secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,617
- 44,494
Mwanamke akinipa UTI namlamba makofi ya haja ili siku nyingine awe anajisafisha vizuri.
Mwanamke akinipa UTI namlamba makofi ya haja ili siku nyingine awe anajisafisha vizuri.
Kazi kweli kweliMwanamke akinipa UTI namlamba makofi ya haja ili siku nyingine awe anajisafisha vizuri.
Huruma siyo malezi hata kidogoKazi kweli kweli
Hapo wengi wanafeli wanajificha kwenye UTI kumbe ni gonorrheaHilo gono kaka
Hii roho inatesa sana watuAhsante
bahati yako je angekuanbukiza kaswende?Naapa kwa jina la JF kuanzia leo mimi Kazanazo nimeacha uzinzi sitakuja kurukia tena pisi za nje hata kama mke wangu aninyime kwa mwaka mzima
Hili gube gube limeniambukiza uti sijawahi ugua toka nizaliwe wallah nimekoma sirudii tena
Shida figa watu zinatuchanganya mzee 😁
Uzinzi - kutembea na mtu nje ya ndoaNaomba kueleweshwa maana ya maneno ya fuatayo
Uzinzi………….
Kuacha……….
Kwa jina la jf…….. 😂😂
Inasikitisha sana 😯
KatupigaUzinzi - kutembea na mtu nje ya ndoa
Kuacha - kitendo cha kuahirisha jambo ulilokusudia kulifanya mara kwa mara au kulipanga hapo baadae😎
Kwa jina la jf - inamaanisha kila kitu kinachoongelewa kupitia mgongo wa jf au kiapo cha jina la jf ni FEKI, yaani ni utani,kauli au kiapo husika kimechukuliwa kama Masihara
Xiao qui shui