KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

Usijali. Kila kitu kina mda wake. Mwalimu Rabbi kasema hapo juu. Kila kitu kizuri anza wewe. So worry not ndege utapanda mpaka utazichoka.

Back to the topic: Niliwahi kuandika kwenye hii thread kwamba nitapanda Ethiopian nilete mrejesho. Kiukweli nimeitumia mara mbili in the past two months (Dar-Addis-Dubai and Dubai-Addis-Dar). But I have had a terrible experience using the airline and Bole Airport in particular. The airport is simply horrible. Yes, najua kabisa Ethiopia as developing country in changamoto nyingi sana. But with the massive investment the government has made in improving the airline and associated infrastructure. I believe they could and can do better.

I flew Ethiopian from Dar to Addis-connecting to Dubai and elsewhere. the flying experience is zero. Watu ni wengi mno (which is a good thing-but unfortunately not so much a vote of confidence into Ethiopia airline services but rather because of convenient connections and of course the apparent lower cost-which to me it is not). The fact is no order in boarding/getting seats/storing your luggage among other challenges (watu wanagombania kuingia kwenye ndege!). Kabla ndege haijasimama...watu wameshanyanyuka! it is just chaotic scene to witness. The food is horrible simply rice and chicken-all the time I have flew the airline! WC at the airport stinks and are plainly dirty!

I feel sad, because when I see an African country succeeding I feel great because it is Africa-our home. But after trying Ethiopia airline four times, I have made a decision, I will not fly it again. Unless I am going to Addis or there is something urgent. I will revert to fly Emirates. Though najua hela nawachangia waarabu but at least..even if they don't respect me-they respect my hard earned cash! and this is what every customer wants.

However, nawapongeza Ethiopia Airlines. Ingawa customer services ni zero I flew from Dubai using their Boeing it is a comfortable plane. Sasa nashindwa kuelewa kwa nini wasi-improve huduma zao kwa wateja.

They have great planes. They need to improve flying experience for their customers.

NB: I have booked all my tickets online. They have so many hidden costs. So what you see online as the ticket price may not necessary be the amount you end up paying. By the way Emirates has no hidden costs.
Same happens to me enroute Dubai, immediately after landing at Bole Airport we were directed to a certain hall, waiting our next flight for about 3 hours, hence, forced to buy Wi-Fi token 20 minutes/10 USD. Crazy! I better add 50 USD to get Emirates ticket rather than these cheap cheap thing from Addis.
 
Tatizo la Ethiopian ni hapo uwanjani tu, lakini kwa ndege wamekamilika
 
Na sasa hivi kuna state of emergency, as such, wameblock access ya social networks na huwezi access Facebook kabisaaa. Hata access ya WhatsApp, Viber etc ni ya kuzingua sana na unaweza usiipate kabisa. Kama unatransit na unajua utakaa pale muda mrefu, wewe install VPN kabla hujapanda ndege au beba kitabu ujiandae kusoma while ukisiburi connecting flight.
 
Je airport ya hapo ni nafuu kuliko hii ya kwetu Dar?
Tofauti ipo kubwa sana, hapa kwetu hatujazi umati kama BOLE, japo ARRIVAL/IMMIGRATION zile AC zilishakufa kitambo ukitua pale lazima jasho likutoke ama uondoke na TB *****
 
B
Na sasa hivi kuna state of emergency, as such, wameblock access ya social networks na huwezi access Facebook kabisaaa. Hata access ya WhatsApp, Viber etc ni ya kuzingua sana na unaweza usiipate kabisa. Kama unatransit na unajua utakaa pale muda mrefu, wewe install VPN kabla hujapanda ndege au beba kitabu ujiandae kusoma while ukisiburi connecting flight.
Waendelee kufunga tu hiyo internet angalau 10 USd zipone maana walikuwa wanatuibia tu
 
Wale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama kariakoo, restaurant bei za ajabu ajabu, cancellation kama kawa, vyoo vichafu, bora kukwea FLY DUBAI au kupitia KIGALI ama NAIROBI ukakwee CHINA SOUTHERN AIRLINES.

