KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

Wazambia wataendelea kutumia vitu vipya kuliko sisi nimepeleka Hilux GD 6 ya 2018 wametaka kodi ya kama Tsh 6,000,000 ambayo ni Zambia Kwatcha 60,000 gari utakayoweza kuuza kuanzia usd 45,000 wakati Ford ranger ya 2016 Tanganyika nimelipa kodi 23,578,000 kodi tu tofauti tunayo kubwa sana kwa wao kuendelea kutumia vitu vipya...badala ya kupunguza kodi kwa gari mpya zaidi ili watu waagize gari za miaka ya karibuni wao wanakua kikwazo..
Lusaka sijawahi kuona bodaboda labda iwe courier/delivery (DHL au Uber eats)
 
Wale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama kariakoo, restaurant bei za ajabu ajabu, cancellation kama kawa, vyoo vichafu, bora kukwea FLY DUBAI au kupitia KIGALI ama NAIROBI ukakwee CHINA SOUTHERN AIRLINES.

NB: Wizara - Mambo ya Nje tafadhali ongeeni na CHINA SOUTHERN AIRLINES waje mpaka DAR angalau.
Vyoo baba, hatareee.
 
Halafu wakati wa departure ni kero kubwa hasa jamaa wa Afrika Magharibi wamekosa ustaarabu wa kiwango cha kutisha wanagombania kuingia ndani ya ndege utafikiri daladala za Mbagala.
 
Lusaka sijawahi kuona bodaboda labda iwe courier/delivery (DHL au Uber eats)
Zambia boda boda walipiga marufuku kwa ulevi wa vijana wao wanasema itakua kama Tanzania ishu ya ajali hata Bajaji pia walipigz marufuku wewe leta gari kodi ni ndogo na ipo fixed ulete gari mpya au ya zamani kodi kwa model moja kodi zipo sawa ndio maana wanachagua kununua model mpya mpya tu..
 
Hapa ndio panaponitia hasira kuhusu hii nchi yaani kumiliki gari kama anasa wakati ilibidi huko vijijini wakulima wamiliki hata vi Toyota dabo kibini vya kutosha kama magari ya shamba ila still serikali ya CCM inayojinasibu kilimo kwanza wameweka makodi Mwana nikome!
Tutaendelea kutumia takataka za 1978
Shabhash!
 
Jamaa angu mmoja alienda kusoma Lusaka University hapo kaanzisha maisha huko huko ana Kampuni kubwa ya Ujenzi vifaa vingi alinunua nje anasema Serikali ilikua inampa muda mrefu ili alipe kodi ana mitambo ya kisasa sana ya ujenzi kitu ambacho Eng kama yeye Tanzania wengi wanahangaika kukodi tu...gari anazotumia ni kuanzia 2020 kuja mbele kasoro za Ukandarasi tu nimeona ana Nissan Hardbody na Toyota za kutosha kitu ambacho ukifanya Tanzania hayo magari tu utakadiliwa kodi ya kutosha kana kwamba ni Mfanyabiashara mkubwa kumbe unajitafuta..
 
Duu nasikia hata Baswana Wana drive Ndinga New model ila nyumba za slope!
Na hawana bandari wale hivi unajiuliza hii nchi aliyeilaani ni Forojo ganze au Mwanamalundi?
Maana unaona kabisa serikali wanatutengenezea umaskini wa kujitakia!
 
Duu nasikia hata Baswana Wana drive Ndinga New model ila nyumba za slope!
Na hawana bandari wale hivi unajiuliza hii nchi aliyeilaani ni Forojo ganze au Mwanamalundi?
Maana unaona kabisa serikali wanatutengenezea umaskini wa kujitakia! Watanzania tuna roho mbaya ya asili hatutaki watu wote waishi maisha mazuri ndio maana pana figisu nyingi sana ili ufike mbali na ukishatoboa wanakuogopa kukufanyia figisu...
Watanzania tuna roho mbaya ya asili ndio maana pana figisu nyingi sana nilikua mtaa mmoja jana naona Ma friedge used yamejaa yanauzwa pale tukiamini eti used ni kitu bora kuliko kipya kwa sababu vitu vyenye brand bors vinauzwa bei kubwa kwa sababu ya kodi yaani Washing machine tu kwetu ni kitu cha Anasa wakati huko Duniani ni bei za kawaida tu TV Tanzania zipo wanauza Tsh 4.5M daah toleo hilo hilo Kaburu macro anauza rand 11,000 sawa na Tsh 1,700,000 au 1.8m hapo Wafanyabiashara wamekamuliwa kweli...huku vitu vya muhimu kwa Wananchi havijapewa kipaumbele kwenye kupunguza kodi ili Watu watumie vitu bora na wawe na maisha bora..
 
