Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Na we
Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana kariakooo, na walizunguka media mbali mbali kuonyesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...

Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa saana wakiuza jumla....

Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.

Cadet za kiume jeans wanauza 20,0000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.

Wafanyabiashara wa china wameanza kuonyesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Na wewe Nenda China ukanunue cha bei rahisi...Yani WaTanzania kwanini ujinga ni mwingi hivi.
 
Bongo tunaumizana kisa njaa, alafu shangaa mtu akishapata mamilioni ya fwedha kwa njia ya haramu baada ya muda nafsi inaanza kumsuta unashangaa anaanza kugawa hovyo hovyo.. waliokulia kanisani utawaona wanavunga kutoa sadaka.. wale wenzangu na mm ndo kutwa kuzungusha bia bar, wasio na dini utaskia wanalisha watoto yatima etc..

Ila ukimuangalia anaetoa hizo sadaka hafananii na mtu mwenye hela, yaan uso hauna nuru, Body language bado ya kimaskini.. unagundua tu huyu hajawa blessed naturally, anatoa sababu keshapata alichokua anakitaka akahisi kitampa furaha saizi anateswa na hatia..

Just Earn a decent income, an income that is rightfully yours then rejoice in every way possible!!

To be free in life is to detach yourself from it, and not to succumb in its material thingz!

Kudadeki! Nimetema yai la Mbuni, kwa hisani ya watu wa Marekani!!
Dogo unazingua hapo mstari wa mwisho tuliza wenge kijiti piga kimoja sizi
 
Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana kariakooo, na walizunguka media mbali mbali kuonyesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...

Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa saana wakiuza jumla....

Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.

Cadet za kiume jeans wanauza 20,0000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.

Wafanyabiashara wa china wameanza kuonyesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Huyu aliexpres ndo msambazaji mkuu wa bongo au ni mchina kutoka china?
 
Tatizo linakuja hapa

Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,

Sema moja, Purchasing price

Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,

Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20

Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa

Atalipia wharfage charges kama inahitajika

Atalipia shipping line charges,

Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,

Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,

Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,

Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,

Kuna makato wakati analipia mzgo

Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Wachina wenye ofisi zao kariakoo wanafanya yote haya lakini bei zao zipo chini
 
Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana kariakooo, na walizunguka media mbali mbali kuonyesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...

Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa saana wakiuza jumla....

Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.

Cadet za kiume jeans wanauza 20,0000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.

Wafanyabiashara wa china wameanza kuonyesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Alibaba,taobao,1688,madeinChina,Global source huko kwenye hayo masoko bidhaa ni bei za kutupa kabisa! Wachina waaminifu unaagiza mzigo unakufikia vizuri kwa bei kitonga
 
Back
Top Bottom