Karume atengwa, picha zake zachanwa Z’bar

Huyo ndo karume a.k.a Mtoto wa diria,mwana uamsho mkubwa asiye na chembe hata ya shukrani kwa muungano uliombeba,atakula jeuri yake sasa.
hivi kuamshwa watu ili waijue haki yao vibaya,na karume kukubali maoni ya babayenu nyerere zanzibar ili ikae sawa inatakiwa serikali ya umoja wa kitaifa,oo eti tuna muenzi nyerere .NYIE WAGALATIA NA KARUME nani kamuenzi nyerere,tunajua agenda zenu zanzibar kuichafua .istawalike ili mkafanye machafu kuua uislamu.ndiyo maana kwa kuwachukia waislamu na wapemba wlipouwawa kwa maelfu na mkapa nawengine kukimbilia shimoni mlichekelea sana sababu ni waislamu .mbona hamfuati mfundisho ya biblia MPENDE ADUI YAKO .
 
Acha hizo mkuu!
Waliompokea Dr Shein tena kwa wingi basi walikuwa CUF!
Tena wakaishia kurarua taswira za Sheikh Amani Karume?

"jidanganyeni hivyo hivyo! chuki tu na Zanzibar yetu ilokujaeni. semeni kwani midomo ni yenu, ila nakuhakikishia harakayi zetu hazitasita wla hazitasimamishwa hadi tunarejesha mamlaka yetu kamili Zanzibar! Tunamjua vizuri sana nani kikwazo chetu na vipi tupambane naye!"

 
Back
Top Bottom