Kati ya wanawake na wanaume nani viumbe hatari duniani?

Huwa mnayafanya haya kwaajili ya wanawake +watoto? Sio kwamba mtu yeyote mtu mzima ni lazima apambane?

Watu ambao hawana mke na watoto hawapambani?
Acha kuongea kitu ambacho hakipo kwenye uhalisia...

Mwanamke asiye na mtoto hawezi kosa ugali akiamua kuacha kupambana, mwanaume hawezi.

Uhalisia unaonesha fika kuwa mwanaume ndiye mwajibikaji na risk taker. Haya mambo wanawake hasa ma feminist ndo huwa mnaji delude ila mkiwekwa kwenye position hizo naanza kukema tu. Kwanini mnapenda kujipa majukumu mnayo jua fika kabisa hayawezi.

Mimi huwa nawaheshimu sana wanawake walio genuine na wanaotambua na kuappreciate jitihada za mwanaume nyuma ya kile alicho nacho. Wanawake wengi wamejaa kinyemela sana, kuvimbia mali na pesa zisizo zake. Au akisha kuwa kwenye ramani hamsemi kuwa alidanga au mume wake alimoea mtaji.
 
Nimeuliza maswali unanipa allegations.

See ya!✌🏻
 
Nimeuliza maswali unanipa allegations.

See ya!✌🏻
Nimekujibu kuwa wasio na watoto msalaba ni ule ule, kijana wa kiume asiye na mtoto msoto wake ni ule ule, tena zaidi maana anakuwa anatafuta kwa ajili ya future wife and kids, ila mwanamke hapo ndipo a navyo ji position na kuwa mnyenyekevu ili aonekane wife material

Akiwa hataki watoto, bado the same applies, objection ya watoto na familia haiondoi kigezo cha mateso kuwa sawa baina ya hizo gender, feminist acheni kuwe delusional ilihali mnajua uhalisia uliopo nje
 
Nimekujibu kuwa wasio na watoto msalaba ni ule ule, kijana wa kiume asiye na mtoto msoto wake ni ule ule, tena zaidi maana anakuwa anatafuta kwa ajili ya future wife and kids, ila mwanamke hapo ndipo a navyo ji position na kuwa mnyenyekevu ili aonekane wife material
Huyo mwanamke anatoka wapi anakuja kujiposition? Unakuwa umemtafuta mwenyewe au amekutafuta…. ?
Akiwa hataki watoto, bado the same applies, objection ya watoto na familia haiondoi kigezo cha mateso
Ndio maana nimesema wanaume na wanawake wote wanatafuta as long as wewe ni mtu mzima na hauko kwa wazazi, Labda utofauti upo sehemu ya kutafutia as in sijawahi waona wanawake kwenye kukata magogo na kazi zingine ngumu hasa huku kwetu kwa wamatumbi.
 
Huyo mwanamke anatoka wapi anakuja kujiposition? Unakuwa umemtafuta mwenyewe au amekutafuta…. ?
Wanawake huwa mnapenda sana kukataa madhaifu yenu, ni asilimia chache sana za wanawake ambao wako willing to go extra miles kutafuta ugali wao wenyewe. Na wewe unalo fahamu hilo, kazi zao wengi waliofanikiwa ilikuwa ni either kabebwa na mwanaume au kajiuza kwa Wanaume mbali mbali. Kwa swali lako, either nimemtafuta au amenitafuta, kwanini aje na lack kwangu au mimi nimkute ana lack?
Ndio maana nimesema wanaume na wanawake wote wanatafuta as long as wewe ni mtu mzima na hauko kwa wazazi, Labda utofauti upo sehemu ya kutafutia as in sijawahi waona wanawake kwenye kukata magogo na kazi zingine ngumu hasa huku kwetu kwa wamatumbi.
Uongo mtupu, mwanamke anatafuta kama kalelewa kwenye dhiki, au ana right support kutoka kwa familia na mwanaume. Ila hivi hivi hawezi, maana ni rahisi ku fall back into selling her own body, wanawake shuoavu na wanaojituma ni wachache kuliko wanaume wasio na option yoyote ile
 
Wanawake huwa mnapenda sana kukataa madhaifu yenu, ni asilimia chache sana za wanawake ambao wako willing to go extra miles kutafuta ugali wao wenyewe. Na wewe unalo fahamu hilo, kazi zao wengi waliofanikiwa ilikuwa ni either kabebwa na mwanaume au kajiuza kwa Wanaume mbali mbali. Kwa swali lako, either nimemtafuta au amenitafuta, kwanini aje na lack kwangu au mimi nimkute ana lack?
Nilipobold maana yake nini sijaelewa.
Uongo mtupu, mwanamke anatafuta kama kalelewa kwenye dhiki, au ana right support kutoka kwa familia na mwanaume. Ila hivi hivi hawezi, maana ni rahisi ku fall back into selling her own body, wanawake shuoavu na wanaojituma ni wachache kuliko wanaume wasio na option yoyote ile
Hizo unazoziwekea exception ndio ziwe msingi wa mada, Issue ni kutafuta na risk zake na sio kundi la watafutaji kuwa dogo au kubwa.
 
