Karume atengwa, picha zake zachanwa Z’bar

Karume atengwa, picha zake zachanwa Z’bar

Siku zote tunaamini kuwa Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe.

na siku zote ukiona tu wanakujadili basi ujue wanakuogopa.

UAMSHO mpo juu sana mpaka Bara wanapata kiwewe.
Mungu Mkubwa.

Uamsho utakuwa historia muda si mrefu mzizi umekatwa nawashauri tu wajisajili kama chama cha siasa; hili lakutumia misikiti ndilo linaloleta mushkeli; si Bara wala Visiwani hakuna anayehofia uamsho; kama hilo lingekuwa na ukweli viongozi wao wasingekuwa ndani leo hii. Uamsho ni kikundi cha wahuni wachache wala hakiwakilishi maoni ya wazanzibari wengi; wamefikia hatua ya kumchinja askari hapo utasema pana dini au siasa? Nadhani mapokezi ya Dr. Shein ni kithibitisho wazanzibar wana imani na serikali yao.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Uamsho utakuwa historia muda si mrefu mzizi umekatwa nawashauri tu wajisajili kama chama cha siasa; hili lakutumia misikiti ndilo linaloleta mushkeli; si Bara wala Visiwani hakuna anayehofia uamsho; kama hilo lingekuwa na ukweli viongozi wao wasingekuwa ndani leo hii. Uamsho ni kikundi cha wahuni wachache wala hakiwakilishi maoni ya wazanzibari wengi; wamefikia hatua ya kumchinja askari hapo utasema pana dini au siasa? Nadhani mapokezi ya Dr. Shein ni kithibitisho wazanzibar wana imani na serikali yao.

Chama
Gongo la mboto DSM

..Nilipo BOLD.

waarabu tuna usemi KIJIWE KIDOGO NDICHO KINACHOWEZA KUUWA NDEGE.

Sasa hata kikiwakilisha watu wawili katika jamii ni watu hao na wana haki sawa na hao unaodai wewe ni wengi japo huna takwimu za kuthibitisha maneno yako.

Kumbuka kuwa Kule Mwanza sio kuwa wameua Askari (NCO) bali wameua Afsi wa ngazi ya juu kabisa wa polisi mkoani (RPC) mbona hukusema kuwa uamsho nao hao. Mboba usemi hao wanavunja, kujeruhi vioongzi na kuiba mali za makanisa huko Iringa.

nafikiri ahali angu ubongo wako una chongo, nakushauri wahi hospital kwa matibabu zaidi. Kwani ulichobainisha siamini kama GT anaweza sema hayo kama hajaathirika kiakili na kufungwa na UDINI.
 
Nukuu kutoka nyimbo ya Joseph Mbilinyi "aka Sugu". Inasema "Kitu watu wengi hawawezi jua, huwezi kuzuia mvua"
Well, ukikata miti yote utazuia mvua, which renders the Sugu slogan senseless! Beyond that I agree with everything else you said.

Akili ya samaki ndo hii.
Mtayarishieni jamaa mapumziko mazuri huko visiwani.
Hapana, ila kuita mawazo ya wengine akili za samaki ndio akili zenyewe za samaki hizo. Mtu anaposema jamani kila mtu apewe nafasi ya kutoa mawazo yake kuhusu Muungano, hata wale ambao wanaona wangefanya vizuri zaidi kama nchi nje ya Muungano, hawataki Muungano, kuwafunga midomo hao wasitoe mawazo, hizo ndio akili za samaki.

Akili za samaki zinafanya kazi hivi: Chengu mmoja akiwa mbele ya msafara utakuta utitiri mzima wa samaki unamfata nyuma bila kujua manufaa ya ile safari. Wa mbele akiingi chaka wote wanaingia chaka. Mtu mmoja akasema mwaka 1964, wakati kuna watu milioni 8, kwamba kitu fulani kinatufaa, basi mpaka leo watu wamezaliana kama samaki wamefika milioni 40 na wote bado wanafuata ule utitiri bila kujiuliza tumefika wapi na safari ile, manufaa yake yako wapi? Akili za samaki!

Wanatokea baadhi wanasema jamani turuhusu mawazo huru kuhusu mustakabali wa nchi yetu, wanatukanwa. Ndio akili za samaki!
 
Nina imani hilo hapo juu sio swali.

Huu ndiyo uzuri wa wewe kuwa mbishi (refer your JF ID) muelewa. Kwamba umeelawa Karume "kuna namna" anawaunga mkono Uamsho, Ila ili kuendeleza taratibu za ubishi , unataka tuanze kubishania suala la source/references of info.

tanzania hii huwezi kutumia reference kwa vyombo vya habar ambavyo viko mbali na zanzibar.kama unataka reference nenda katika kaombe cd za uamsho ama nenda zanzibar ukapate first hand information.kama huwezi kufanya hvyo itakuwa nawe unaakili za samaki based karume speech.
 
Well, ukikata miti yote utazuia mvua, which renders the Sugu slogan senseless! Beyond that I agree with everything else you said.

