TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia

TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,995
Reaction score
6,758
fat.jpg

Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki dunia leo, Septemba 21, 2026.

Taarifa ya kifo cha Bi.Fatma imetangazwa rasmi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla ambapo amesema kimetokea Mbweni usiku huu.

Mama Fatma Karume alizaliwa Februari 2, 1929, Bumbwini Misufini, Mkoa wa Kaskazini Unguja, na baadaye akaolewa na Hayati Sheikh Abeid Amani Karume ambapo mbali na kuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Mama Fatma anatajwa kuwa miongoni mwa Wanawake walioshiriki katika harakati za kisiasa Zanzibar.

1790016717167.jpeg

Mama Fatma pia ni Mama wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, aliyeiongoza Zanzibar kuanzia mwaka 2000 hadi 2010.
 
View attachment 3675392

Nina kumbukumbu nzuri na hii familia,,,,ni miaka mingi sana iliyopita...nilibahatika kunywa chai nzuri sana nyumbani kwao.....
 
Ni "kumbukumbu nzuri ya hiyo familia...." au kumbukumbu ya "kunywa chai nzuri"?
Wewe ukiwa nani wakati huo, maana kunywa chai nzuri kuna maana yake pia.

Ni vizuri wakati huo "mlikunywa cahi"; enzi hizi za sasa si ajabu ungeishia kuwa mtekwaji.
 
Pengine ulikuwa hujazaliwa,,,,,,
Ni mwaka ambao Commissioner wa kwanza wa Zanzibar Mzee Edington Kisasi alipofariki,
 
Zanzibar mahema yatazunguka sana mwaka huu!
 
Achana na "mimi kuzaliwa", inawezekana wakati huo nikawa na makamo ya kukuzaa wewe!
Mzee Edington namkumbuka sana, alikuwa rafiki yangu wa karibu sana. Sasa unanifanya nikushangae zaidi wewe!
 
Daah Kunradhi mzee mwenzangu.....
Mashallah Mashalah,,kumbe wamfahamu Mzee Kisasi,,,,basi yote kheri yakhee..
Kama hivyo ndivyo utakuwa unamfahamu Remi,,,,Alwin....Faith....na Marehemu Muru(aliyepata ajali ya umeme).
 
"Eagles fly alone and at high altitudes"
Because that's where their vision is much clearer and sharper.

Kati ya hao ni Marehemu Muru pekee ndiye niliyemfahamu
 
Back
Top Bottom