Duuu inatia hasira sana mkuu,ujamaa umetuathiri kiasi kwamba tunatukuza umasikini yaani Halafu cha ajabu hao vilaza walioshika madaraka wakiagiza vitu wanakwepa kodi bandarini kiujanja ujanja kwa kutumia vyeo badala watumie nafasi hizo kubadili mifumo mibovu iliyopo yaani hata wao hawajui tatizo ni wapi!
😁😁
 
Upo sahihi mkuu wanawapa Wafanyabiashara wakubwa mianya ya kukwepa kodi harafu na wao wanapitisha huko huko badala ya kuweka mazingira mazuri kwa wote wao wanaweka kwa ajili yao tu hapo Malawi unaweza kwenda kununua Scania Mende iliyopiwa kodi kwa bei nafuu kabisa wakati Tanzania Fusso Tiper inafika kwa 80m Tsh shilingi kama tumerogwa vile hapo Malawi Mende unapata kwa Tsh 45m kuendelea au Tipper na wao wanapitisha vitu vyao hapa kwetu...Juzi nilikua Tunduma wanasema Bajaji ili ifike na Usajiri inafika kwa Tsh 10m aisee yaani hiyo ni Bajaji ya mitairi matatu..
 
Sometimes kujitambulisha kama Mtanzania hua naona aibu maana tuna Mazingira mazuri kijiografia yakutufanya tuishi kwenye paradise ndogo hapa Duniani ila cha ajabu tumekua shit hole kwa kujitakia sometimes hua nawaza hivi hawa wanaopata nafasi za juu kwanini wasichukue maamuzi magumu kulibadili Taifa kila nikikumbuka IQ za wabongo tulivyo naishia kutukana upepo yaani!
 
Hil
Wale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama kariakoo, restaurant bei za ajabu ajabu, cancellation kama kawa, vyoo vichafu, bora kukwea FLY DUBAI au kupitia KIGALI ama NAIROBI ukakwee CHINA SOUTHERN AIRLINES.

NB: Wizara - Mambo ya Nje tafadhali ongeeni na CHINA SOUTHERN AIRLINES waje mpaka DAR angalau.
o shirika ni sawa na basi la saibaba urahisi ndio unawafanya watu wapande ndege zao..
 
Mimi binafsi siwezi kuwaponda ET hata siku moja maana kama sidi hatuleweki na Mwendokasi wala ndege napata ujasiri gani wa kuponda shirika la Ndege linalofanya vizuri Afrika na kununua baadhi ya mashirika mengi yakiwepo Rwanda,Malawi na Zambia SA wanajitafuta ili wanunuliwe kwa bei kubwa...Mwendokasi watu wanasafiri kama Wanyama harafu tupo busy kuponda ndege acheni utani huo wazee..
 
Wazambia wataendelea kutumia vitu vipya kuliko sisi nimepeleka Hilux GD 6 ya 2018 wametaka kodi ya kama Tsh 6,000,000 ambayo ni Zambia Kwatcha 60,000 gari utakayoweza kuuza kuanzia usd 45,000 wakati Ford ranger ya 2016 Tanganyika nimelipa kodi 23,578,000 kodi tu tofauti tunayo kubwa sana kwa wao kuendelea kutumia vitu vipya...badala ya kupunguza kodi kwa gari mpya zaidi ili watu waagize gari za miaka ya karibuni wao wanakua kikwazo..
Inchi ina mambo ya kipumbavu sana hii aisee.
 
Duuu inatia hasira sana mkuu,ujamaa umetuathiri kiasi kwamba tunatukuza umasikini yaani Halafu cha ajabu hao vilaza walioshika madaraka wakiagiza vitu wanakwepa kodi bandarini kiujanja ujanja kwa kutumia vyeo badala watumie nafasi hizo kubadili mifumo mibovu iliyopo yaani hata wao hawajui tatizo ni wapi!
[emoji16][emoji16]
Sio ujamaa, ni Ujima wenye ujinga ndani yake.
 
Mimi binafsi siwezi kuwaponda ET hata siku moja maana kama sidi hatuleweki na Mwendokasi wala ndege napata ujasiri gani wa kuponda shirika la Ndege linalofanya vizuri Afrika na kununua baadhi ya mashirika mengi yakiwepo Rwanda,Malawi na Zambia SA wanajitafuta ili wanunuliwe kwa bei kubwa...Mwendokasi watu wanasafiri kama Wanyama harafu tupo busy kuponda ndege acheni utani huo wazee..
Tunaishi kama manyani
 
Hapana Wazambia wanajenga sana sasa hivi na vifaa vingi vya ujenzi vinaingi Vingi Zambia kutokea SA kuliko hata Tanzania na bei zao zipo chini na kodi pia zipo poa...kuishi maisha mazuri sio Culture brother Wabongo wanaamini katika used ila wazambia wanaamini katika kitu kipya na wananunu kweli na kutumia..
Zambia wanapenda vitu vizuri/classic. Wabongo tunapenda cheap na duni. Pia, tumejaa usela mavi kupenda short cut
 
Back
Top Bottom