KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

ATC hii ya marubani wetu hawa wazee? tuombe mola atupatie hikma na busara katika kuendesha shirika hili pendwa.
** Tubadilishe jina....KILIMANJARO AIRLINES
Ukiona nyani mzee............. Experience could mean the difference between life and death.
 
Dubai, China, Mumbai, Delhi na Jeddah (Saudi Arabia) yanapelekwa yale mafuso yaliyoshindikana kwingine huko!! Sasa ukifika pale BOLE ndo unakutana na huo upuuzi wa nyomi ya "Mapopo" na Wachina mixed grill.
 
ila kwa tunaopandaga kwenda Canada, Pearson Int'l airport, hatujutii!!
 
Dubai, China, Mumbai, Delhi na Jeddah (Saudi Arabia) yanapelekwa yale mafuso yaliyoshindikana kwingine huko!! Sasa ukifika pale BOLE ndo unakutana na huo upuuzi wa nyomi ya "Mapopo" na Wachina mixed grill.

Mkuu umenichekesha sana
Eti mafuso
 
SHERRIF ARPAIO ni kweli mkuu hiyo " mifuso" wanapeleka zile route za wachuuzi mfano China+Dubai na Kule wanakopelekwa "house maids" Saudi Arabia+Kuwait. Wale wa Toronto-Pearson na Washington-Dulles wanapewa ndege za maana.
 
Mwaka Jana nimepanda hiyo kwenda Addis Ababa nikapitiwa usingizi katikati ya safari. Niliposhtuka humo ndani ni kelele tupu utafikiri tunaenda mkoa. Kumbe kama robo tatu ya abiria walikuwa wafanyabiashara wa kariakoo wanaenda China.!
 
Katavi- sasa safari ya DAR-ADDIS unasinzia siku unaenda SYDNEY si ndio utasahaulika kabisa ndugu!
 
Songwe mbali aende unguja na kurudi dk 15 kwenda dk 15 kurudi
 
Mi nawaza tu hapa ni lini ntapanda MTEI na nikiwa na kuku, mbuzi nifike dar
 
Back
Top Bottom