Eti na wewe unaitwa babaWewe nenda kwako kamsalimie mke, nasikia siku hizi akili zimwkuruka
Mtu kanusurika risasi 38 unamtishia karandinga.Ndio maana hapa Airport imepaki karandinga ya magereza (Segerea) kumbe wanamsubiri muhalifu wao
Kama mlitupiga risasi nini karandinga wewe. Subirini sa Saba Tupo hapo makamanda. Kama vipi mtupige risasi wotendio maana hapa Airport imepaki karandinga ya magereza ( segerea) kumbe wanamsubiri muhalifu wao
Kule Zanzibar watu walikuwepo kwa kilichoitwa kumpokea mwinyi mtoto? Kama jibu ni ndiyo kwa nini iwe nongwa kwa Mtanzania mwingine kupokelewa kwa mtindo ule ule mpaka vitisho na panic zote hizo?Naona kelele tu, ila airport hakuna watu! Uoga mwingi, ila nyuma ya keyboard sasa
Alierukwa akili ni mamako na mwenyekit wako aliefiwa na lofa.Wewe nenda kwako kamsalimie mke,nasikia siku hizi akili zimwkuruka
Mharifu in wewe nguruwe wenziondio maana hapa Airport imepaki karandinga ya magereza (Segerea) kumbe wanamsubiri muhalifu wao
We jomba unaijua RISASI wewe, usichekeshe watu hapaMtu kanusurika risasi 38 unamtishia karandinga.
Karibu nyumbaniNaona kelele tu, ila airport hakuna watu! Uoga mwingi, ila nyuma ya keyboard sasa
Muhimu ni Lissu anarudi baas!Naona kelele tu, ila airport hakuna watu! Uoga mwingi, ila nyuma ya keyboard sasa
Muda bado aiseNaona kelele tu, ila airport hakuna watu! Uoga mwingi, ila nyuma ya keyboard sasa
UnatesekaNaona kelele tu, ila airport hakuna watu! Uoga mwingi, ila nyuma ya keyboard sasa