Hapana, ila kuita mawazo ya wengine akili za samaki ndio akili zenyewe za samaki hizo. Mtu anaposema jamani kila mtu apewe nafasi ya kutoa mawazo yake kuhusu Muungano, hata wale ambao wanaona wangefanya vizuri zaidi kama nchi nje ya Muungano, hawataki Muungano, kuwafunga midomo hao wasitoe mawazo, hizo ndio akili za samaki.

Akili za samaki zinafanya kazi hivi: Chengu mmoja akiwa mbele ya msafara utakuta utitiri mzima wa samaki unamfata nyuma bila kujua manufaa ya ile safari. Wa mbele akiingi chaka wote wanaingia chaka. Mtu mmoja akasema mwaka 1964, wakati kuna watu milioni 8, kwamba kitu fulani kinatufaa, basi mpaka leo watu wamezaliana kama samaki wamefika milioni 40 na wote bado wanafuata ule utitiri bila kujiuliza tumefika wapi na safari ile, manufaa yake yako wapi? Akili za samaki!

Wanatokea baadhi wanasema jamani turuhusu mawazo huru kuhusu mustakabali wa nchi yetu, wanatukanwa. Ndio akili za samaki!

Liwalo na liwe!
Iwe akili za samaki, au akili za kuku suala limeshaeleweka!

Janja ya nyani kula mahindi bichi kusa gundua!
Na samaki hao hao wasio na akili ndo wanachaha chana mabango ya hao Uamsho-kificho.

Mwisho wa siku ndo watajua andazi si kitumbua!
 
Nyerere alithubutu kumwita Kolimba na Malecela kama ni wahuni, kwahiyo Uhuni umejaa CCM na kwa kweli kama tutaendelea kuwa ndani ya utawala wao tujuwe nikuzama na wahuni hao wapo tayari kufanya lolote lile almuradi kupata maslahi yao, ikiwa kuuwa, kuiba, kufitini liwe lolote lile baya, muhimu wanaweza kulifikia lengo lao.

Ikiwa wana CCM kama kweli wanamthamini Abied Amani Karume kwa mila na tamaduni zetu za Kizanzibari mtoto wake na familia yake siku zote zitakuwa zinatukuzwa, lakini kinyume chake ndio hiki leo kumtukana Amani ni sawa kumtukana Baba Karume, tabu nikuwa mhuni hajui alifanyalo ndio tabu yake.

Hawa ni watu hatari sana na lazima kutafutwe suluhisho la mara moja la kuwadhibiti. Mwanamume huwa hana matusi ila awe baradhuli, hakika waandishi hawa wa Kisonge wengi wao ni kaumi hiyo wakiongozwa na Borafya, kutokana na malezi mema ya Kiislamu niliyopewa siwezi kutukana kama wao, lakini ni aibu kwa Borafya huko nyuma alivyowahi kuwa na mambo aliyoyafanya na kwa kweli kile ni chombo kilichokuwa kinakwenda mperampera karibu kitagonga mwamba, subra ni muhimu, ingawa mwenye kasema kala nyama ya mbwa dua hazimpati.

CCM Kisonge wajuwe dunia haibaki kama wanvyofikiria mabadiliko hutokea bila ya mtu kuelewa, wapi Iran na Shah, wapi DDR na Honicker, wapi Yugoslavia na Tito, wapi Romania na Sacisko, wapi Somalia na Said Barewapi zitakuwa ni nyingi na kutoweka kwake hakuna aliofikiria.

Karibuni tumeona tawala kuporomoka kama Misri, Tunisia, Libya ambako hakuna mmoja alitarajia ipo siku yatakuwa hayo, tunajuwa waliofungika kiakili wanaamini CCM na Zanzibar ya kisonge kubakia milele, kwasababu hawajasoma na kutegemea fitna na ubahalula kuweza kuwafanya maisha yao yaweze kwenda. Wakati utawasuta watu na watake kujinyonga na kuiona dunia sio.

Amani hawezi kushtakiwa na madhalim, kwani kumshtaki Amani ni kukishtaki chama cha CCM, Zanzibar na Bara. CCM imejaa dhulma, walimdhulumu Bilali wakampa Amani, sasa leo wanasema nini? Frankenstein amemtengeneza kiumbe kaanza kuleta mashaka, sasa huku hawa wapumbavu wameshindwa kuelewa leo wanatukana nini?

Kumtukana Bibi Fatma Karume nikujiuliza ni kweli huyu alikuwa mke wa muasisi wa Mapinduzi? Hapa ndipo ninapofahamu Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru, kuwa waliofanya Mapinduzi sio wenyewe Wazanzibari, matokeo kile kizazi kichafu cha kina Injini na Mfaranyaki ndicho hadi leo kinaisumbua Zanzibar. Hakuna marefu yasio na mapana na hakuna Kiza kisichopambanukiwa. Mapinduzi sio daima lakini haki ndio daima.

