KASHFA: Polisi wa Buguruni Dar, wadaiwa kudhulumu kilo 800 za nyama na kugawana

Si Waziri wa Mambo ya Ndani, RC, DC wala viongozi wa jeshi la Polisi watakaochukua hatua. Awamu hii ni ya hovyo kuwahi kutokea.
Jeshi la Polisi limefanywa kuwa nyenzo ya kuhakikisha Chama twawala kinasalia madarakani kwa nguvu

Hizo ndizo fadhila wanazolipwa na kufumbiwa macho pindi zuluma kama hizo zinapotokea

Watanzania wanatakiwa waelewe kuwa jeshi la Polisi ni kikosi cha ulinzi wa CCM na popote pale Penye elements za Chadema linatumwa kwenda kuteketeza na kuzulumu Wananchj
 
Si Waziri wa Mambo ya Ndani, RC, DC wala viongozi wa jeshi la Polisi watakaochukua hatua. Awamu hii ni ya hovyo kuwahi kutokea.
Hakuna kitu chochote au hatua yoyote itachukuliwa!
Polis wanalindana ....ila kwa hali hiyo iliyotokea
Basi ujue ni sababu ya hali ngumu ya kiuchumi
Wa polisi wetu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Polisi sijui wameumbwaje.
Wengi wao wanafanana tabia hasa ya kupenda dezo.
Hawajui haya mambo huwa yanalipiziwa kwa vizazi vyao.
Mwishowe tunakuja kuwa na Taifa la ajabu mno
 
sijawi ona polis wapumbavu kama watz,sitosahau mwaka 2015 kwenye vulugu za uchaguz kiwira mbeya polis wilingia mgahawan kwa mama moja iv walikula msos wote kimabavu af wakaondoka bla kulipa,walienda kwa mzee mmoja walibaka mke na mabint zake mbele yake nilisikitika sana
 
Dah, hao dawa yao mbon ni ndogo sana.!
Unajifanya unaendelea na utaratibu wako tena unawataarifu kabisa kwamba mm mtaji ninao mkubwa kesho naenda kuandaa Nyama nyingi zaidi.
Kwa hasira zao za kipumbafu watakufuatilia tena, na hapo ndo itakua mwisho wao wa kuliona Jua.

Nyama yote unatia sumu hatari ambayo ukila huombi hata maji ya kunywa.

Inaumiza sana hawa dogs.
 
Dah, hao dawa yao mbon ni ndogo sana.!
Unajifanya unaendekea na utaratibu wako tena unawataarifu kabisa kwamba mm mtaji ninao mkubwa kesho naenda kuandaa Nyama nyingi zaidi.
Kwa hasira zao za kipumbafu watakufuatilia tena, na hapo ndo itakua mwisho wao wa kuliona Jua.

Nyama yote unatia sumu hatari ambayo ukila huombi hata maji ya kunywa.

Inaumiza sana hawa dogs.
Kuna sumu inapatikana Dodoma inaitwa 'kafie mbele'. Hii haiui papo hapo, mtu akila leo anaendelea na shughuli zake kama kawa then baada ya wiki hivi anakata moto.

Imefanya kesi za mauaji kuwa ngumu coz ni kazi kuthibitisha marehemu alilishwa sumu wapi na lini.
 
Kuna sumu inapatikana Dodoma inaitwa 'kafie mbele'. Hii haiui hapo hapo, ni baada ya wiki hivi.

Imefanya kesi za mauaji kuwa ngumu coz ni kazi kuthibitisha marehemu alilishwa sumu wapi na lini.
Basi hiyo ndo inawafaa Hawa BAADHI ya jamaa matapeli kwa mwamvuli wa sare.
 
Hii sasa ndio vita ya kiuchumi.
Class struggle is a political tension and economic antagonism that exists in society consequent to socio-economic competition among the social classes or between rich and poor.

We are now in class struggles; kila mtu anapigania apate kamkate kake ka siku; ukijichanganya tu unapotea! Angalia mabarabarani huko; bodaboda, bajaji, daladala, mama lishe, machinga, etc. etc. zote hizo ni class struggles which, as a consequence, the fittest will survive. Ni mwendo wa vikumbo tu ili kuiona kesho.
 
Hivi mtu unaanzaje kupora nyama .tena nyama yenyewe ya ng'ombe ambayo kilo buku sita tu
Class struggle is a political tension and economic antagonism that exists in society consequent to socio-economic competition among the social classes or between rich and poor.

We are now in class struggles; kila mtu anapigania apate kamkate kake ka siku; ukijichanganya tu unapotea! Angalia mabarabarani huko; bodaboda, bajaji, daladala, mama lishe, machinga, etc. etc. zote hizo ni class struggles which, as a consequence, the fittest will survive. Ni mwendo wa vikumbo tu ili kuiona kesho.
 
Hata sishangai kwa mishahara ya hao askari kutapeli nyama ni haki yao, nao wamechoka kuwalisha watoto wao maharage kila siku.

Sasa kama askari wamegeuka wezi, wao wakamatwe na nani?
Nitamaa zao hizo sio kusingizia mishahala kidogo.askari magereza wao wanajua bei gani?mbona hawana tofauti na wao.siku zote sijawahi kumsikia mfanyakazi wa serikali akisema mishahala inatosha hata siku 1 na wala sijawahi kumsikia wakisema tunaacha KAZI mishahala kidogo.mkulima yeye atasemaje na kilio chake mazao hayapandi bei na gharama alizotumia kwenye kilimo.ni tamaa zao.
 
Back
Top Bottom