Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Waislamu mnaonewa????? angalia list hii

1) President
2) VP
3) IGP
4) director was TISS
5) Judge mkuu
6) Judge kiongozi

Mungu awape nini???? wakristo wamekaa kimya kabisa, ila ingekuwa opposite ungeona moto wake.

Mkuu kuna usemi kuwa mchawi mpe mwanao amlee, n a huwa nasema... tatizo la waislamu ni waisilamu wenyewe as u stated above.
 
"Polisi waingia na viatu msikitini". Hivi ilitakiwa wakifika, wavue viatu, watawadhe, ndo waingie kuwakamata watu na kupiga mabomu??
 
Eti wanacheza karate hawaogopi kitu.. Sasa kachezeen jwtz mtengenezwe bara..baraa
 
Na msafara wa muheshimiwa rais unawasili kutoka JKNIA what a shame????
 
Cha kushangaza Hapa kariakoo....waislamu na wakristo woote wanaita TAKBIR ALLAHU AKBAR....
WaKristo na Waislamu wananunuliana Maji Kujipooza na Mabomu ya machozi
 
usijishaue wewe... Upo tayari wakati upo unawacheka wenzako hapa... Toka hapo kwenye keyboard kaonje mabomu ya machozi ndio urudi kubwabwaja hapa.
UNAFIKI tu huna lolote

bora umemchana laivu tu!
 
Cha kushangaza Hapa kariakoo....waislamu na wakristo woote wanaita TAKBIR ALLAHU AKBAR....
WaKristo na Waislamu wananunuliana Maji Kujipooza na Mabomu ya machozi

Upuuzi tu! Mi mpaka sasa sijui wanachodai hawa jamaa
 
mimi ni muumini mzuri wa dini ya kiislamu lakini uislamu wangu haunifanyi nishindwe kufkikira kwa makini (crtical thinking)nini kinachoendelea hapa dar naomba niweke wazi kwamba sisi waislamu sio watu wa fujo tunapenda amani tofauti na baadhi ya watu ambao sio waislamu wanavyotufikiria juu ya hili na wengine mpk kutukana hali ilipofikia hapa ni sensitive sana na panahitajika maamuzi ya busara sana ili kuweza kusuluhisha hali hii naamini viongozi wa dini ya kiislamu hasa wanaoaminika na kupendwa na waisalamu wakitumiwa vizuri wanaweza kutuliza hali hii,tatizo kubwa linaloawakumba watu ni kushadadia mambo blila ya kujua hasa nini chanzo cha haya yote bila ya kutoa muda katika akili zao kufikiria nini kimetokea,y na nini kinapaswa kifanywe ktk muda husika,najua kwamba kila nchi inasheria zake ambazo inabidi zifuatwe hata kama waislamu wamekosea ktk baadhi ya mambop busara kwanza ingetumika naweza nikakubali kwamba kila nchi inasheria zake na zinabidi zifuatwe lakini kitendo cha kuwapiga watu ni kuongeza chuki kwa watu wengine ambao walikuwa hata hawajui nini kinaendelea busara zitumike ktk kutatua vurugu hizi

waislamu ni watz,wasio waisalamu ni watz,polisi ni watz,nhata wanajeshi pia ni watz wote tunataka amani,tukishadadia kutoka na imani zetu hatutopata suluhu na kuendelea kuwapiga watu ni kupandikiza chuki naa maumivu kwa watu wengiine,
 
kenya,ukabila,uganda,ukabila,tanzania udini,rwanda ilikuwa ukabila sasa ni shwali,somalia dini moja uislam lakin wanachinjana,nigeria udini na ukabila,cha ajabu walioleta hizo dini kama uislam wapo wanakula bata,nenda dubai uone
 
Haya Upepo Ushapita,Kova ame-confirm hali ni shwari lile lengo lao(waislamu) kufika ikulu limeshindikana
 
technique hii nimeipenda. Ipo siku ccm itawaheshimu waislam kama wanawaheshimu wakiristo

ungeipenda kama malengo yenu yatatimia lakini kwa kushindwa kumtoa ponda jela na kuambulia kichapo heavy ni uthibitisho wa akili kubwa kuongozwa na akili ndogo
 
mimi ni muumini mzuri wa dini ya kiislamu lakini uislamu wangu haunifanyi nishindwe kufkikira kwa makini (crtical thinking)nini kinachoendelea hapa dar naomba niweke wazi kwamba sisi waislamu sio watu wa fujo tunapenda amani tofauti na baadhi ya watu ambao sio waislamu wanavyotufikiria juu ya hili na wengine mpk kutukana hali ilipofikia hapa ni sensitive sana na panahitajika maamuzi ya busara sana ili kuweza kusuluhisha hali hii naamini viongozi wa dini ya kiislamu hasa wanaoaminika na kupendwa na waisalamu wakitumiwa vizuri wanaweza kutuliza hali hii,tatizo kubwa linaloawakumba watu ni kushadadia mambo blila ya kujua hasa nini chanzo cha haya yote bila ya kutoa muda katika akili zao kufikiria nini kimetokea,y na nini kinapaswa kifanywe ktk muda husika,najua kwamba kila nchi inasheria zake ambazo inabidi zifuatwe hata kama waislamu wamekosea ktk baadhi ya mambop busara kwanza ingetumika naweza nikakubali kwamba kila nchi inasheria zake na zinabidi zifuatwe lakini kitendo cha kuwapiga watu ni kuongeza chuki kwa watu wengine ambao walikuwa hata hawajui nini kinaendelea busara zitumike ktk kutatua vurugu hizi

waislamu ni watz,wasio waisalamu ni watz,polisi ni watz,nhata wanajeshi pia ni watz wote tunataka amani,tukishadadia kutoka na imani zetu hatutopata suluhu na kuendelea kuwapiga watu ni kupandikiza chuki naa maumivu kwa watu wengiine,
ndugu yangu umeongea vizuri lakini umesahau kwamba hawa watu kadiri wanavyozidi kuambiwa kwa upole ndivyo wanavyo zidi kuleta chokochoko! ulimsikia shehe wa mkoa wa dar,mkuu wa mkoa walivyosema TBC?Ulimsikia kikwete alivyoongea siku ya kuzima mwenge?yaani mpaka sasa hivi serikali kutumia nguvu kuwadhibiti hawa jamaa washapitia njia zote za kitaalam za kushughulikia migogoro.
 
Kwa hiyo ulitaka waachiwe hadi waingie Ikulu wakati mwenyeji wao hayupo nani angewapokea.. sasa nikimuona kila muislamu siwatofautishi na hao walioandamana MNAHITAJI ELIMU HATA KWA LAZIMA.
 
Back
Top Bottom