plumbing bc
Member
- Mar 9, 2024
- 7
- 5
Hizi chemba ni mzuri Kwa mfumo wa maji taka,Zina jengea Kwa bei nafuu Kwa mawasiliano zaidi
No: 0789110941
No: 0789110941
Hii bei kwa zote nne?Sifa zote ni sahihi mkuu, ila kwenye bei ebu usiwasokote wateja wako.
Binafsi nimezifunga kwenye mabafu yote manne (4) nyumbani kwangu, na ukweli bei yake imechangamka sana tu maana imenigharimu sio chini ya 1,000,000 kuzinunua tu.
Yeah, 4 Pc's ilinigharimu 1m plusHii bei kwa zote nne?
Asante
Hii ndo shida wafanya biashala wa bongo poor marketing yani mtu kuweka bei anaona shida kama anauza bangiKuna aina tofauti tofauti za shower so hizi napenda kupendekeza Kwa wateja wangu watumie hizi Kwa sababu:
a) Nzuri kimwonekano
b) Imara
d) Bei nafuu
c) Haziliwi na kuntu nk
Hizo ni sifa chache tu Kwa mawasiliano zaidi
No: 0789110941
View attachment 2964184View attachment 2964185View attachment 2964186View attachment 2964187View attachment 2964188
Huyu jamaa kwenye marketing hayuko sawa bora iyo kazi angempa mtu awe anamfanyia marketingMkuu, yawezekana una jambo zuri unataka kuli address hapa, lakini namna yako ya uwasilishaji kidogo imekua sio yakueleweka.
Ebu jaribu kuelezea tena ueleweke, pia tuambie upo wapi na unatoa huduma zipi na faida ya hiyo huduma mpya, ikiwezekana weka na bei ya kila huduma kwa hapo ulipo na kama inaongezeka kwa kiasi gani ikiwa nje ya mkoa uliopo wewe.
Baada ya hapo ndipo uweke namba za sim.
Sijui kwanii yaan... Sema wengi ninmadalali ndio maana haweki beiHii ndo shida wafanya biashala wa bongo poor marketing yani mtu kuweka bei anaona shida kama anauza bangi
Ukiona muuzaji anatangaza bidhaa zake haweki bei fahamu hizi budhaa bei zake ni kubwa sana.Sijui kwanii yaan... Sema wengi ninmadalali ndio maana haweki bei
Hata kama ni kubwa, kama bei ni halisi kwann uone aibu? Mbona kuna watu wanauza simu mpaka za 5M na wanaweka bei?Ukiona muuzaji anatangaza bidhaa zake haweki bei fahamu hizi budhaa bei zake ni kubwa sana.