Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,516
- 7,107
Sio kweli .. China ni taifa linaloinukia kwa sasa .. na kumbuka mchina miaka ya 60 alikua chini mno ilhali hata kuifahamu China yenyewe haikua rahisi .. muarabu .. mzungu na mhindi ndo watu walikua wametoka na kuonekana huku kwetu ilhali hadi leo wahindi wanatamba kwenye maghorofa ya kila halmashauri hapa Tz .. sasa kusema mchina atatuamulia hasi kwenye mamlaka ya utawala si kweli hii ni China rising Acha nao watoke na wafurahie rising yao .. unaeza shangaa miaka 30 ijayo linaibuka taifa lingine nalo linakuja kwa style hii .. hivyo kwa sasa ni kukubaliana na hali tu hamna namna ..
China sio RISING.
China tayari ni SUPERPOWER. Yaani hapa Marekani, hapa Mchina.
China alikuwa Rising miaka 90 na 2000s sasa hivi tayari ni superpower.
Iko on top of the food chain.
Na ni suala la muda tu, mtaenda kuwapigia magoti na kuwalamba masaburi ili wawe wanawapunguzia bidhaa maana supermaerkts na supply chain yote watakuwa wao.