Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 21,786
- 44,657
Nchi ngumu hiyo mkuu hapo Laptop,TV,washing mashine hapo Tunduma wanavitolea macho kama sijui kitu gani wakati Zambia hawaoni kitu hapo..vifaa vya Ujenzi ndio kabisaa Tanzania hata ununue vya kwako utaambiwa vibali vya kutosha wakati wenzetu wamerahisishiana sana life na ndio maana wana maisha fulani yapo standard.Zambia wanapenda vitu vizuri/classic. Wabongo tunapenda cheap na duni. Pia, tumejaa usela mavi kupenda short cut