Ràis Samia atuma Rambirambi kifo cha Mama Fatma Karume.

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,217
Reaction score
102,315
Copy and paste

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mama yetu, Mama Fatma Karume, mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kilichotokeo leo tarehe 21 Septemba, 2026.

Kifo chake ni pengo kwa familia na Taifa kwa ujumla, kwani alikuwa sehemu muhimu ya historia adhimu ya Zanzibar kuanzia wakati wa harakati za kupigania uhuru, Mapinduzi Matufuku ya Zanzibar na kuasisiwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Daima tutaendelea kukumbuka, kuenzi na kuheshimu mchango wake katika kuhifadhi kumbukumbu na urithi wetu, pamoja na kuchochea maendeleo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ya Taifa letu.

Ninatoa pole kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Mheshimiwa Amani Abeid Karume, familia ya Hayati Sheikh Karume, ndugu, jamaa, marafiki, wananchi wa Zanzibar na Watanzania wote. Ninawaombea Mwenyezi Mungu awajalie subra, faraja na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.

My take: Kifo siyo kifo, lazima kuwe na taharuki.

RIP Mama yetu.
 
Hakuna pengo la mtu mwenye miaka 97 akifa.
 
inna lillahi wa inna illayhi rajir'un 🌹
 
Huyu naye ameshachoka na kumbato la Chivayo. Zena anapenda kumbato
 
Nimeumia sana..nilitamani mama Karume ndio angetuma salamu hizo Kizimkazi..ok Mungu wetu atasikia kilio chetu..RIP mama Karume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom