Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,529
Ujinga mwingi sanaWabongo maneno tumejaaliwa!
Ujinga mwingi sanaWabongo maneno tumejaaliwa!
Aisee Hawa jamaa Ni kiboko usiamini zile screensna unaweza ona cancellation kumbe wenzio wana board mlango mwingine,unashtushwa na matangazo ya jina lako ndege inaondoka.
Mkuu joshua_ok hongera kwa safari za majuu ILA niseme tu pale addis Ababa na hata Nairobi na kigali unaposafiri fanya Timing vizuri ILI usikae ON-TRANSIT kwa muda mrefu sana. Mfano kama unasafiri ondoka Dar kwa ndege ya Alfajiri Unless safari yako toka ddis Ababa , Nairobi au kigali kwenda "Ulimwenguni" inaanzia huko usiku wa Manane.
Mkuu joshua_ok kuhusu Addis ababa kuwa na watu wengi kama "Kariakoo" hilo ningetamani kama ungeongelea na upande wa pili wa hiyo Scenario. Watu wengi pale Addis Ababa maana yake hilo shirika lina connection nyingi sana kwa nchi za Afrika hivyo basi hao unaowaona wapo ON TRASIT. Mimi natamani siku moja kuiona hiyo hali ya wingi wa watu hapo Addis Ababa hapa kwenye uwanja wetu wa ndege wa JK Nyerere au pale. KIA.
Ahsante
Terminal 3 inatuwakilisha kimataifaAirport Ni kioo cha nchi
Kiasili waethiopia ni wachafu.
Kumbe ulikuwa unajiita joshuaWale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama kariakoo, restaurant bei za ajabu ajabu, cancellation kama kawa, vyoo vichafu, bora kukwea FLY DUBAI au kupitia KIGALI ama NAIROBI ukakwee CHINA SOUTHERN AIRLINES.
NB: Wizara - Mambo ya Nje tafadhali ongeeni na CHINA SOUTHERN AIRLINES waje mpaka DAR angalau.
Kafiri hiloKumbe ulikuwa unajiita joshua
Ndege nzima inanuka injera tuuu halafu kujambiana njia nzima






Ukute hujui hata kinachozungumziwa hapaVery true hakuna cha uhaya wala nini Ethiopian Airline ni madaladala yaliyochangamka kama una akili sawasawa chagua Emirates ,Qatar etc hizo za wahabeshi ni takataka tu
Wachafu Kweli wale jamaaWale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama kariakoo, restaurant bei za ajabu ajabu, cancellation kama kawa, vyoo vichafu, bora kukwea FLY DUBAI au kupitia KIGALI ama NAIROBI ukakwee CHINA SOUTHERN AIRLINES.
NB: Wizara - Mambo ya Nje tafadhali ongeeni na CHINA SOUTHERN AIRLINES waje mpaka DAR angalau.
Ukute hujui hata kinachozungumziwa hapa
UtaaibikaAisee Hawa jamaa Ni kiboko usiamini zile screens
Wanyarwanda wanatumia tissue kujisafisha sehemu za Siri Watanzania wanatumia maji.Nani kati yao atakuwa msafi.Mkuu acha hizo bana, wanyarwanda wasafi sana, hebu nipe utofauti wa usafi wa wanyarwanda na watz? Acha kudhalilisha nchi za watu.. Kwa usafi gani haswa unataka kusema watanzania wamezidi wanyarwanda?? Anzia kulinganisha dar na kigali kwanza.!
Na hapa tunaongelea Bole airport, Ethiopia sio Rwanda eboo.!