Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

natoka maeneo ya magomeni muda huu naelekea bagamoyo kwa ajili ya kampeni ya udiwani wa mgombea wetu wa chadema bw. setebe timiza setebe, naona moshi wa mabomu unaingia hadi ofisini.
 
nikiwa maeneo ya magomeni naziona gari nne aina ya roli zenye wanajeshi wa kutosha wakiwa na silaha za kutosha wakielekea kariakoo. Kwa upande wa hapa magomeni msikiti wa kichangani wametulia baada ya ffu kupiga mabomu ya machozi matatu na gari la kuwasha limepaki katika mlango wa kuingilia msikitini.

namubuka maneno ya sheikh wangu. Mfumo kris umejaa kila sehemu. Lkn nadhani tz tufanye kazi kwa katiba na sio kwa mujibu wa dini ya mtu kama tunavyofanya.
 
mimi niko hapa mnazi mmoja hali inaonekana mbaya maana raia wametaharuki maduka yote yameshafungwa
 
Hawa Jamaa ni washenzi tu dawa ni kukamata mmoja na kumchinja hazarani wasituletee mapepo yao hapa bana
 
Tatizo kubwa ni kikwete. wanasema muislamu mwenzetu atatulinda.

As long as kikwete is in power this country will become ungovernable.

Let us kick him out of office for the sake of the coming generations.
Ficha upumbavu wako!
 
Milindi kaka hii ya chini utaisemaje?
Muislam afa shahidi kahama kwa kuuawa na kafiri:
HAKIFORUMS.boardhost.com Jukwaa la Waungwana: 07/3/2012 5:01 am
Katika kadhia iliyotokea hivi karibuni Mkoani Shinyanga wilaya ya Kahama kwa kanisa la Wasabato kutoka Kakora wilayani humo kurekodi wimbo unaokashifu Uislam unaojulikana kama Jiwe Jeusi. Wimbo huo wa Jiwe Jeusi unamaudhui ya kuupaka matope Uislam kwa kudai kuwa Waislam wanaabudu Jiwe jeusi lililoko Makka.Hii ni kashfa,hivyo Waislam waliamua kwenda kwa OCS na kumweleza juu ya wimbo huo ulio kwenye audio na video. Katika ofisi hiyo ya ofisa wa Polisi kilichotokea ni kuwa viongozi wa kanisa hilo na kwaya yao waliitwa ili kutatua tatizo hilo ambapo uamuzi uliotolewa ni kuwa Wimbo huo ulizuiwa kupigwa na kuuzwa,lakini baada ya suluhu hiyo wasabato walikaidi ambapo wimbo huo uliendela kupigwa na CD zikaendelea kuuzwa. Katika pitapita kijana Jumapili Ismail na wenzake walisikia wimbo huo ukiwa unapigwa kwenye duka moja la msabato anayejulikana kwa jina la Mussa.

Jumapili na wenzake wakaenda kuhoji kwanini Mussa anaendelea kupiga wimbo huo,ndipo mapambano yalipoanza ambapo Mussa alikuwa na rungu ambalo alimpiga nalo Jumapili ambapo lilimpata na kudondoka chini na kupoteza fahamu. Baada ya tukio hilo waislam wakaenda kuchukua PF3 Polisi ili Jumapili akapate matibabu kutokana na kuwa alikuwa ameumizwa.Katika uchunguzi wa madaktari ilibainika kuwa bandama lake lilikuwa limepasuka kutokana na mashambulizi aliyofanyiwa,pia ilionekana utumbo wake kutokana na hali iliyojitokeza ulijikunja maratatu. Jumapili alikuwa akiugulia kwa maumivu makali ambapo ilibidi afanyiwe upasuaji mara ya kwanza na baadae wapili baada ya kuonekana tatizo liazidi.Lakini katika hali ya kushangaza hali ikawa bado na ililazimu kufanyiwa upasuaji mwingine watatu,baada ya upasuaji watatu ndugu yetu huyu katika imani alifariki dunia ilipotimu saa kumi na moja alfajiri ya tarehe 06/03/2012. Katika hali hiyo Mussa alikwenda kushtaki kuwa alivamiwa na Jumapili;hivyo pamoja na kuwa kitandani wakati huo alikuwa na mashtaka ya kumvamia Mussa katika duka lake.

Hakika Jumapili Ismail hakufa bali yuko hai kwani huyu ni shahidi kutokana na kuwa alikuwa katika kuhakikisha Tawhid inakuwepo.Innalillah-wa-inna-ilayh Rajiun. Lakini hali hii hadi lini? Qur'an imechomwa na inaendelea kudhalilishwa maeneo tofauti nchini.

Matukio ya kuchomwa na kunajisiwa yametokea Mwanza,Zanzibar,Mbeya na Bagamoyo mkoani Pwani ilinajisiwa na hivi karibuni tena Mwanza kafiri mwingine alichanachana Qur'an ambapo yeye alionja kichapo. Shekh Mohammed Issa akihojiwa na Radio Imani ya Morogoro katika kipindi cha kidokezo alisema kutokana na matukio haya inshaallah Ijumaa kutakuwa na kongamano kubwa la kujadili matukio haya yanayoendelea nchini kwani matukio mengi hayajapata ufumbuzi na kesi zake zinakwenda bila mwisho na waislam huwa ndio tunaopoteza.

Waislam sasa ni wakati wa kuamka na kutenda sio kulalama tupewe haki! Mkapa, rais mstaafu wa awamu ya tatu alipata kusema "Haki haiombwi bali huchukuliwa" Je,Waislam tutataka na kuomba kutendewa haki mpakalini?


Najivunia Kuwa Muislam.
 
Last edited by a moderator:
nikiwa maeneo ya magomeni naziona gari nne aina ya roli zenye wanajeshi wa kutosha wakiwa na silaha za kutosha wakielekea kariakoo. kwa upande wa hapa magomeni msikiti wa kichangani wametulia baada ya ffu kupiga mabomu ya machozi matatu na gari la kuwasha limepaki katika mlango wa kuingilia msikitini.

wameruhusiwa na nan? Si mkubwa wao yuko kwa sultan anakula bata
 
Majeshi yetu labda yapo awarenes na vita. Kikwete angaliwapeleka somalia. Nyerere aliwapeleka uganda
 
Nipo kwenye gari lakini macho yangu yamepatwa na moshi wa mabomu kwa kweli tunapoelekea tusipokuwa makini tutakuwa kama Gaza.
 
Natimiza haki yangu ya raia mwema,

Jamaa wa JWTZ wanaingia na mafuso mitaa ya Jangwani wakitokea njia ya kigogo. Aidha kuna DCM kama 5 zilizowashusha waislam zinawasubiri
 
Back
Top Bottom