jamani,msimuonee Rais mstaafu kwa kiwango hicho,alichozungumza ni sahihi,kwamba kila mtu anauhuru wa kutoa mawazo yake mbele ya tume ya katiba mpya hata kama mawzo yake hukubaliani nayo,ilmradi havunji sheria,anayetaka serikali mbili,tatu au ya mkataba ni sawa hayo ni maoni ya mtu binafsi,
Kwa hiyo kumfananisha na uamsho ni kumkosea haki,Muungano hauna hati miliki ya wanaotaka serikali mbili peke yao na hawana uhalali wa kutoa maoni peke yao.maoni yote yana fursa sawa mbele ya tume ya warioba.Binadamu tusivyo na shukurani kumbukeni aliyoyafanya karume katika uongozi wake.