Kiapo: Kuanzia leo nimeacha uzinzi

Kiapo: Kuanzia leo nimeacha uzinzi

Hata sina haja ya kumwambia yeye anaamini choo tunachotumia na wapangaji wenzetu kichafu namimi naunga mkono hoja yake nzuri

Ila nimekoma mimi sio wakuumwa namna hii wiki inakaribia kukata nipo tu ndani alaaniwe yule mdada na tako lake
Mkiambiwa hayo matako ni machafu hamuelewi
Kimekiramba
 
Ndiyo maana yake
Ukiona mtu ana UTI imetokana na bacteria anaitwa Escherichia coli ambaye yupo kwenye haja kubwa sasa akiingia kwenye urethra njia ya mkojo ndiyo anasababisha UTI
Together sasa mada inaitwaje uzinzi wakati kafanya ufirauni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom