KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

Nilikumbana na hizo changamoto za Ethiopian Airlines na Bole International Airport (hasa za ku "cancel route" na kasheshe la miundombinu na utitiri wa watu) on my way from bongoland to Addis. Nilibahatika kufika hadi vijijini na kuona maisha halisi ya Wahabeshi ambapo usafiri wa farasi na ile mikokoteni ya farasi uko kwa kiwango cha juu sana.

Nilichojifunza
Kuna tabaka la Wahabeshi ambao ni matajiri sana na tabaka jingine ni la maskini sana/fukara.
Wamejitahidi kujenga miundombinu ya barabara na reli (skyways na flyovers) nyingi nyingi kupita Nairobi na Dar ndio hatunazo kabisa licha ya kwamba bado tatizo la foleni lipo.
Kimipango miji, kuna mitaa imepanginga vizuri sana hasa maeneo ya ofisi za AU na kuna mitaa ambayo ni uswazi kwa sana tu.
Bole International Airport ina ndege nyingi sana kubwa na ndogo na kwa asilimia zaidi ya 90 ni Ethipian Airlines. Za makampuni mengine ya usafiri wa anga zipo ila si nyingi kivile.

Nikifanya ulinganisho kati ya Ethiopia na Tanzania (kwa mtizamo wangu, ambao unaweza kuwa challenged vilevile);
Ethiopia wako mbali sana kwa masuala ya usafiri wa anga licha ya mapungufu yao waliyonayo
Addis imepiga hatua kubwa sana kwa masuala ya miundombinu ya barabara na reli licha ya changamoto nyingi walizonazo bado

Ushauri wangu kwa Watanzania wenzangu wote pamoja na serikali
Kujifunza kutoka kwa Ethipia namna gani wamefanikiwa katika kuendesha shirika lao la ndege na kutake advantage ya mapungufu yao ili kuboresha ya kwetu.
Kujifunza kutoka Ethipia namna walivyofanikiwa kutekeleza miradi ya miundo ya barabara na reli ili tufanye kwa ubora zaidi ili siku moja na sisi tujadiliwe kwa mambo mazuri.
NB: Nailinganisha Bongo na Addis kwa sababu ya ujirani na kwa ujumla wake naona kama hakuna tofauti kubwa kivile iwapo tutawaza kwa usahihi na kutenda kwa usahihi. Bongo, Nairobi na Addis zina mazuri na mabaya ambayo nayaona kama ni similar in nature......kuna mitaa bomba na mitaa ya kiswazi kwa sana.
Kama tukidhamiria kwa dhati na kuacha sanaa na matamko ya kisiasa siasa yasiyokuwa na utekelejazi wala dira ya kitaifa, Tanzania tunazo fursa na uwezo mkubwa wa kujifunza kutoka kwetu wenyewe, majirani zetu wa karibu na majirani wa mbali waliofanikiwa na waliochemsha pia ili kutengeneza model yetu ambayo ni hybrid na unique.
Tunao uwezo wa kuwa na shirika bora sana la ndege Afrika iwapo tutadhamiria na kuacha usaniii usaniii na maneno maneno na ujanja ujanja na wizi wizi
Tunayo fursa na uwezo wa kuwa na mji bora uliopangika vizuri, wenye miundo mbinu bora kwa Afrika kama tutakuwa na strategic plan na focus ambayo haiko kisiasa. Tukiwa na mwongozo/plan ya miaka 50 hadi 100 ambayo kila rais anayechaguliwa analazimika kuitekeleza bila kujali anatoka kundi gani la mtandao wa kisiasa/chama gani tutafika.
Tatizo la TZ ni kuongea ongea sana na kusema sema mambo ya majirani zetu wakati kumbe na sisi tumechoka sana halafu ukitoka tu nje ya mipaka ya bongo ukisema natoka TZ wanauliza where is TZ hii kitu huwa inaniuma sana na ili ueleweke unafafanua ni majirani wa Nairobi au ni nchi mojawapo ya East Africa.
Tatizo jingine ni kwamba hatuna dira na vipaumbele vya taifa na ndio maana tunakwenda kwenda tu. Nyerere alikuwa na vipaumbele vyake, Mwinyi akawa na za kwake, Mkapa akaja na nyimbo zake, Kikwete naye na dance zake, Magufuli naye katoka kivyake kabana maisha yamekuwaje hata sielewi maana naona tunahama juu juu kuelekea Dodoma sijui kuna ukweli wowote au ni swaga zilezile hata sielewi mwenzenu.....halafu kwa style hii huyo atakayeachiwa kijiti na Magufuli sijui atasema hapa Dom naona pakame sana mimi ngoja nihamishie makao makuu yaende Dareda.....mimi sielewi kwa kweli.
Mwisho nasema hivi hapa chini ya jua hakuna kitu kinachoshindikana iwapo kutakuwa na dhamira ya dhati. If we change our mindsets I can see a better Tanzania in 50 - 100 years to come. We need to think otherwise for our next generations ili nao wasije kuwa ni vichwa vya wendawazimu wa kuona mambo mazuri na mabaya ya wenzao wakati wao wako taabani. A true change begins with you.....ukitaka maisha mazuri anza wewe, nyumba nzuri anza wewe, gari nzuri anza wewe, ndege nzuri, anza wewe, mji mzuri anza wewe n.k...n.k....n.k...
 
