Kati ya wanawake na wanaume nani viumbe hatari duniani?

Kati ya wanawake na wanaume nani viumbe hatari duniani?

Damn! Hivi hujaelewa au unafaidia kwa kujifanya haujaelewa?

Unajifanya haujaelewa nilichosema ili utiririke unachotaka kukisema.
Hapa ndipo wamatumbi wengi mnapenda kushikilia ili muonekane sane,

Sasa kama unahisi ninatwist uelewa kwa ajili ya kujionesha kwanini usi pinpoint hiyo sehemu niliyo twist? Au useme ni kwa namna gani nimebadilika maana au nina act sijaelewa?

Hapo ndipo mnapofanyaga makosa in the name of trying to make another person insane wakati umeandika mwenyewe.
 
Back
Top Bottom