Lile sakata la wafanya biashara wa nyama kuporwa nyama zao kihuni kule buguruni!
Polisi litawapeleka pabaya!
Magufuli akisikia atasafisha kituo kizima warudi mtaani kuchoma mishikaki!
Ukiachana na kesi ya nyama yenyewe, kitendo cha polisi kutuhumiwa kuiba na kugawana nyama hilo peke yake linawaondolea sifa ya kuwa watumishi wa uma wenye mamlaka ya kusimamia usalama wa raia na Mali zao!
Kama halijafika kwa magufuli, Polisi makao makuu fukuzeni hao vijana walioshiriki kufanya uhuni huo kinyume na P.G.O inavyoelekeza!
Uzuri wa magufuli hapendi kulemba mambo meupe kama haya!