Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

madalaka gani mtapewa ikiwa shule hamna? yani ukawekwe tu wakati huna elimu maana waslam wengi hawana shule.Chaajabu wanany'any'ania madalaka. kazi kweli, na mnacho kitarajia hakitatokea.

haitakuwa na faida. Lkn najua endapo nchi ikachafuka, halafu maamuzi yakija kwamba waislam na wakiristo na wislam wagawane madaraka ndani ya nchi itakuwa pigo kwa wakiristo ambao kwa sasa kitu kama hicho hawataki kukisikia
 
naoba nitoe hongera na shukrani za pelee sana kwa channel ten kwa kutoa coverage stahilli kwa tukio kubwa kama hili kwa nchi yetu, si jambo la kufurahisha ila ni vyema vyombo vya habari vyote vingekuwa kama wanavyofanya channel ten sasa hivi.

Binafsi nimesikitishwa sana na Televisheni ya serikali TBC ambayo ndio ilikuwa na jukumu la kutupa habari hizi kwanza kabla ya wengine ila sasa wao wako na miziki tuu as if nchi ipo kwenye sherehe fulani au mambo yapo kama kawaida tuuuu!!!

kwa coverage ya leo ninadhani kwa muda huu channel ten imekuwa televisheni ya taifa na sio TBC maana wao wako na burudani tuuu!!


May God have mercy on this thing!!
 
Nani unamhubiria habar njema hapa? Nyie si mlifurah mlipochoma makanisa? SASA FURAHA YENU IMEGEUKA KILIO.OMBEA ADUI YAKO AISH MIAKA MING ILI UNAPOBARIKIWA AKUONE KWA MACHO
 
Unataka busara ya aina gani? Au unamaanisha waruhusiwe kuandamana kwenda ikulu?
 
Kwa hiyo ulitaka waachiwe hadi waingie Ikulu wakati mwenyeji wao hayupo nani angewapokea.. sasa nikimuona kila muislamu siwatofautishi na hao walioandamana MNAHITAJI ELIMU HATA KWA LAZIMA.
sijui nikutukane ial ngoja nitumie busara......
 
Yani mi hata sielewi tumekimbia kimara majambazi tumekuja kariakoo mabomu
hii ni nchi yangu kweli????
 
nipo maeneo ya kurasini, kuna helkopta ya polisi imepita katika anga hili muda huu. Sijui inaelekea wapi?
Waambie wazazi wako wakubadirishe jina sio zuri kwako

kwanini usimuulize rubani,,,,,,,kwani helkopta ya polisi kupita hapo jambo la ajabu,,,,,,????

Ndio hao wenye viele ele shime kukurupuka tuu.Kuona helikopta kurasini ndio kukushangaze vp ukiishi kwenye Kipawa shingo si itakatika maana utakuwa unashangaa kila kinacho elea angani
 
Kwa hiyo ulitaka waachiwe hadi waingie Ikulu wakati mwenyeji wao hayupo nani angewapokea.. sasa nikimuona kila muislamu siwatofautishi na hao walioandamana MNAHITAJI ELIMU HATA KWA LAZIMA.

ebana hawa watu wanataka ku2panda kichwani....hv wakiristo mbna hatuko hv itabidi sasa serikali itumie nguvu za ziada..
 
chonde chonde watu msije jitambulisha kina john, irene, joseph, Luka, Mathayo, Emmanuel na kadhalika badala ya Ally, Abdallah, Ashura etc....lol... (just kidding)
 
Ushahidi gani ulio nao wa makanisa kupewa mabilioni ya pesa? Maneno ya wanaocheza bao kina chuma ulete hayo ndo yanawafaa. Juzi nimewasikia waislam wakisema "hawa wakristo wana magari mengi hapo kanisani wanayatoa wapi? Tena magari ya nguvu sana, serikali inatukandamiza waislam tu" Ati hivyo? Fanyeni kazi na someni kwa bidii. Kurani someni na kuelewa sio makelele tu kwenye vipaza sauti kumbe hata yanayosemwa hamjui maana yake nini. Hata Bwana Yesu hakusoma lakini hekima aliyowaachia wafuasi wake ndiyo matunda mnayoona, ya Kaisaei mpeni yaliyo yake na Mungu mpeni ya kwake. Yatazungumzika yepi wakati hamruhusu kuwaambia wamekosa nini ili nao waseme ya kwao, bali mnakusanya wavuta bhangi kuchoma nyumba takatifu za Ibada kama sio kuingiliwa na mapepo wabaya??? Sasa wakristo mnawaua na kuwachokoza na kuchoma nyumba zao lakini wako kimya tu. Mtatimiza mangapi yaliyoko kwenye Kurani? Au mwataka tuelewe kwamba hakuna waislam wanaochezea Biblia? Mbona mnaichambua kwa matusi mazito misikitini mwenu na kwenye mihadhara lakini wakristo wanawaangalia na kwenda zao kimya? Laana mwaitaka nyie, sio bure. Sio waislam wote wanafanya upuuzi huu, wapo waislam wengi wako kinyume nanyi. Wabarikiwe hao na Mungu wao ambaye nadhani ni tofauti na wa kwenu. Nikuhakikishie kwamba hata leo ukiichoma moto Biblia mbele ya mkristo atakuona wewe ni kichaa tu na hatafanya kama mnavyofanya, kwani NENO na BIBLIA ya kweli iko rohoni kwa mtu na sio makaratasi ambayo ni kumbukumbu tu nakala ya kutumika na wenye mwili, lakini "Neno la Mungu na likae kwa wingi ndani yenu" Kwani makaratasi ya Kurani na Biblia yanadumu milele? Mafuriko yakija makaratasi hayo hayalowani? Use simple sense.

i absolutely agree and appreciate what you have written!
 
mimi ni muumini mzuri wa dini ya kiislamu lakini uislamu wangu haunifanyi nishindwe kufkikira kwa makini (crtical thinking)nini kinachoendelea hapa dar naomba niweke wazi kwamba sisi waislamu sio watu wa fujo tunapenda amani tofauti na baadhi ya watu ambao sio waislamu wanavyotufikiria juu ya hili na wengine mpk kutukana hali ilipofikia hapa ni sensitive sana na panahitajika maamuzi ya busara sana ili kuweza kusuluhisha hali hii naamini viongozi wa dini ya kiislamu hasa wanaoaminika na kupendwa na waisalamu wakitumiwa vizuri wanaweza kutuliza hali hii,tatizo kubwa linaloawakumba watu ni kushadadia mambo blila ya kujua hasa nini chanzo cha haya yote bila ya kutoa muda katika akili zao kufikiria nini kimetokea,y na nini kinapaswa kifanywe ktk muda husika,najua kwamba kila nchi inasheria zake ambazo inabidi zifuatwe hata kama waislamu wamekosea ktk baadhi ya mambop busara kwanza ingetumika naweza nikakubali kwamba kila nchi inasheria zake na zinabidi zifuatwe lakini kitendo cha kuwapiga watu ni kuongeza chuki kwa watu wengine ambao walikuwa hata hawajui nini kinaendelea busara zitumike ktk kutatua vurugu hizi

waislamu ni watz,wasio waisalamu ni watz,polisi ni watz,nhata wanajeshi pia ni watz wote tunataka amani,tukishadadia kutoka na imani zetu hatutopata suluhu na kuendelea kuwapiga watu ni kupandikiza chuki naa maumivu kwa watu wengiine,

Kwani mnagombana na nani mpaka mfikie kusuluhishwa? Sheria za nchi? viongozi wa nchi? au akili yenu wenyewe?
 
Mtoa mada badala ya kutaka kutukana, nakushauri ujibu tu, ulitaka busara ya namna ipi itumike?
 
...busara ipi mkuu? ...kuaendelea kuharibu mali na mauwaji ya watu pasi na sababu za msingi. Binafsi naamini hao wanaofanya fujo wakiulizwa mmoja mmoja sababu hakuna atakaetoa sababu ya msingi zaidi ya kusema "tunaonewa"...ukiwaliza nani anawaonea...eti ni "mfumo kristu". Wakati mwingine ni vichekesho na kutoelewa. Hao ni waalifu kama walivyo waalifu wengine. Tofauti yao ni kuwa wanapitia mlango wa dini kutimiza uhalifu wao.

Siamini kama ni haki kwa namna yoyote ile kuendelea kutumia busara kwa jambazi ambae tayari ameuwa mwanao na kuharibu mali zako na bado anataka kuharibu zaidi kukaa nae na kuzungumza!
 
quote_icon.png
By Cathode Rays



Mkuu bora umetoa hili angalizo,

Binafsi hapa nipo kazini na niko na rafiki yangu ambae ni Mwislam......Unamwangalia machoni unaona moyoni mwake the way anavyoumia na ametoa kauli moja nzito sana asubuhi ya kujisikia vibaya akiwa kama Mwislam juu ya yanayoendelea..

Ni muhimu ndugu zetu waelewe kuwa hali hii madhara yake ni makubwa na mara nyingi (unaweza jifunza kwa wenzetu) haileti ule uhuru na kile kinachogombaniwa bali huacha makovu ambayo huetengeneza mwanya mbaya sana kwa cohesion ya jamii

Itawaumiza sio Wakristo tu kama wanavyodhani, itaumiza wengi sana wakiwamo na wao wenyewe....Siamini kama kuna Mungu anaetaka hivi na kwa mantiki hii, sitaki kuamini kama "Allah" au Mtume (SAW) analikubali hili...otherwise nisaidiwe kuamini hivyo LAKINI KWANGU HADI SASA...HAO NI WAHUNI WACHACHE WALIOJIVIKA MWAMVULI WA KIDINI KUFANYA MAMBO YA AJABU...Tumeona makundi haya maeneo mengi na mwisho wake ni hatari kwanza kwa ustawi wa dini husika lakini pia wa taifa kwa ujumla

Lets pick some lessons kwa wengine.....Otherwise, I can see Tanzania katika hali mbaya than Nigeria.....Al-shabaab nahisi wananukia (This is such a golden opportunity kwao) na makundi mengine

DINI ZITUPE HEKIMA YA KUWA WAVUMILIVU NA KUSTAWISHA JAMII ZETU BADALA YA KUZIDHOOFISHA JAMII HUSIKA
Mkuu, kuna waislam wengi tu kama huyo mnayefanya naye kazi lakini hawana say kwenye mambo tunayoyaona yanaendelea. Misikiti na taasisi zao zimeshikwa na watu kama shehe ponda. Huyo unayefanya naye kazi anaonekana sio muislam kamili kwa watu kama akina ponda kwa sababu anashirikiana na kuambatana na makafiri. Kuna makundi ndani ya uislam na yamekaa kimaslahimaslahi kama kundi la huyu shehe ponda. Hapo kweli wanaweza kufanya kitu cha maana? Hata mahakama ya kadhi itakuwa mbinde tu...Kinachosikitisha ni kwamba matatizo yao yote wanasingizia Kanisa.
Hata leo hii utasikia kwenye misikiti yao polisi 'wakristo' wamewapiga na kukamata waislam...
 
Back
Top Bottom