Makame Juma Njiro
 
Kwa nini karume hakufanya mageuzi hayo wakati wa kipindi chake. Kasubiri amalize kwa amani na kuja kumsumbua Shein kipindi hiki utadhani hakuwahi kuwa Rais wa Zanzibar.
 
HIvi kweli Karume bila Muungano angekuwa hapo alipo? Miye hotuba yake ya juzi ile ilinishangaza kuwa kulikuwa na watu wanassikiliza...

Mzee Mwanakijiji ulikua unataka wasimsikilize kwa kua alikua anazungumza mambo yasiyowafurahisha wengine?vipi kuhusu dhana nzima ya kuvumiliana,hasa pale tunapoambiana mambo tusiyopenda kuyasikia?
 
Last edited by a moderator:
Taso;5049776]Samahani Mkubwa, nashindwa kujizuia kurudia alichosema Karume, kwamba hizi ndio zenyewe "akili za Samaki." Mlimpa nafasi ya kutoa nasaha zake ili aseme nini ambacho chama kizima au Watanzania wote mngekubaliana nae, Neno la Uzima na hadithi za Mtume? Unashangaa waliendendelea kumsikiliza, ulitaka wampopoe mayai-viza ashuke jukwaani? Kutaka kuhubiriwa imani yako ya mawazo yale yale tu ndio alizosema "akili za samaki!"

To the more substantive matter, would Karume be where he is were it not for the Union? Most definitely. For starters, Karume got where he is because of his pedigree, his father's name ramrodded him to leadership even when his party bucked him (Billal actually shellacked him miserably in party polls). And his father is far from a creature of the Union. The elder Karume was President of a country before he was demoted to a vice in the advent of the Union. In the same sense, it is not farfetched to say that outside the Union Karume could have given the farewell speech as the head of Afro Shiraz Party, not as a second fiddle to Dodoma's party hochos.

Amani Karume owes the Union nothing!

Down with the Union.

Kwenye mahojiano maalum kabla ya sherehe za muungano mamake na huyo huyo Karume alikiri mchana kweupe kuwa baada ya kifo cha mmewe serikali ya mapinduzi ilimtelekeza yeye pamoja na family yake mpaka mwalimu Nyerere alipoingilia kati na kuokoa jahazi kwa hiyo kuna hatihati kama mambo yange kuwa yanaenda kivyaovyao uenda familia ya hayati Karume isingeshirikishwa kamwe kwenye siasa tena

 
HALI imezidi kuwa tete visiwani Zanzibar kutokana na watu wasiojulikana kuendelea kusambaza vipeperushi vya kumkashifu Rais mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi, Aman Abeid Karume, kutokana na hotuba yake aliyoitoa mjini Dodoma.

Matamshi ya kuwafananisha baadhi ya wajumbe na samaki, yameonekana kuwakera wakazi wa Zanzibar, ambapo sasa kasi ya kusambaza viperushi vya kumpinga na kumkashfu imeongezeka.
Jana, gazeti hili lilishuhudia baadhi ya vipeperushi hivyo ambavyo vilikuwa vikisambazwa kwa ustadi wa hali ya juu vikiwa na ujumbe tofauti kwa kiongozi huyo, huku vingine vikiwa na matusi ambayo hayaandikiki.

Mathalan kipeperushi kimojawapo kiliandikwa hivi: "Karume asante kwa kutuita samaki lakini kumbuka samaki hao walikuchagua kwa vipindi viwili vya miaka 10. Usimtukane mamba kabla hujavuka mto!"

Pia vilikuwepo vingine vilivyoandikwa vikidai kuwa Karume alimwangukia sana Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, ili kuweza kuteuliwa kuwania kipindi cha pili.

Huku vingine vikisomeka kuwa Amani si mtoto halali wa Mzee Abeid Aman Karume na vinginevyo.
Juzi mabango yenye picha za Karume na ujumbe wa harakati za maendeleo wakati wa uongozi wake, yalichanwa na kuchomwa moto siku chache tangu kutokea mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar.

Source : Tanzania Daima.
 
Sa kama ni mtoto wa Diria walikuwa wapi kusema mapema?Zanzibara huru yenye mamlaka kamili inawezeka..TUWACHIWE TUPUMUWE
 
Karume alimfanyia fitina Salim na kumsingizia alishiriki katika kumuua baba yao, sasa dhambi ileile aliyo mfanyia mwenzake ndo inamtafuna, mtazamo wangu huyu mlevi atakufa muda sio mrefu kwa depression.
 
Sasa wanampinga mtu ambaye anatoa mawazo yake?
Wanampinga kwani anashika madaraka gani kwa sasa??

Karume amemtukana mamba muda muafaka, kwani kama ni mto kashauvuka.

Mwacheni karume apumuwe jamani

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Umeshawai kumuona mbwa kuingia msikitini wewe? Umeshasahau Jimbo la UZINI Kambi yote ilihamia kule huku Slaa and his co. waking'atwa na mambu na kudandamwa na majongoo lakini mwisho wa siku waliambulia Kura 40!!
Nadhani chadema ilikuwa ya pili baada ya ccm? ama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom