Mweusi Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 332
- 322
Nilikaa pale BOLE masaa 6 on transit kudadadeki ila sitoacha mie ni MTU wa adventure Ndo maana hata kama nitaenda Kigoma kwa bus lazima nirudi na ile treni yetu tena kule kajambanani yaan third class. I always Enjoy.