Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,984
pinda yupo uingereza ndugupinda!!
pinda yupo uingereza ndugupinda!!
Sio kweli,mkapa alipeleka majeshi mwembechai,na hata vifaru alipeleka ktk uchaguzi zenj,mkapa aliua watu kama kuku,jk hajaua watu ktk maandamano,jk ana imani sana.
Ushahidi gani ulio nao wa makanisa kupewa mabilioni ya pesa? Maneno ya wanaocheza bao kina chuma ulete hayo ndo yanawafaa. Juzi nimewasikia waislam wakisema "hawa wakristo wana magari mengi hapo kanisani wanayatoa wapi? Tena magari ya nguvu sana, serikali inatukandamiza waislam tu" Ati hivyo? Fanyeni kazi na someni kwa bidii. Kurani someni na kuelewa sio makelele tu kwenye vipaza sauti kumbe hata yanayosemwa hamjui maana yake nini. Hata Bwana Yesu hakusoma lakini hekima aliyowaachia wafuasi wake ndiyo matunda mnayoona, ya Kaisaei mpeni yaliyo yake na Mungu mpeni ya kwake. Yatazungumzika yepi wakati hamruhusu kuwaambia wamekosa nini ili nao waseme ya kwao, bali mnakusanya wavuta bhangi kuchoma nyumba takatifu za Ibada kama sio kuingiliwa na mapepo wabaya??? Sasa wakristo mnawaua na kuwachokoza na kuchoma nyumba zao lakini wako kimya tu. Mtatimiza mangapi yaliyoko kwenye Kurani? Au mwataka tuelewe kwamba hakuna waislam wanaochezea Biblia? Mbona mnaichambua kwa matusi mazito misikitini mwenu na kwenye mihadhara lakini wakristo wanawaangalia na kwenda zao kimya? Laana mwaitaka nyie, sio bure. Sio waislam wote wanafanya upuuzi huu, wapo waislam wengi wako kinyume nanyi. Wabarikiwe hao na Mungu wao ambaye nadhani ni tofauti na wa kwenu. Nikuhakikishie kwamba hata leo ukiichoma moto Biblia mbele ya mkristo atakuona wewe ni kichaa tu na hatafanya kama mnavyofanya, kwani NENO na BIBLIA ya kweli iko rohoni kwa mtu na sio makaratasi ambayo ni kumbukumbu tu nakala ya kutumika na wenye mwili, lakini "Neno la Mungu na likae kwa wingi ndani yenu" Kwani makaratasi ya Kurani na Biblia yanadumu milele? Mafuriko yakija makaratasi hayo hayalowani? Use simple sense.neno moja naamini waislam wanataka. haki sawa kwa raia wote bila ya ubaguzi wa kidini. kama serekali inatoa mabilion ya pesa kwa makanisa basi na kwa waislam watoe ili tz tuishi kwa amani. haya mengine yote pakiwa na haki mbona yanazungumzika tu jamani?
Nimetokea msikitini baab...Wewe mwenye upeo mukubwa ndio unakuja kwenye Jukwaa la Great Thinkers na hoja za kijini jini kama hizi....
Mzee umetokea wapi...mapangoni au wapi ? isije nikawa najadiliana na mtu kutoka zama za kale za mawe....
Bahati yako sikufaham!
Ningekuwa nakujua leo ningekung'oa meno kwa kipigo!
Si vyema kuwahukumu waislam wote kwa maovu ya wahuni wachache, wapo waislam makini na wasiopenda shari!
kwako wife najua utakua unafuatilia yanayotokea huku kariakoo hivyo leo nitalala huku huku maana mabomu yanalindima si mchezo kwa usalama wangu nitarudi kesho
Nimetokea msikitini baab...
Imani yake mnaichezea haya wee!
Damu mnayotamani kumwaga itawasaidia nini?
mimi nadhani njia pekee ya kamati kuu ya CCM kuunda tume maalum. kuangalia athari ya ubaguzi wa kidini unaosambaa. haiwezekani tabaka moja la kidini linakuwa na sauti kubwa na jengine kuonekana kiroja ndani ya jamii. hii waislam wengi linatuumiza. hata muunde jeshi, muajiri CIA, FBI. tatizo hili halitaondoka.
Haiwezekani Kuna mkataba kati ya kanisa na serekali kutoa fedha za umma kwa ajili yao halafu unataka watu wavumiliane. kama kuvumiliana muanze CCM na CHADEMA . tuanona kila siku chadema wanaandama kupinga uonevu wa polisi na CCM
acha ufala wewe mimi nakaa behind msikiti wa idrissa nipo kazini na sababu ya kupanga hapa ni kuwa tunanyumba kimara ila tulivamiwa na majambazi na kuumizwa vibaya bahati nzuri kampuni ikanionea huruma sababu watoto mle ndani wangeumia sana na kumbukumbu za wale majambazi kwa hiyo wakanipa nyumba hapa kariakoo sasa hata sielewi nyumbani nimemuacha dada yangu kajifungua kwa operesheni,nimepiga simu home wananiambia mabomu mpaka mlangoni na sahivi wote hawapatikaniKule ndiyo kumejazana misukule na mazezeta...!
usijishaue wewe... Upo tayari wakati upo unawacheka wenzako hapa... Toka hapo kwenye keyboard kaonje mabomu ya machozi ndio urudi kubwabwaja hapa.tupo tayari kwa lolote hata mkienda kuchukua jeshi la obama marekani haturudi nyuma tushachoka kufanywa wapangaji wakati nyumba yetu sote
wameishia kwenye viunga vya milango ya misikiti yao!Sasa kuna yoyote ALIYEFIKA IKULU?
Mkuu bora umetoa hili angalizo,
Binafsi hapa nipo kazini na niko na rafiki yangu ambae ni Mwislam......Unamwangalia machoni unaona moyoni mwake the way anavyoumia na ametoa kauli moja nzito sana asubuhi ya kujisikia vibaya akiwa kama Mwislam juu ya yanayoendelea..
Ni muhimu ndugu zetu waelewe kuwa hali hii madhara yake ni makubwa na mara nyingi (unaweza jifunza kwa wenzetu) haileti ule uhuru na kile kinachogombaniwa bali huacha makovu ambayo huetengeneza mwanya mbaya sana kwa cohesion ya jamii
Itawaumiza sio Wakristo tu kama wanavyodhani, itaumiza wengi sana wakiwamo na wao wenyewe....Siamini kama kuna Mungu anaetaka hivi na kwa mantiki hii, sitaki kuamini kama "Allah" au Mtume (SAW) analikubali hili...otherwise nisaidiwe kuamini hivyo LAKINI KWANGU HADI SASA...HAO NI WAHUNI WACHACHE WALIOJIVIKA MWAMVULI WA KIDINI KUFANYA MAMBO YA AJABU...Tumeona makundi haya maeneo mengi na mwisho wake ni hatari kwanza kwa ustawi wa dini husika lakini pia wa taifa kwa ujumla
Lets pick some lessons kwa wengine.....Otherwise, I can see Tanzania katika hali mbaya than Nigeria.....Al-shabaab nahisi wananukia (This is such a golden opportunity kwao) na makundi mengine
DINI ZITUPE HEKIMA YA KUWA WAVUMILIVU NA KUSTAWISHA JAMII ZETU BADALA YA KUZIDHOOFISHA JAMII HUSIKA