Dah post yako imenigusa sana, kusafiri safiri unajifunza mambo mengi sana!
 
Hii ATCL yetu tukiacha siasa tukaamua kupiga kazi mbona tunatoboa tu faster..
Dar - J'BURG. DAR - LUSAKA - LUBUMBASHI. DAR - GHUANZOO, DAR - COMORO - KHARTOOM, DAR - DUBAI, DAR - OMAN, DAR - MUMBAI.. Kwa kuanzia zinatosha kabisa..
 
we acha tu!!
ndege tunazisoma JF

Usijali. Kila kitu kina mda wake. Mwalimu Rabbi kasema hapo juu. Kila kitu kizuri anza wewe. So worry not ndege utapanda mpaka utazichoka.

Back to the topic: Niliwahi kuandika kwenye hii thread kwamba nitapanda Ethiopian nilete mrejesho. Kiukweli nimeitumia mara mbili in the past two months (Dar-Addis-Dubai and Dubai-Addis-Dar). But I have had a terrible experience using the airline and Bole Airport in particular. The airport is simply horrible. Yes, najua kabisa Ethiopia as developing country in changamoto nyingi sana. But with the massive investment the government has made in improving the airline and associated infrastructure. I believe they could and can do better.

I flew Ethiopian from Dar to Addis-connecting to Dubai and elsewhere. the flying experience is zero. Watu ni wengi mno (which is a good thing-but unfortunately not so much a vote of confidence into Ethiopia airline services but rather because of convenient connections and of course the apparent lower cost-which to me it is not). The fact is no order in boarding/getting seats/storing your luggage among other challenges (watu wanagombania kuingia kwenye ndege!). Kabla ndege haijasimama...watu wameshanyanyuka! it is just chaotic scene to witness. The food is horrible simply rice and chicken-all the time I have flew the airline! WC at the airport stinks and are plainly dirty!

I feel sad, because when I see an African country succeeding I feel great because it is Africa-our home. But after trying Ethiopia airline four times, I have made a decision, I will not fly it again. Unless I am going to Addis or there is something urgent. I will revert to fly Emirates. Though najua hela nawachangia waarabu but at least..even if they don't respect me-they respect my hard earned cash! and this is what every customer wants.

However, nawapongeza Ethiopia Airlines. Ingawa customer services ni zero I flew from Dubai using their Boeing it is a comfortable plane. Sasa nashindwa kuelewa kwa nini wasi-improve huduma zao kwa wateja.

They have great planes. They need to improve flying experience for their customers.

NB: I have booked all my tickets online. They have so many hidden costs. So what you see online as the ticket price may not necessary be the amount you end up paying. By the way Emirates has no hidden costs.
 
Back
Top Bottom