Karume alikua sahihi kuwaeleza ndugu zake toka Zanzibar wana akili ndogo kama samaki. Wana CCM wengi toka Zanzibar ni wanafiki sana,wakiwa kwao hawataki muungano na wanatukana sana Watanganyika,wakivuka bahari ya Hindi wakifika Dodoma wakapewa allowance,wakapumua,wanajidai wao na muungano ni damu damu! Tanganyika kumpigia debe akawa rais wa Zanzibar siyo kigezo cha kumzuia asitoe maoni kuhusu mstakabali wa nchi yake ya Zanzibar.