Nilipobold maana yake nini sijaelewa
Nilimaanisha kama unasema mnatafutwa wenyewe, kwanini wakati mnatafutwa msikutwe mmeshajitegemea na ninwaoambanaji hadi mtumie kigezo cha kutafutwa na kupendwa kama ngazi ya kupata maisha?
Hizo unazoziwekea exception ndio ziwe msingi wa mada, Issue ni kutafuta na risk zake na sio kundi la watafutaji kuwa dogo au kubwa.
Sasa ni nini maana ya kujadili? Hauwezi kusema eti idadi ndogo ya wanawake wanaopambana inawakilisha wanawake wote, Hapana tuache kuishi kwenye nadharia za kitoto tu face reality iliyopo nje yetu. Hao wachache ni asilimia ndogo na haiwezi hata kufika 5 so hizo 95 unazo weka wapi?
 
Hoja nzuri,

Tupime kwa namna hii; Wanaume wanajilinda dhidi ya vitu gani ambavyo wanavifanya wanawake, na wanawake wanajilinda dhidi ya vitu gani ambavyo wanavifanya wanaume. Tunaweza kupata msingi mzuri wa tunachokiita hatari.

Ubakaji, physical violence, emotional manipulation, other kinds of abuse, divorce (ongeza)

VS

Abuse, emotional manipulation, divorce, feminists, gold diggers (ongeza)

Pia wanawake wanajilinda dhidi ya nini kwa wanawake wenzao vs wanaume wanajilinda dhidi ya nini kwa wanaume wenzao.
Hoja inaweza kuwa "nzuri" ila inapotosha. Kusema kati ya ME na KE yupi ni hatari zaidi na yupi ni salama zaidi ni "false dichotomy". Jinsia zote "ME" na "KE" wanaweza kuwa hatari au salama kutegemea na jambo husika. Isitoshe binadamu wa jinsia yeyote anaweza kuwa salama leo, kesho akawa hatari. Kwa kifupi, uhatari au usalama wa tabia ya binadamu yeyote yule ni hali inayobadilika na haitegemei jinsia ya muhusika pekee.
 
Nilimaanisha kama unasema mnatafutwa wenyewe, kwanini wakati mnatafutwa msikutwe mmeshajitegemea na ninwaoambanaji hadi mtumie kigezo cha kutafutwa na kupendwa kama ngazi ya kupata maisha?
Sasa unawalaumu wanawake kwa kosa ambalo sio lao, Watafutaji ndio watafute watu ambao tayari ni wapambanaji na wamejipata, Hii ndio hoja yako… Sio kwamba umtafute mtu halafu umlaumu kwa kutulia kwenye mahusiano (Refer your earlier argument on this) Refer swali nililokuuliza then utapata mtiririko wa unachosema.

Sasa ni nini maana ya kujadili? Hauwezi kusema eti idadi ndogo ya wanawake wanaopambana inawakilisha wanawake wote, Hapana tuache kuishi kwenye nadharia za kitoto tu face reality iliyopo nje yetu. Hao wachache ni asilimia ndogo na haiwezi hata kufika 5 so hizo 95 unazo weka wapi?
Asilimia ndogo haiko exempted kwenye risk, ndio mada mezani, Yes ni mjadala ndio maana kuna vitu visijibu na haujakatazwa kuvisema.
 
Hoja inaweza kuwa "nzuri" ila inapotosha. Kusema kati ya ME na KE yupi ni hatari zaidi na yupi ni salama zaidi ni "false dichotomy". Jinsia zote "ME" na "KE" wanaweza kuwa hatari au salama kutegemea na jambo husika. Isitoshe binadamu wa jinsia yeyote anaweza kuwa salama leo, kesho akawa hatari. Kwa kifupi, uhatari au usalama wa tabia ya binadamu yeyote yule ni hali inayobadilika na haitegemei jinsia ya muhusika pekee.
It’s so easier to read your comments!!!!!!! 🥂
 
Hoja inaweza kuwa "nzuri" ila inapotosha. Kusema kati ya ME na KE yupi ni hatari zaidi na yupi ni salama zaidi ni "false dichotomy". Jinsia zote "ME" na "KE" wanaweza kuwa hatari au salama kutegemea na jambo husika. Isitoshe binadamu wa jinsia yeyote anaweza kuwa salama leo, kesho akawa hatari. Kwa kifupi, uhatari au usalama wa tabia ya binadamu yeyote yule ni hali inayobadilika na haitegemei jinsia ya muhusika pekee.
False dichotomy kwenye jamii hii hii yenye michezo ya kuviziana?

Jamii hii yenye wanawake gold diggers, jamii hii yenye kumpressure mwanaume afikie malengo by a certain age? Kwenye jamii hii hii ambayo kazi za mikono zimejawa dhulma? Mkuu elimu yenyewe tu shida alafu uje useme kuna usawa?

