kama itakuwa inafika wakati ukiona hoja zako ni dhaifu ukubali kwamba hoja zangu ni dhaifu, kuliko kuugeuza huu uwanja kuwa wa kebehi na kila aina ya vijembe. mimi binafsi members wengi humu wananilazimu kuadopt tabia zao kwa sababu siwezi kuvumilia kebehi.
 
Al Jazeera wanaajiri failures? Nilisikia jamaa alitoka na zero pale Mzizima, sasa hiyo inaweza ikawa kikwazo kwake.
Wewe vipi?? Umeambiwa anakwenda kufanya kazi ya kutangaza kwa kiswahili kipindi cha michezo. Hii haiitaji kupata division one ndio utangaze michezo. Acha hizo wewe.
 
kama ni kweli basi ni mafanikio makubwa sana kwake, tumtakie kheri na tuache wivu wa kijinga! kama alifeli shule je hakuna namna ya kujisafishia vyeti kwa kujiendeleza?? hivini kweli hapo alipofikia na uelewa wake bado tunahitaji kujua cheti chake cha form four kina pass ngapi? tena hao wanaobweteka na kufaulu kwenye makaratasi ndio utakuwa wabovu kweli kazini,... afterall vyeti vya shule/vyuo ni nini bwana hapa TZ nani asiejua kama kuna michezo michafu ya kununua mitihani inaendelea kwenye sekta ya elimu...?? tuache hizo jamani
 
Hii post bado tuu ipo kwenye NEW POST sasa nina amini kibonde yupo juu sana humu ndani...big up kibonde.ndiyo tulivyo sisi watanzania
 
tv ni tv tu awe aljazeera au wapi bado atabaki kuwa kibonde yule yule tunayemfahamu , utulivu zero hongera kaka kaza buti
 
wakuu kwenye huu mjadala wa kibonde mi napita tuu.ila nilicho kundua ingawa jamaa ana madui wengi humu JF pia anao wanaompenda.huwezi kuwa adui wa kila mtu.kama huo mchongo ni kweli,2nahitaji kumpongeza.
<br />
<br />
kibonde anachukiwa kwa kutumika kwake na ccm na si kwa uwezo wake wa kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom