Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

mkuu una walimu wangapi? na wa kutoka nchi gani? makata, maimuna ama mkongo? ahahahahahahaaa very interesting aise, Sote waislamu na wakristu ni ndugu, tatizo lenu uelewa mdogo.... makata?

Imekuuma sana...itakuwa imekuiingia...Ungeangalia kashafa ulizozianzisha kwanza kabla ya kuendeleza huu mjadala....
Hivi ndio itakuwa mnavyofundishwa kanisani dharau na kashfa kwa waislamu...mnasahau kwamba makanisani hawaingii wakristo pekeee...



Mkuu wangu wote wanatoka vatican...si unawaona lugha wanayoongea ni kitaliano....Halafu yenyewe sadaka za mkono kwa mkono hayaopokei....si tunaona kwenye TV tukishayapooza utasikia mchungaji anataka sadaka kupitia TIGO PESA

By the way ...sasa hivi unamuwakilisha nani ....DINI ILE AU CHAMA KILE ?
 
Hakuna rais mwingine tz alishawahi kupeleka wanajeshi barabarani kutuliza ghasia. Huu ni udhaifu mkubwa hakuna fujo kubwa kihivyo. Kikubwa tumsaidie dr dhaifu amalize kipindi chake kwa amani. Nyie waislam wenzangu tunamhujumu mwenzetu badala ya kuleta fujo tutilie amalize,huyu mwenzetu
 
Kuhusu MoU si sheikh J.K aliwajibu kwenye balaza lenu la idd. Twambie alichowajibu, kama hamjamwelewa mfuateni tena awafafanulie ili muache kuimba kitu msichikijua kama kasuku. Ndo maana elimu inasisitizwa, maana ukisema chokochoko taja basi tuzijue hizo chokochoko.
Wewe ni mwehu. Wewe elimu hiyo imekusaidia nini? Nyie Wakristo mliosoma si ndio mnaongoza kwa ufisadi nchi hii na kulihujumu Taifa? Kodi yote tunayolipa si inakwenda kujenga makanisa kupitia MoU? Chokochoko zenu dhidi ya Waislam karibu zitawatokea puani. Ni suala la muda tu.
 
neno moja naamini waislam wanataka. haki sawa kwa raia wote bila ya ubaguzi wa kidini. kama serekali inatoa mabilion ya pesa kwa makanisa basi na kwa waislam watoe ili tz tuishi kwa amani. haya mengine yote pakiwa na haki mbona yanazungumzika tu jamani?


Wapi serikali ilitoa mabilioni ya pesa?
 
Nakupa ushauri mkuu. Andaeni maandamano ya amani kupinga wahuni kutumia dini yenu kwa kufanya fujo. Toeni tamko kali, na shirikianeni na polisi kuwafichua wanaotaka kuleta Boko haram TZ. Jitofautisheni kwa vitendo mtaaminika.
ujue tatizo sio kwamba hao wapenda vurugu hawafahamiki,wanafahamika sana tu,tatizo ni mbinu gani ya kistrategia inayoweza kuwamaliza bila kuleta madhara makubwa ndo ugumu ulipo.ni mfano wa wale wadada nanaojiuza njiani,usifikiri kwamba polisi hawawajui ndo maana wako pale! kinachotokea ni ugumu wa mbinu ya kuwadhibiti.
 
Ukitaka kuthibitisha hilo angalia wale wanaoshitakiwa na ponda, au wale wanawake waliojitanda Nguo mwili mzima!
Utapata picha ni watu wa category gani

tena we sumbawanga ni mdini sana,nakumbuka kwenye uchaguzi mkuu 2015 kule sumbawanga kuna waumini wa kanisa mliwatenga na kuwavua uumini kisa hawaungi mkono cdm.we sumbawanga dhambi ya udini na ubaguzi itakutafuna maish yako yote
 
jamani vipi barabara ya morogoro kuanzia mbezi kuko shwari? kunaendeka?
 
suit yourself!

What i see here is that the army is being used for civilian law enforcement. Those muslims are tanzanians just like you. It's not a coup. It's just riot that can be handled by the riot police

Danganya toto weye eeh?
 
Hawa waislamu wanataka leta mambo ya pakstan na siriya nini dah waache bna tz ni amani tu sasa nini wafanye ivo bana.?
 
siyo Dr dhaifu bwana ni Dr Jakaya Mrisho Kikwete
 
wale ni watakatifu. Maana watakatifu wote waimani ya kikirsito utaowana wamevaa kama hivyo. Ukianza maria na wengine wengi

Watakatifu wanapora?

Kweli hizi dini ziko tofauti sana....
 
kwako wife najua utakua unafuatilia yanayotokea huku kariakoo hivyo leo nitalala huku huku maana mabomu yanalindima si mchezo kwa usalama wangu nitarudi kesho
 
Wapi serikali ilitoa mabilioni ya pesa?

acha ubishi wa reja reja.watu wanafatilia matukio.ni vyema tukemee haya yaishe kwanza,hilo la mou lianzishiwe thred ingine mpya
 
Sio kweli,mkapa alipeleka majeshi mwembechai,na hata vifaru alipeleka ktk uchaguzi zenj,mkapa aliua watu kama kuku,jk hajaua watu ktk maandamano,jk ana imani sana.
 
tena we sumbawanga ni mdini sana,nakumbuka kwenye uchaguzi mkuu 2015 kule sumbawanga kuna waumini wa kanisa mliwatenga na kuwavua uumini kisa hawaungi mkono cdm.we sumbawanga dhambi ya udini na ubaguzi itakutafuna maish yako yote

Mkuu, wrong wrong target....

Sisi tunagombana wenyewe kwa wenyewe na hata siku moja hatuwaingiza kwenye cadebra zetu, nyinyi je?
Agalia mifano ya Arumero, same, Dodoma na Arusha...

Ila nyingi ndugu zangu...makanisa ndio adui wenu mkubwa!
 
Serikali yetu na usama usipokuwa makini mambo ya Boko Haramu yameshaingia Tanzania!!! Ni nani anafadhili uchafuzi huu wa amani kiasi hiki? Kuna jambo hapa!!! Ila tu nafikiri wapigwe risasi za moto wakifa kama 100 hivi watashika adabu!!
 
Huu waraka wa ajabu sana! Eti misikiti yapigwa mabomu Mbagala, polisi waingia na viatu misikitini... Lord have mercy
Wenyewe wameingia kanisani na kuchoma madhababu halafu wanatakata polisi waingie msikiti huku wamevua viatu kuwakamata wahalifu.
 
Mtu mzima hatishiwi nyau wewe. si umeskia farida sijui farija katekwa na ponda yupo kwenye kaselo mpaka mwezi wa 11 ndo kesi iskilizwe? niswala ambalo halifichiki kuwa waislam wengi hawana shule na walio enda shule hawana ujinga kama wenu msio enda shule. sisi hata mkichoma makanisa tunajua kuwa tutajenga kwa muda wa wiki tu kwakuwa wakristo tumebarikiwa mihela na akili na uwezo wa kufikili, elim ndo usiseme.

Wewe ni mwehu. Wewe elimu hiyo imekusaidia nini? Nyie Wakristo mliosoma si ndio mnaongoza kwa ufisadi nchi hii na kulihujumu Taifa? Kodi yote tunayolipa si inakwenda kujenga makanisa kupitia MoU? Chokochoko zenu dhidi ya Waislam karibu zitawatokea puani. Ni suala la muda tu.
 
550379_398616200206859_878404503_n.jpg
 
Back
Top Bottom