Aliye salama ni KE maana akishaolewa msalaba unahamia kwa aliyemwoa
 
KE akishaolewa msalaba unahamia kwa mwanaume kivipi Boss? Kwa gharama zipi? Za kodi/nyumba tu?
Look, tuchukulie, hypothetically, mkeo ni mama wa nyumbani. Kweli unaamiini kabisaa kwamba mchango wako wewe ni mkubwa kuliko mchango wa hali na nguvu za kiafya anazochangia mkeo kwenye maendeleo ya familia yako - kuanzia kubeba mimba, kuzaa, kunyonyesha, kukupikia, kukufulia, kuhudumia watoto, usafi?
Simaanishi wanawake wote wapo hivi. Ila wanawake wengi wana mchango mkubwa sana kwenye familia zao ukizingatia yote wanayoyafanya.
 
Ndo maana toka mwanzo nilimwambia binti kiziwi kuwa sio wote, ila wengi wao wanatumia ndoa kama sehemu ya kupata ahueni, kazi zote zitahamia kwa house girl, na bado atataka kila huduma wakati hakuna kazi anayo ifanya, na bado hapo sometimes unakuta na yeye ana kazi yake ila hatoi hata senti ndani ya nyumba. Kila kitu amalize mwanaume.
. Yeye mwenyewe binti kiziwi alisha wahi kunena humu kuwa "hela ya Mwanamke ni chungu" kingine wanawake hawa huja na kisinhizio kuwa kwasababu wao wanazaa basi majukumu ya kubeba ujauzito ni makubwa mno na wanahitaji kulipwa kwa hilo... What a crazy mindset.
 
Jibu ulichoulizwa usiniingize mimi.

Kusema hela ya mwanamke chungu is not equal to hela ya mwanamke hautumiki kwa familia, Kuna utafiti wa kafulila sijui wa lini unasema hela ya mwanamke inarudi kwa familia for 💯

Unachanganya kauli za kishujaa na uhalisia.

Hatujasema tulipwe kwa kuzaa, tumesema kama kuzaa sio kazi kwanini kuna surrogacy kama kazi ya kulipwa? Sasa iweje wanawake zenu wanazaa bure na mnaona sio kitu ?
 
Acha kucheza na maneno to your advantage wewe..

Utafiti wa kafulila unarudi kwenye ile issue alivyo ongelea baba levo, kuwa wanawake wanatumia ndoa na hela ya mwanaume kwenda kujenga kwao, sio kunufaisha familia husika, ambayo una watoto alio wazaa yeye.

Unatumia Misamiati kujificha ila hakuna unacho kimbia "surrogacy" ni ajira au business kama biashara zingine. Ambazo basically ni zinafanywa nchi za wenzetu kwa wingi.

Sasa kwa akili zako unataka uilete kwenye ndoa? Unaakili kweli? Yaani uilewe kwa nia ya kwenda kuzaa na kulipwa na mtoto ni wako? Huu ujinga nani aliyewalisha?

Hata mshamba hawezi kubali kuwa ndezi namna hiyo, yaani amlipe mke wake kubeba na kuzaa mtoto, na bado hapo hapo mwanamke aombe matumizi, na bado ahudumie kila jambo, labda kama mmemroga!!
 
Huelewi hata mtu anachosema unachosha! Soma katikati ya mistari elewa hoja jibu hoja usije na mambo yako mfukoni.
 
Unataka ueleweke kwenye nini hasa? Unavyosema surrogacy ije kwenye ndoa ulimaanisha nini?

Hiyo utafiti ina akisi kweli uhalisia? Na mwisho kabisa mwanaume gani mjinga wa kukubali kulipa mkewe kisa akapata ujauzito ambao ni wake?

Sikatai kuwa kuna wanawake hao unaowasema anatoa kila kitu kwa familia ila pia wengi wanatumia ndoa kama egesho kujenga nyumba nyingine yake as if mumewe na familia waijengayo sio yake.

Ninachosha ndio maana sikweoeshi ukweli, either uutake au usitake, na ninajibu kutokana na kile umeandika, kama una hoja iweke wazi sio kukwepa ukweli kwa kusema unachoshwa. Hakuna kutia huruma
 
Una uhakika hiki ndicho nikichosema, Hebu niqoute hapa tuchambue neno moja moja kama tuko vidudu .

What the heck did you mean by this?
Hatujasema tulipwe kwa kuzaa, tumesema kama kuzaa sio kazi kwanini kuna surrogacy kama kazi ya kulipwa? Sasa iweje wanawake zenu wanazaa bure na mnaona sio kitu ?
Unataka kulinganisha biashara kwa watu wasio na uwezo wa kusumbuka
na wanatumia pesa zao kurahisisha mambo, kwa ndoa halisi? Issue ya kuzaa ni ya kibailojia kama mwanaume anavyoweka mbegu kwako na kupsrovide ndani ya nyumba, iweje provide the wewe badala ya ku nurture kile alicho provide unataka uliowe kama mishahara? Is that making any sense?
 
Damn! Hivi hujaelewa au unafaidia kwa kujifanya haujaelewa?

Unajifanya haujaelewa nilichosema ili utiririke unachotaka kukisema.
 
Back
Top Bottom