Karume atengwa, picha zake zachanwa Z’bar

Karume atengwa, picha zake zachanwa Z’bar

Hawa wazanzibar hawajajua mbaya wao hasa ni nani?
 
kama kuambiwa una akili za samaki ni tusi basi kuzomea na kumwita kiongozi wenu uamsho ni tusi zaidi. hakika hawa jamaa wana akili za samaki wamesahau ujeuri walionao aliwapa karume siku ile ya maamuzi ya watu wawili nayakumbuka maneno ya Nyerere "mkijitenga hamtabaki salama" alijua kuwa nyinyi hampendani hata kidogo.

Hongera Karume ulisema mawazo yako na ulikua sahihi ndo demoklas kumbe kwenye vikao vyenu hakuna demokras mnaiimba nje ya vikao vyenu tu. ukweli siku zote unauma.
 
Diria na Karume wamepishana miaka minne...Wazanzibar wapo wachache sana sijui kwa nini wanashindwa kuwa na umoja.

Karume baba au Karume mtoto? Huenda unamzungumzia Karume Abeid. Lakini hii kitu inajulikana muda mrefu kwamba Aman ni mtoto wa Fatuma na Ahmed.
 
hilo la kuwaambia wana akili kama samaki, alitaka kufikisha ujumbe kuwa watu wanasahau mapema sana mambo waliyofanya watangulizi wengine katika serikali, inasemekana samaki akigeuka tu, hana tena kumbumbumbu ya alichokiona mbele yake sekunde chache zilizopita.......


nina hisia kwamba uamsho pia wana ajenda yao katika hili
 
Diria na Karume wamepishana miaka minne...Wazanzibar wapo wachache sana sijui kwa nini wanashindwa kuwa na umoja.

unamuongelea diria yupi?senior au junior,..navyojua mimi yule anaitwa hassan diria!!unajuaje kama watu wanamuongelea baba yake hassan kuwa ndiye baba yake aman
 
Karume baba au Karume mtoto? Huenda unamzungumzia Karume Abeid. Lakini hii kitu inajulikana muda mrefu kwamba Aman ni mtoto wa Fatuma na Ahmed.

Diria kazaliwa mwaka gani na Karume kazaliwa mwaka gani?
 
Sa kama ni mtoto wa Diria walikuwa wapi kusema mapema?Zanzibara huru yenye mamlaka kamili inawezeka..TUWACHIWE TUPUMUWE

sheria inasemaje kuhusu baba halisi, mi najua anayelea ndie baba, huyo mwingine ni wa nadharia zaidi. mtoto hana makosa, msimhukumu yeye kwa hilo, amejikuta amezaliwa, hahusiki kuchagua mzazi
 
unamuongelea diria yupi?senior au junior,..navyojua mimi yule anaitwa hassan diria!!unajuaje kama watu wanamuongelea baba yake hassan kuwa ndiye baba yake aman

Labda tujuze wewe unayejua mkuu utuwekee na kaushahidi kidogo.
 
Zanzibar ni nchi ndogo sana na ndo maana kila mtu anaona kuwa anaweza kutawala..karume =uamsho
 
Hawa jamaa mi siwaelewi, sahizi wana serikali ya umoja wa kitaifa lakini bado machafuko hayaishi, wanataka nini hasa? yaani eneo dogo lile la zanzibar ndilo liwe linatengeneza headlines kiasi hiki?. Damn


Yes! Kama Ukanda wa Gaza kule Palestina; hata shamba la babu yangu kule kijijini kubwa.
 
KIGENE kuitwa samaki na kuitwa sambusa kipi nafuu?
 
Last edited by a moderator:
sheria inasemaje kuhusu baba halisi, mi najua anayelea ndie baba, huyo mwingine ni wa nadharia zaidi. mtoto hana makosa, msimhukumu yeye kwa hilo, amejikuta amezaliwa, hahusiki kuchagua mzazi
Inaelekea una mitoto mingi sana nje ya ndoa ndio maana unamtetea huyu haramu
 
Kama amewachokoza wa Znz basi mwacheni amalizane nao tu... cc tunafanya yetu tu..!!
 
Hawa jamaa mi siwaelewi, sahizi wana serikali ya umoja wa kitaifa lakini bado machafuko hayaishi, wanataka nini hasa? yaani eneo dogo lile la zanzibar ndilo liwe linatengeneza headlines kiasi hiki?. Damn

habar haitegemei eneo wala ukubwa waeneo inawezekana eneo la sukumaland ni kubwa lakini hakuna reaction yoyote inayoendana na nchi na watu wake wamedumaa tu.jee tuwache headlines za zanzibar na tuchukue za usukumani.wazenj wamekomaa kisiasa tofauti na sisi huku.siku ya uchaguzi vijijini unapopeleka mbolea siku moja tu wanakupa kura.jee ccm tutaiondoa kweli?wazenji hata uwape gold hawaipendi ccm
 
Mambo ya wazanzibari yana historia ndefu sana. Ni kama vile kufarakana ni sera ya kudumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom