KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

Bole huwezi kujisaidia maana vyoo ni vichafu kupindukia!
Addis Ababa ni pachafu mbaya except ilipo AU.
Airport WiFi inazidiwa hata na JNIA yetu...Cloud9 lounge ya Business class ni kama bar za uswazi!!!

Wanauchumi mkubwa lakini hali ya maisha ya waethiopia ni duni sana!!

Hawana uchumimkubwa.

Uchumi wao bado umefungwa.
 
Wale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama kariakoo, restaurant bei za ajabu ajabu, cancellation kama kawa, vyoo vichafu, bora kukwea FLY DUBAI au kupitia KIGALI ama NAIROBI ukakwee CHINA SOUTHERN AIRLINES.
NB: Wizara - Mambo ya Nje tafadhali ongeeni na CHINA SOUTHERN AIRLINES waje mpaka DAR angalau.
BOLE is boring... Ukitaka kujua panaboa zaidi fika pale alfajiri. Yaani uwe una connection ya asubuhi utajuta. Yaani panakua kama vile kiwanja kilichochezewa kigodoro jana yake halafu hakikusafishwa. Pako shaghala baghala.. vyoo vichafu, WiFi free hawana, yani mpaka uende cloud 9 au kwengine ndio upate hiyo huduma kwa kulipia.
kituko sasa ni DELAY ambazo hata taarifa hupewi au cancellation za ajabu ajabu.
Ukifika tu pale unajua sasa nimeingia Africa(si itukani Africa, hapana ila ule ubabaishaji wetu wa kiafrika).
 
na unaweza ona cancellation kumbe wenzio wana board mlango mwingine,unashtushwa na matangazo ya jina lako ndege inaondoka.
 
Duuhh!! Afadhali uwanja wa Qatar ila daah kwenye upande wavyoo kama uko transfer nishidaa wapikistani na wahindi wanatematema wate ovyo kwenye sinki hadikinyaa
 
Hawana uchumimkubwa.

Uchumi wao bado umefungwa.
Kuwa na uchumi mkubwa haijalishi sana kama umefungwa au la!
Katika top 10 ya biggest economies (macro economy) za Africa Ethiopia imo.
 
Kwa ss hii ndege ni expensive sana, tangu ETIHAD waanze kuja bongo nimewapiga chini hawa jamaa zangu wako juu sana, ila namiss direct flight to KIA
 
Cha msingi ukifika pale inabid uwe makin sana kuchek flight inaondoka saa ngap.. Afu watu wa migration Pale nao wanazingua yaan kama upo foleni na wa Ethiopian basi ataruhusu wale wapite kwanza na wanaweza kukuzingua wakasema passport si yako.. Kuna mda alikaa kama siku 3 wanazingua pale. Ila nadhani ni cheap flights ya kupanda hasa ya kwenda mbele cha msingi ufike maana huduma za ndani ya ndege ni nzuri tuu na za kuridhisa..
 
Bole huwezi kujisaidia maana vyoo ni vichafu kupindukia!
Addis Ababa ni pachafu mbaya except ilipo AU.
Airport WiFi inazidiwa hata na JNIA yetu...Cloud9 lounge ya Business class ni kama bar za uswazi!!!

Wanauchumi mkubwa lakini hali ya maisha ya waethiopia ni duni sana!!
Hivi JNIA kuna WiFi?
 
Sawa na Wanyarwanda.Nje wasafi ila ndani ni hovyo kabisa!

Mkuu acha hizo bana, wanyarwanda wasafi sana, hebu nipe utofauti wa usafi wa wanyarwanda na watz? Acha kudhalilisha nchi za watu.. Kwa usafi gani haswa unataka kusema watanzania wamezidi wanyarwanda?? Anzia kulinganisha dar na kigali kwanza.!
Na hapa tunaongelea Bole airport, Ethiopia sio Rwanda eboo.!
 
Back
Top Bottom