NB: Wizara - Mambo ya Nje tafadhali ongeeni na CHINA SOUTHERN AIRLINES waje mpaka DAR angalau.
Kuna golden class siyo pote ni kama kariakoo,
 
Mkuu kusukuma magari expensive sio big deal. Mkuu kudrive Tanzania gari kubwa ni big deal Mimi nadrive gari kubwa Jozi na bongo pia kwa hiyo nachozungumza kwa Tanzania nakijua sio kwamba nasimuliwa kwa Zambia sio big deal maana Mzambia mtaji kidogo ana gari kubwa tuu...
 
Wazambia hela za kununua magari makubwa sijui wanapataga wapi?
Mkuu Wazambia wametangulia sisi bongo vitu vingi ni anasa wao ni vitu vya kawaida Mzambia ashazoea kununua vitu vipya kuanzia fridge,TV radio,Nguo na mwisho wa mwezi wanaume kwa wanawake wote wananunua vitu vipya ndio maana unaona kujengwa Mliman city mall Tanzania tulianza kuliko wao wakaja na Levy sasa wanazo zaidi ya tano Lusaka tuu na wananunua sana na bei za kawaida na watu wapo smart hata katika hizo mall's zao na pia kodi ya kuingiza na kuuza bidhaa Zambia sio kubwa na mzigo ukishaingia hakuna kukamatana tena na police kama huko Bongo hakuna bidhaa harafu busy kusumbuana kwa vichache vilivyopo...wengi wa Wazambia wanafanya kazi nje na wanarudi na Mali nyumbani bila kusumbuliwa kuwa umezipaje huko kama bongo walivyo...
 
blessing wachina waliingia kwanza Zambia na wakata kuingiza Boda Boda kama usafiri serikali ilipiga marufuku huo usafiri ndio wakaingia Bongo na kufanikiwa biashara yao...
 
Wale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama kariakoo, restaurant bei za ajabu ajabu, cancellation kama kawa, vyoo vichafu, bora kukwea FLY DUBAI au kupitia KIGALI ama NAIROBI ukakwee CHINA SOUTHERN AIRLINES.

NB: Wizara - Mambo ya Nje tafadhali ongeeni na CHINA SOUTHERN AIRLINES waje mpaka DAR angalau.


Mzee tafadhali sana..usiharibu biashara ya watu..ulikunywa bia gani pale meta premium au walia..na warembo wa restaurant uliowaonaje..wale wanawake wazuri aisee.Airport gani vyakula nafuu..hata kwa airport ya madiba kuna gharama.., hata airport ya shamba la bibi vyakula vyao gharama pia.. nimipita sana pale nikiwa naenda china.kwanza ndege zao cheap sana.nzuri..

sema changamoto ni kusubili sana pipa la kuunga kwenda beijing..unafika unasubilia ndege mpka saa 8 au 7 usiku.

but baada airpot ya south,misri hakuna airport nzuri km bole..hata airport ya mjaluo/odinga ya kawaida sana licha kuongeza terminal.. ki entembe& rwanda vidogo..sema rwanda airpot yao safi sana.
 
Mkuu Ethiopian airlines sio bei rahisi.Bei zao zinalingana sana Na Emirates or KLM.
Vilevile ukichukua ndege ya Emirates lazima ubadilishie Dubai kadhalika KLM Amsterdam
Halafu sio ubahili Au ujinga kuchukua Ethiopia wakati mwingi inabidi Kutokana Na shughuli za muhusika.

mkuu ethiopian airlines is very cheap ohh!!
 
Hapana, wanazo pia bia na wine
Ila huduma zao ziko chini sana huwezi hata kujaribu kulinganisha na ndege zingine

Mbona mie yule dada Edela huwa ananipa mpk chupa 6 za wine kutoka Bole hadi Beijing.
 
Back
Top Bottom