KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

Wanyarwanda wanatumia tissue kujisafisha sehemu za Siri Watanzania wanatumia maji.Nani kati yao atakuwa msafi.
Ahahaha kuna wazungu nafanya nao kazi..niliwaambia hili neno walichonijibu eti ata kama unatumia sabuni kunawia mikono binadamu timamu unashikaje ile kitu na mkono wako nawazaga mara mbili mbili ila kuacha maji siwezi nahisi kama bado sijajisafisha
 
Takbiiir
 
611tqq7mF5L._AC_UF1000,1000_QL80_.jpg

Ndo maana mzungu akavumbua hii makitu unaosha mkunduu bila kushika mavii halafu baadaye unakausha na toilet paper.

Sasa cha ajabu mimatumbi inajifanyaga misafi halafu inakufa kama nzi kwa kipindipindu.
 
Inategemea na Culture ya nchi
Wabongo Nyumba ndio kila kitu kuliko kupush ndinga kali
Wakati Wazambia, Wacongo, Ethiopians, South Africans wanathamini ndinga kali wakati wanalala kwenye Mabox, nyumba za udongo
Hapana Wazambia wanajenga sana sasa hivi na vifaa vingi vya ujenzi vinaingi Vingi Zambia kutokea SA kuliko hata Tanzania na bei zao zipo chini na kodi pia zipo poa...kuishi maisha mazuri sio Culture brother Wabongo wanaamini katika used ila wazambia wanaamini katika kitu kipya na wananunua kweli na kutumia..
 
Hapana Wazambia wanajenga sana sasa hivi na vifaa vingi vya ujenzi vinaingi Vingi Zambia kutokea SA kuliko hata Tanzania na bei zao zipo chini na kodi pia zipo poa...kuishi maisha mazuri sio Culture brother Wabongo wanaamini katika used ila wazambia wanaamini katika kitu kipya na wananunu kweli na kutumia..
Point. Kumbuka pia Wazambia wengi wamesoma na Wana exposure kuliko ndugu zetu Watanganyika
 
Sijui Dole siku hizi je usafi wameboresha? Kwa JNIA terminal 3 ni safi Sana kama Ulaya sema abiria wachache! kuna siku nafika Instanul abiria wengi utadhani arusi sema Wasafi Sana na ni Turkish Airlines
 
hiyo ndege ETHIOPIAN (ambapo bila kutaka utatumia uwanja tajwa) ni kwa ajili ya waafrika & wachina wabahili-bahili wenye akili wanajipambanua na EMIRATES, QATAR, SWISS na KLM
Kila nchi nyingi lazima upite transit miji yao kwanza
Bole ilikuwa nzuri ila kuna misimu huwezi kupita kwa sababu ya Waafrika wengi wanapata connection za flight zao hapo

West na central Africa wote ndio route yao hiyo kwa hiyo uchafu kawaida
 
Wazambia wataendelea kutumia vitu vipya kuliko sisi nimepeleka Hilux GD 6 ya 2018 wametaka kodi ya kama Tsh 6,000,000 ambayo ni Zambia Kwatcha 60,000 gari utakayoweza kuuza kuanzia usd 45,000 wakati Ford ranger ya 2016 Tanganyika nimelipa kodi 23,578,000 kodi tu tofauti tunayo kubwa sana kwa wao kuendelea kutumia vitu vipya...badala ya kupunguza kodi kwa gari mpya zaidi ili watu waagize gari za miaka ya karibuni wao wanakua kikwazo..
 
Back
Top Bottom